Kwanini ukatili wa kutisha wa Japan hauzungumzwi sana tofauti na wa Mjerumani katika vita vya pili vya dunia?

Yah ,,! Mmarekani bila zile nukes na kusurrender kwa yule mfalme wa Japan ,Ile vita wasingeshinda au labda wangechukua muda mrefu sana na kwa maumivu makali , ukizingatia yule mfalme wao raia wa japan walimwona kama Mungu wao ,so mfalme wao angezinda wangeendelea na zile itikadi zao za Kamikaze , ndege moja ya kivita inaenda kugonga na kulipua meli na kuua maelfu ya watu na kuteketeza wanajeshi na uharibifu mwingine .
 
Mistake ya Hitler ilikuwa ni kuoverstrech majeshi huku akijua ile frontline ya Russia ni ngumu kihistoria ,tangia enzi za akina Napoleon , walishindwa na kuambulia failure hapo , maana terrain yenyewe si rafiki ,na katika vita supplies ya mahitaji kama chakula ,mafuta ,madawa , nguo na silaha ni muhimu .
Na hata henchmen wake walimuambia ila akaamua kupuuzia .
 
" The rape of Nanking "
Wachina mpaka leo wanaugulia maumivu , pale naamini ilifanyika Genocide
 
Nadhani unasahau kuwa URUSI yupo nyuma ya nchi hizo ulizotaja hapo yaani Vietnam na Yemeni....
 
Tena wanaweza hata kuwa Wayahudi wa mchongo wale...
 
Sio hiyo tu… Leo watu wanafanya majaribio ya silaha za kibailojia kwa wanyama. Wajapan walikuwa wanafanya majaribio kwa binadamu hasa wachina na wa Korea.

Marekani wana utu sana
msiwe mnadanganywa. hii dunia haijawahi kuwa na watu wenye utu hao wote ma superpower wana mambo mazito ya dhahiri na ya siri.
Huyo US unajua alichokua anawafanya watumwa weusi hapo? Ni jinai zilezile kama alizokua anafanya Hitler kwa wayahudi au wajapan kwa Indo-Asians kule Asia.
US wamefanya udhalimu sehemu nyingi duniani kama walivyofanya waingereza, wajapan, na wajerumani.
 
Yeah
Hizo human experiments imefanyika sana hapo Us ,mojawapo maarufu ni ile ya kuwaambukiza watu weusi syphilis makusudi halafu wanafanyia majaribio penicillins, kila mtu ana ushenzi wake,hakuna mwenye nafuu,ni vile tumechagua upande wa kujiegemeza
So yes,whoever wins
write history and decide which to tell in his tale and which not
 
Nadhani unasahau kuwa URUSI yupo nyuma ya nchi hizo ulizotaja hapo yaani Vietnam na Yemeni....
Yemeni tusidanganyane mkuu.
Urusi haipo nyuma ya Yemeni unless ulete ushahidi.
Anaefahamika yupo nyuma ya Yemeni ni Iran,na hata meli zake hukamatwa zikienda Yemen kupeleka silaha mbali mbali.
Unless ulete ushahidi mkuu.
 
Yaani kama unaamini USA amechemka Red Sea basi bado huifahamu USA isome tena.
 
Jichanganye
 
Japan walikuwa wababe haswaa
 
Iki ujue USA hakupigwa kwenye vita ya Vietnam lazima ujue hali ya kisiasa ilikuaje kipindi hicho katika Taifa la marekani.

Kiufupi vita hivyo vya Vietnam vilipingwa sn na wa USA wenyewe hali ilivopelekea rais wao Kennedy kuuawa so kimsingi ni vita ambayo USA hawakuwa na maslahi nayo.

Lkn pia kuna mambo mengi sn yaliyopelekea USA ku give kwenye hiyo war.jisomee utaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…