Kwanini ukatili wa kutisha wa Japan hauzungumzwi sana tofauti na wa Mjerumani katika vita vya pili vya dunia?

Neutralization siyo uamuzi ni lazima kama miongoni mwa masharti.

Sijaelewa unataka matukio gani.

Kamsome Saburo Sakai
Embu fafanua naona unaishia tu kwenye neutalization Pengine ukifafanua ntakuelewa zaidi
Samahani ndugu yangu.

Siwezi kufanya hivyo.
Kumbe unaongea kitu ambacho huwezi kukielezea basi nimekuelewa
 
hii ndo sababu hadi leo huwezi kumweka raia wa japan na china pamoja. ukikaa na mjapani atakwambia tu "beware of chinese" kwamba wachina wanaweza hata kukuibia hawaaminiki na sio waut wazuri. ukikaa na mchina, atakwambia mabaya tu ya mjapani.
Ila ni kweli, beware of mchina. Wachina sio wakuwaamini kabisa sio marafiki tena kama tulivyoaminishwa na enzi za Nyerere
 
Embu fafanua naona unaishia tu kwenye neutalization Pengine ukifafanua ntakuelewa zaidi

Kumbe unaongea kitu ambacho huwezi kukielezea basi nimekuelewa
Siwezi kwakua nimeona haujui kitu na unatarajia niwe encyclopedia yako.

Siyo siwezi kwakua sikielewi.

Nimesoma hizi ishu kwenye Politics nikazisoma kwenye Human Rights mwaka wa kwanza na wa pili.
 
Sasa ntwambie wewe mbabe na kiranja wa Dunia kwa sasa ni nani??
 
Siwezi kwakua nimeona haujui kitu na unatarajia niwe encyclopedia yako.

Siyo siwezi kwakua sikielewi.

Nimesoma hizi ishu kwenye Politics nikazisoma kwenye Human Rights mwaka wa kwanza na wa pili.
Ni kweli kabisa hakuna ninalojua , Ila pia Kusoma sio shida unaweza kusoma na usiambulie kitu katika usomaji wako Kuna wasomi wengi lakini bado ni weupe tu Kichwani, Ngoja nikuache msomi wa mwaka wa kwanza na wa pili chuo.
 
Ila watu wa zamani waliteseka sana....na bado Japanese ni makatili sana😭
 


Unasahau waliyoyafanya wazungu huku kwetu Afrika hasa wabelgiji kule Kongo ambayo wanayaziba kabisa




This boy, only 7 or 8 years old was hanged, supposedly because his father did not get the rubber quota, imposed by the ruling power back then.

Together with the photographer, there were at least 9 people who did nothing, whilst this boy was in his last minutes. Nine (nine, let it sink in) people who did nothing to save this boy’s life. Notice the priest on the left reading bible scriptures… For f*ck’s sake, how can he do that? Does he think he’s doing the right thing? If I wasn’t already a convinced atheïst, I would become one when I look at this picture.

This photograph sums it all up: innocent boy killed, no one seems to care, and the catholic (note the lack of capital c) church sends him off with a blessing. A crime against humanity, but it’s all ok, because they serve a higher power, in the form of a king or a god.

Leopold II was a vile ruler, with no morality at all, witness all the things he did.

But how on earth could he get people far enough to switch of their entire morality?

Sadly enough, this question pops up regularly during the course of history.
 
Siwezi kwakua nimeona haujui kitu na unatarajia niwe encyclopedia yako.

Siyo siwezi kwakua sikielewi.

Nimesoma hizi ishu kwenye Politics nikazisoma kwenye Human Rights mwaka wa kwanza na wa pili.
Msomi leta madini, mtu awaye yote anaweza kusema nimesoma hiki ama kile, jitofautishe na kuacha ego za kishamba.
 
Russia alipigwa 1905 ila second world war Russia alimnyang'anya maeneo ya visiwa hadi leo Japan analalamika
Si kwa collabo?
Bila collabo hiyo WW2 Russia asingesogeza pua.
Maana Japan alikutana na ukinzani kila eneo makoloni yake yalitumia fursa ya WW2 pia kudai uhuru.
 
Wanatumia mpaka Sasa huo mwavuli wa holocaust kuua Wapalestina kule Gaza na kupora ardhi Yao.

Yeyote anayeibuka kupinga hilo au kuikisoa Israel anaitwa mwenye chuki dhidi ya Uyahudi, ila huo mwavuli Kuna kipindi utatoboka tu maana Dunia imebadilika mno.

zitto junior
 
Hiki kipande nimecheka sana
 
Bila yale mabomu ata USA sizani kama ange toboa
Kama US angekuwa tayari kupoteza wapiganaji wengi na kuwa na majeruhi kibao, labda angetoboa bila Atomic bombs, lakini kwa mateso sana.

Tatizo US anapigana kimkakati akitaka gharama ndogo hasa ya uhai na uzima wa wapiganaji wake. Sasa mbele ya Wajapani walioapishwa kupigana kikatili hadi mwisho bila kujisalimisha, US hakuwa na ujanja tena. Kamikaze missions ziliongezeka na ukatili wa wapiganaji wa kijapani uliongezeka wakaona isiwe tabu.

Hata Vietnam, Korea na Afghanistan hawakuweza kumudu adui waliokuwa wakimiminika kwa maelfu bila kujali kifo wala Majeruhi. Wasoviet wenyewe miaka ya 80 walikimbia Afghanistan baada ya kuona hawataweza kutuliza maelfu ya wapiganaji wa mujahideen wasiokata tamaa hata wakiangamizwa kihalaiki.
 
Russia alipigwa na japan baada ya kujichanganya kupambana front 2, afu logistic kutoka st Petersburg mpk mashariki ilikua shughuli sio ndogo, alikua na jeshi dogo eneo hilo.......

sema Russia ni nchi ya ajabu sana,

kuhusu Japan vijamaa vimefanya ukatili mkubwa sana pande hizo za Asia, China wanasema bado wana deni kwa mjapani......

kuhusu Iran sijui ni kwa sababu gani, ila hio nchi haifagi kirahisi
 
Japan aliharibu meli nyingi na ndege za kivita za mmarekani (uncle Sam) vita ya pili ya dunia , ile trend ya Kamikaze au kujitoa mhanga , waasisi ni Wajapan , yale mameli makubwa ya mmarekani alikuwa ni pilot mmoja tu na ndege ya kivita iliyojawa explosives au milipuko anaendesha na kwenda kugonga hiyo meli na kusababisha maangamizi ,
Wanajeshi wengi na vifaa vingi vya mmarekani viliteketezwa na hii vita ilikuwa ngumu kwa mmarekani asikuambie mtu , pale Pacific palichafuka haswa .

Isingekuwa industrial mighty na mass production ya mmarekani Japan wasingemuweza
Industrial mass production ya mmarekani hasa baada ya kudeclare war ilikuwa ni balaa , alizalysha vifaa vya kijeshi kwa wingi mno na kuoverpower mjapan na Germany .
Na nchi karibia zote zilizoshiriki kwenye ile vita vilitumia mitambo n vifaa vya mmarekani .

Japan walikuwa nuksi haswa wale washenzi ,walianza kutwanga na kuvamia mpaka Australlia ndio ile Mmarekani akawa na yeye anaingia kwenye vita .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…