Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah ,,! Mmarekani bila zile nukes na kusurrender kwa yule mfalme wa Japan ,Ile vita wasingeshinda au labda wangechukua muda mrefu sana na kwa maumivu makali , ukizingatia yule mfalme wao raia wa japan walimwona kama Mungu wao ,so mfalme wao angezinda wangeendelea na zile itikadi zao za Kamikaze , ndege moja ya kivita inaenda kugonga na kulipua meli na kuua maelfu ya watu na kuteketeza wanajeshi na uharibifu mwingine .Radia history vita ya WW 2 iliwahi kuisha Ulaya kabla ya pacific
Pia Japan ilikuwa bado inazaidi ya wanajeshi million 3 na hata kwenye makoloni Yao walikuwa bado wanapambana but issue ilikuwa bomu la Nyuklia,
Marekani aliona conventional war na Japan Kama na Ujerumani itauua askari wengi, pia almost kila mjapan atapigana, only solution ni kutumia nyuklia.
Pia mfalme alisarenda bila kuwahusisha majenerali wote, wengine walikuwa hawataki.
Ile Japan ilikuwa na Kile kizazi jeuri na kikaidi kuwahi kutokea .Bila yale mabomu ata USA sizani kama ange toboa
Mistake ya Hitler ilikuwa ni kuoverstrech majeshi huku akijua ile frontline ya Russia ni ngumu kihistoria ,tangia enzi za akina Napoleon , walishindwa na kuambulia failure hapo , maana terrain yenyewe si rafiki ,na katika vita supplies ya mahitaji kama chakula ,mafuta ,madawa , nguo na silaha ni muhimu .Na Mjerumani alikuwa na Moto sana.
Yaani Marekani aliwaaokowa watu wengi sana.
Imagine Marekani angeamua asifanye land lease policy alafu Hitler apigane front moja tu asiwaze kabisa kuvamiwa upande wa ufaransa.
Leo timu za Moscow zingekuwa zinashiriki ligi kuu ya Ujerumani.
Hii vita ilimpa hofu na funzo Russia kuwa akitokea Adui strong mpakani mwake basi hatoboi ndio maana anajitahidi sana Ukraine isiingie NATO, yaani safari hii vita itaanzia miles 500 kutoka Moscow na Kule Finland ni Kama mile 300 kwenda St Peter’s burgs
umewasahau VIKINGS....pia walikuwa washenzi sanaKwa empire za kizamani, wamongolia,wajapan na dola la rumi ndio naona walikuwa miyeyusho saana, ukatili na vitu vya ajabu ajabu.
Nadhani unasahau kuwa URUSI yupo nyuma ya nchi hizo ulizotaja hapo yaani Vietnam na Yemeni....Unaongea kwa taarifa za kuunga unga.
Osama si aliwahi kutumika kabla na USA hao hao kama Taliban na Mujaheddin walivyotumika kuivunja USSR ya Soviet!?
Alqaeda ilisumbua kwa muda gani mpaka Osama akafariki?
USA usiikuze hivyo,uwezi ukasema Yemeni anabwekea mbali ilhali Baab Al mandib ni mkondo wa bahari muhimu wa upitishaji mizigo baina ya Ulaya na mashariki ya kati na mashariki ya mbali.
Hivyo hadi USA interests zimeguswa,na mbaya zaidi Yemeni ndio kauzuia huo mkondo wa bahari hadi sasa US kashindwa kumteketeza.
Pia usisahau US amefeli mission nyingi na vita nyingi tu mfano mdogo ni vita na vietnam 1970s.
USA ilipigwa kipigo takatifu yenyewe inalijua hilo.
Tena wanaweza hata kuwa Wayahudi wa mchongo wale...Ujerumani inatajwa sana kwa sababu waliouwawa zaidi ni Wayahudi. Hata Poland kuna mauaji mengi yalifanywa na Warusi ila hayasemwi sana.
Ni kawaida ya Wayahudi kujiliza na kujikuta wao wanaonewa zaidi. Kwanza wanakuza idadi ya waliouwawa na Nazi Germany, wanakadiria ni 6 million wakati ushahidi wa hizo namba hamna unawezakuta hata 1 million hawafiki. Wao hata wametunga jina "holocaust" hawataki hata litumike kwingine nyinyi wengine tumia "genocide" na ukibisha namba wanazotaja unaitwa holocaust denial.
AaahaaaahaaaaSamurai noma sana kuna mwamba aliitwa TAKUMA kuua kwake kama kunywa maji tu
msiwe mnadanganywa. hii dunia haijawahi kuwa na watu wenye utu hao wote ma superpower wana mambo mazito ya dhahiri na ya siri.Sio hiyo tu… Leo watu wanafanya majaribio ya silaha za kibailojia kwa wanyama. Wajapan walikuwa wanafanya majaribio kwa binadamu hasa wachina na wa Korea.
Marekani wana utu sana
Dunia imepita watu balaaumewasahau VIKINGS....pia walikuwa washenzi sana
Yeahmsiwe mnadanganywa. hii dunia haijawahi kuwa na watu wenye utu hao wote ma superpower wana mambo mazito ya dhahiri na ya siri.
Huyo US unajua alichokua anawafanya watumwa weusi hapo? Ni jinai zilezile kama alizokua anafanya Hitler kwa wayahudi au wajapan kwa Indo-Asians kule Asia.
US wamefanya udhalimu sehemu nyingi duniani kama walivyofanya waingereza, wajapan, na wajerumani.
Yemeni tusidanganyane mkuu.Nadhani unasahau kuwa URUSI yupo nyuma ya nchi hizo ulizotaja hapo yaani Vietnam na Yemeni....
Yaani kama unaamini USA amechemka Red Sea basi bado huifahamu USA isome tena.Usijidanganye.
USA hupaweka salama pale ambapo pana maslahi yake.
Pia USA hiyo hiyo hupaharibu pale ambapo anapotaka kubeba maslahi yake,dunia sio salama mikononi mwa USA.
Kuna mikataba iliingiwa na kuna unufakaji ulipatikanika kwa USA kusaidia vita ya pili ya dunia.
Hayo mataifa mathalan UK mpaka leo yana madeni ya USA kutokana na kufadhiliwa vita ya pili ya dunia.
Pia usimkuze USA hivyo,red sea hapo Yemeni imemzuia mpaka leo kashindwa kujitutumua.
JichanganyeHiyo ilikua zamani sio sasa hivi.
Sasa hivi sio kijeshi sio kidiplomasia USA ni mbabe kipropaganda.
Mbabe gani anawasihi China na Russia na Saudi Arabia wazungumze na Iran asifanye retaliatory strike!?
Au hauna habari kama Blinken anahaha kwa mataifa yenye influence kwa Iran yamzuie Iran kushambulia??
Huyo unamuitaje mbabe!?
Ubabe wa USA umebaki kipropaganda .
Japan walikuwa wababe haswaaSijui kwa nini Japan hawapewi heshima Yao ya ukatili na ubabe.
Kama Japan asingeishambulia Marekani na kuruhusu mgogoro wake na Marekani uishe kwenye meza ya mazungumzo basi Leo tungekuwa na Superpower Wawili Japan na Marekani tu, China ingekuwa huko Tibet na ndogo Kama Taiwan.
Watu hawampi Japan heshima inayostahili Japan aliwapiga hawa Akiwa peke yake.
1. Russia
2. China
3. Korea
4. Taiwan (Fermosa)
5. Ufilipino
6. Malaysia
7. Indonesia
8. Australia Na Pacific yote
Hawa wote sio wenyeji tu na Wakoloni, Kuanzia Uingereza, Waholanzi n.k
Huyo China ndio alikula kipigo cha mbwa koko.
Kwa jinsi Japan alivokuwa mpole hivi namsihi Iran asijeingia mkenge wa vita na Israel na Marekani
Mimi au wewe!?Jichanganye
Iki ujue USA hakupigwa kwenye vita ya Vietnam lazima ujue hali ya kisiasa ilikuaje kipindi hicho katika Taifa la marekani.Ndivyo mlivyo.
Nimekupa mifano wewe unaingia katika udini.
Vietnam ilioipiga USA 1970s ilikua yangapi katika rank ya global power!?
Shida yenu mnakaririshwa mkiambiwa ukweli mnaleta udini.
Nina swali moja tu naomba unijibu.
India katika global rank power ipo juu ya France na Uingereza,je kivita ni kweli India inaizidi France na Uingereza!?
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
Naomba hilo jibu hapo.
mchina na mjapani awapatini mpaka sasa ata wakikutana mchina anamchukia sana mjapaniMambo yamebadilika lakini masamurai watafinywa vibaya siku wakijichanganya