Kwanini ukatili wa kutisha wa Japan hauzungumzwi sana tofauti na wa Mjerumani katika vita vya pili vya dunia?

Kwanini ukatili wa kutisha wa Japan hauzungumzwi sana tofauti na wa Mjerumani katika vita vya pili vya dunia?

Neutralization siyo uamuzi ni lazima kama miongoni mwa masharti.

Sijaelewa unataka matukio gani.

Kamsome Saburo Sakai
Embu fafanua naona unaishia tu kwenye neutalization Pengine ukifafanua ntakuelewa zaidi
Samahani ndugu yangu.

Siwezi kufanya hivyo.
Kumbe unaongea kitu ambacho huwezi kukielezea basi nimekuelewa
 
hii ndo sababu hadi leo huwezi kumweka raia wa japan na china pamoja. ukikaa na mjapani atakwambia tu "beware of chinese" kwamba wachina wanaweza hata kukuibia hawaaminiki na sio waut wazuri. ukikaa na mchina, atakwambia mabaya tu ya mjapani.
Ila ni kweli, beware of mchina. Wachina sio wakuwaamini kabisa sio marafiki tena kama tulivyoaminishwa na enzi za Nyerere
 
Embu fafanua naona unaishia tu kwenye neutalization Pengine ukifafanua ntakuelewa zaidi

Kumbe unaongea kitu ambacho huwezi kukielezea basi nimekuelewa
Siwezi kwakua nimeona haujui kitu na unatarajia niwe encyclopedia yako.

Siyo siwezi kwakua sikielewi.

Nimesoma hizi ishu kwenye Politics nikazisoma kwenye Human Rights mwaka wa kwanza na wa pili.
 
Hiyo ilikua zamani sio sasa hivi.
Sasa hivi sio kijeshi sio kidiplomasia USA ni mbabe kipropaganda.
Mbabe gani anawasihi China na Russia na Saudi Arabia wazungumze na Iran asifanye retaliatory strike!?
Au hauna habari kama Blinken anahaha kwa mataifa yenye influence kwa Iran yamzuie Iran kushambulia??
Huyo unamuitaje mbabe!?
Ubabe wa USA umebaki kipropaganda .
Sasa ntwambie wewe mbabe na kiranja wa Dunia kwa sasa ni nani??
 
Siwezi kwakua nimeona haujui kitu na unatarajia niwe encyclopedia yako.

Siyo siwezi kwakua sikielewi.

Nimesoma hizi ishu kwenye Politics nikazisoma kwenye Human Rights mwaka wa kwanza na wa pili.
Ni kweli kabisa hakuna ninalojua , Ila pia Kusoma sio shida unaweza kusoma na usiambulie kitu katika usomaji wako Kuna wasomi wengi lakini bado ni weupe tu Kichwani, Ngoja nikuache msomi wa mwaka wa kwanza na wa pili chuo.
 
Katika maisha yangu ya kusoma vita vikubwa vilivyowahi kupiganwa duniani basi vita vya kwanza na vya pili vya dunia haviachi kugusiwa.

Sasa katika kufundishwa kwa vita hivi vikuu vya dunia hasa vita vya pili kuna jambo moja nimegundua.

Jambo lenyewe ni kuwa katika maadui wanao zungumziwa sana basi ni taifa la ujerumani chini ya Hitler ndilo lina zungumziwa sana kwa ukatili na mauaji ya kutisha lakini katika pitapita zangu katika machapisho mbalimbali na historia kuhusu vita hivi nimekuja kugundua kuna adui mmoja wa vita hivi anawekwa nyuma nyuma au anafichwa kabisa naye ni Japan.

Katika chimbachimba zangu nimegundua kuwa Japan alifanya ukatili na mauaji ya kutisha katika vita hivi wenda kuliko hata mjerumani.

Na hata historia ya Japan katika vita hivi kwa kiasi kikubwa inaelezewa pale tu Japan alipo shambulia maeneo ya marekani naye kupigwa nyuklia na kuonekana kama alionewa na marekani na marekani ni mtu mbaya kwa alicho fanya kwa Japan. na kwa asilimia kubwa sehemu ya dunia inaona kama Japan alikosewa sana na marekani.

Ila kiuhalisia Japan alikuwa mshenzi na mtabe hasa kule Asia alikichafua balaah.

Mjapan alikuwa mtu wa fujo kuliko hata wajerumani.

Japan alipiga sana na kutesa, kuua na kubaka, kukata vichwa wachina ile mbaya, piga vibaya wakorea, piga vibaya wafilipino, piga vibaya wavietnam, piga vibaya tesa waindonesia, piga Wathailand, wasingopore.....

Japan alitesa na kuichakaza ile Asia kwa ukatili wake ilifika kipindi askari wa Japan waliingia katika mashindano ya kuua wachina.

Haya ni baadhi ya matukio ya Wajapan WWII

Part of the territorial conquests of the Empire of Japan

Bodies of victims along the Qinhuai River, out of Nanjing's west gate during the Nanjing Massacre
Beheading of Leonard George Siffleet.jpg - Wikipedia
An Australian POW, Sgt. Leonard Siffleet, captured in New Guinea, about to be beheaded by a Japanese officer with a guntō, 1943



Japanese soldiers shooting blindfolded Sikh prisoners and then bayonetting them. Photos discovered after the liberation of Singapore.
Xuzhou, China, 1938. A mass grave filled with bodies of Chinese civilians, murdered by Japanese soldiers.[74]Photo taken in Xuzhou, showing the body of a woman who was raped and killed by Japanese soldiers

Main articles: Unit 731 and Japan and weapons of mass destruction § Bioweapons
A hypothermia experiment, using Chinese prisoners as subjects under surveillance by Japanese soldiers in 731Shirō Ishii, commander of Unit 731

Unit 731 members spraying a noxious substance onto a victim as part of their research

A burial detail of American and Filipino POWs killed during the Bataan Death March, 1942

Australian and Dutch prisoners of war at Tarsau in Thailand, 1943

Japanese soldiers escorting Chinese forced-labour farm workers, 1937

Unaweza kupitia zaidi hapa chini

Kama ambavyo unasikia na kusoma pia kuwa hakuna watu wayahudi hawawapendi kuwasikia hata kuwaona kama Wanazi basi wachina nao hakuna watu wanawachukia hapa duniani kama wajapan.

Wenda sababu ya maovu ya Japan kutokupewa sana headlines ni shambulizi la kunyuklia la marekani na wenda pia sababu alijikita kuua, kutesa na kufanyia kila aina ya ushenzi jamii ya Asia zaidi tofauti na wazungu na wayahudi tofauti na alivyo fanya mjerumani.

Wajapan walikuwa balaah
An article on the "Contest to kill 100 people using a sword" published in the Tokyo Nichi Nichi Shimbun. The headline reads, "'Incredible Record' (in the Contest to Cut Down 100 People) – Mukai 106–105 Noda – Both 2nd Lieutenants Go into Extra Innings".[16]A sword used in the "contest" is on display at the Republic of China Armed Forces Museum in Taipei, Taiwan


  • Photo in the album taken in Nanjing by Itou Kaneo of the Kisarazu Air Unit of the Imperial Japanese Navy

  • A picture of a dead child. Probably taken by Bernhard Sindberg
    A picture of a dead child. Probably taken by Bernhard Sindberg

  • Prisoners being buried alive[93]
    Prisoners being buried alive[93]


  • Skeletons of the massacre's victims

A Chinese POW about to be beheaded by a Japanese officer using a shin-guntō


Bodies of Chinese massacred by Japanese troops along a river in Nanjing

Original caption by John Magee: "This nineteen year old woman was a refugee at the American School in the Refugee Zone. She was six and one-half months pregnant with her first child. She resisted rape and was therefore stabbed many times by a Japanese soldier. She has nineteen cuts on her face, eight on her legs, and a cut two inches deep in her abdomen. This caused a miscarriage the day after her entrance into the University Hospital. She recovered from her wounds."

A boy killed by a Japanese soldier with the butt of a rifle, reportedly because he did not take off his hat

Massacre contest​

Main article: Contest to kill 100 people using a sword
In 1937, the Osaka Mainichi Shimbun and its sister newspaper, the Tokyo Nichi Nichi Shimbun, covered a contest between two Japanese officers, Toshiaki Mukai and Tsuyoshi Noda of the Japanese 16th Division. The two men were described as vying to be the first to kill 100 people with a sword before the capture of Nanjing. From Jurong to Tangshan (two cities in Jiangshu Province, China), Mukai had killed 89 people while Noda had killed 78. The contest continued because neither had killed 100 people. By the time they had arrived at Zijin Mountain, Noda had killed 105 people while Mukai had killed 106 people. Both officers supposedly surpassed their goal during the heat of battle, making it impossible to determine which officer had actually won the contest. Therefore, according to journalists Asami Kazuo and Suzuki Jiro, writing in the Tokyo Nichi Nichi Shimbun of December 13, they decided to begin another contest to kill 150 people.[46

Original caption by John Magee: "This is the corpse of a boy about seven years old who died three days after his admission into the University Hospital. He had received five bayonet wounds in the abdomen, one of them perforating the stomach."

Photo taken in Xuzhou, showing the body of a woman who was profaned in a way similar to the teenager described in case 5 of John Magee's filmCase 5 of John Magee's film: on December 13, 1937, about 30 Japanese soldiers murdered all but two of 11 Chinese in the house at No. 5 Xinlukou. A woman and her two teenaged daughters were raped, and Japanese soldiers rammed a bottle and a cane into her vagina. An eight-year-old girl was stabbed, but she and her younger sister survived. They were found alive two weeks after the killings by the elderly woman shown in the photo. Bodies of the victims can also be seen in the photo.[47][48]

Hawa masamurai walikuwa shida huko nyuma Asia walisaga meno
View attachment 2961902

Kama unazungumzia ukatili basi Japan walikuwa top kipindi hiyo. Hatari sana hawa masamurai.


Unasahau waliyoyafanya wazungu huku kwetu Afrika hasa wabelgiji kule Kongo ambayo wanayaziba kabisa

1713019255846.jpeg



This boy, only 7 or 8 years old was hanged, supposedly because his father did not get the rubber quota, imposed by the ruling power back then.

Together with the photographer, there were at least 9 people who did nothing, whilst this boy was in his last minutes. Nine (nine, let it sink in) people who did nothing to save this boy’s life. Notice the priest on the left reading bible scriptures… For f*ck’s sake, how can he do that? Does he think he’s doing the right thing? If I wasn’t already a convinced atheïst, I would become one when I look at this picture.

This photograph sums it all up: innocent boy killed, no one seems to care, and the catholic (note the lack of capital c) church sends him off with a blessing. A crime against humanity, but it’s all ok, because they serve a higher power, in the form of a king or a god.

Leopold II was a vile ruler, with no morality at all, witness all the things he did.

But how on earth could he get people far enough to switch of their entire morality?

Sadly enough, this question pops up regularly during the course of history.
 
Siwezi kwakua nimeona haujui kitu na unatarajia niwe encyclopedia yako.

Siyo siwezi kwakua sikielewi.

Nimesoma hizi ishu kwenye Politics nikazisoma kwenye Human Rights mwaka wa kwanza na wa pili.
Msomi leta madini, mtu awaye yote anaweza kusema nimesoma hiki ama kile, jitofautishe na kuacha ego za kishamba.
 
Russia alipigwa 1905 ila second world war Russia alimnyang'anya maeneo ya visiwa hadi leo Japan analalamika
Si kwa collabo?
Bila collabo hiyo WW2 Russia asingesogeza pua.
Maana Japan alikutana na ukinzani kila eneo makoloni yake yalitumia fursa ya WW2 pia kudai uhuru.
 
Ujerumani inatajwa sana kwa sababu waliouwawa zaidi ni Wayahudi. Hata Poland kuna mauaji mengi yalifanywa na Warusi ila hayasemwi sana.

Ni kawaida ya Wayahudi kujiliza na kujikuta wao wanaonewa zaidi. Kwanza wanakuza idadi ya waliouwawa na Nazi Germany, wanakadiria ni 6 million wakati ushahidi wa hizo namba hamna unawezakuta hata 1 million hawafiki. Wao hata wametunga jina "holocaust" hawataki hata litumike kwingine nyinyi wengine tumia "genocide" na ukibisha namba wanazotaja unaitwa holocaust denial.
Wanatumia mpaka Sasa huo mwavuli wa holocaust kuua Wapalestina kule Gaza na kupora ardhi Yao.

Yeyote anayeibuka kupinga hilo au kuikisoa Israel anaitwa mwenye chuki dhidi ya Uyahudi, ila huo mwavuli Kuna kipindi utatoboka tu maana Dunia imebadilika mno.

zitto junior
 
Unasahau waliyoyafanya wazungu huku kwetu Afrika hasa wabelgiji kule Kongo ambayo wanayaziba kabisa

View attachment 2962478


This boy, only 7 or 8 years old was hanged, supposedly because his father did not get the rubber quota, imposed by the ruling power back then.

Together with the photographer, there were at least 9 people who did nothing, whilst this boy was in his last minutes. Nine (nine, let it sink in) people who did nothing to save this boy’s life. Notice the priest on the left reading bible scriptures… For f*ck’s sake, how can he do that? Does he think he’s doing the right thing? If I wasn’t already a convinced atheïst, I would become one when I look at this picture.
Hiki kipande nimecheka sana
 
Bila yale mabomu ata USA sizani kama ange toboa
Kama US angekuwa tayari kupoteza wapiganaji wengi na kuwa na majeruhi kibao, labda angetoboa bila Atomic bombs, lakini kwa mateso sana.

Tatizo US anapigana kimkakati akitaka gharama ndogo hasa ya uhai na uzima wa wapiganaji wake. Sasa mbele ya Wajapani walioapishwa kupigana kikatili hadi mwisho bila kujisalimisha, US hakuwa na ujanja tena. Kamikaze missions ziliongezeka na ukatili wa wapiganaji wa kijapani uliongezeka wakaona isiwe tabu.

Hata Vietnam, Korea na Afghanistan hawakuweza kumudu adui waliokuwa wakimiminika kwa maelfu bila kujali kifo wala Majeruhi. Wasoviet wenyewe miaka ya 80 walikimbia Afghanistan baada ya kuona hawataweza kutuliza maelfu ya wapiganaji wa mujahideen wasiokata tamaa hata wakiangamizwa kihalaiki.
 
Sijui kwa nini Japan hawapewi heshima Yao ya ukatili na ubabe.


Kama Japan asingeishambulia Marekani na kuruhusu mgogoro wake na Marekani uishe kwenye meza ya mazungumzo basi Leo tungekuwa na Superpower Wawili Japan na Marekani tu, China ingekuwa huko Tibet na ndogo Kama Taiwan.

Watu hawampi Japan heshima inayostahili Japan aliwapiga hawa Akiwa peke yake.

1. Russia
2. China
3. Korea
4. Taiwan (Fermosa)
5. Ufilipino
6. Malaysia
7. Indonesia
8. Australia Na Pacific yote

Hawa wote sio wenyeji tu na Wakoloni, Kuanzia Uingereza, Waholanzi n.k

Huyo China ndio alikula kipigo cha mbwa koko.

Kwa jinsi Japan alivokuwa mpole hivi namsihi Iran asijeingia mkenge wa vita na Israel na Marekani
Russia alipigwa na japan baada ya kujichanganya kupambana front 2, afu logistic kutoka st Petersburg mpk mashariki ilikua shughuli sio ndogo, alikua na jeshi dogo eneo hilo.......

sema Russia ni nchi ya ajabu sana,

kuhusu Japan vijamaa vimefanya ukatili mkubwa sana pande hizo za Asia, China wanasema bado wana deni kwa mjapani......

kuhusu Iran sijui ni kwa sababu gani, ila hio nchi haifagi kirahisi
 
Japan aliharibu meli nyingi na ndege za kivita za mmarekani (uncle Sam) vita ya pili ya dunia , ile trend ya Kamikaze au kujitoa mhanga , waasisi ni Wajapan , yale mameli makubwa ya mmarekani alikuwa ni pilot mmoja tu na ndege ya kivita iliyojawa explosives au milipuko anaendesha na kwenda kugonga hiyo meli na kusababisha maangamizi ,
Wanajeshi wengi na vifaa vingi vya mmarekani viliteketezwa na hii vita ilikuwa ngumu kwa mmarekani asikuambie mtu , pale Pacific palichafuka haswa .

Isingekuwa industrial mighty na mass production ya mmarekani Japan wasingemuweza
Industrial mass production ya mmarekani hasa baada ya kudeclare war ilikuwa ni balaa , alizalysha vifaa vya kijeshi kwa wingi mno na kuoverpower mjapan na Germany .
Na nchi karibia zote zilizoshiriki kwenye ile vita vilitumia mitambo n vifaa vya mmarekani .

Japan walikuwa nuksi haswa wale washenzi ,walianza kutwanga na kuvamia mpaka Australlia ndio ile Mmarekani akawa na yeye anaingia kwenye vita .
 
Back
Top Bottom