Kwanini ukimaliza 'Kushughulika Kibaiolojia' na Wanawake wa Siku hizi hulazimisha wakufute 'Madhiwa' na Kufuli zao na siyo 'Kitambaa' Maalum?

Mbona umetanguliza maneno ya kujihami: kwani huna uhakika na mada yako?[emoji3]
Kama maneno gani hayo ya Mimi Kujihami? Hivi Mimi Mwamba naweza Kujihami?

Hovyoooooo......!!!!!!
 
Mkuu unachukua madem wa sampuli ipi?anasafisha halafu anavaa tena?au anaenda kufua?chunguza tu aina za mademu unaon'goa hakuna ushirikina hapo ni uchafu tu
 
Hicho kitambaa tumenunua sa ngapi labda kama umekuja nacho.
 
Huaga mnafutwa kumbe😂😂.

Siku hizi ukikojoa tu demu kesharukia simu yake kufungua insta kidume unakusanya mbupu zako kutafuta njia ya kumtoroka.
Enzi za vitambaa maalum vilivyowekwa maji ya uvugu vugu iliisha na na vizazi vya 80's. Hiki kizazi cha social media na kula nauli vinawaza vikamdangie nani tu.

Ukimaliza wewe tayari anamuwazia mwingine akitoka kwako, unafikiri atawaza hata kukufuta na hiyo chupi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…