GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mimi sijui nina nini kwanini Napendwa sana na Watoto na hata pale nikikutana tu na Watoto ambao huwa wanakataa ama Kubebwa na Watu au kuwa nao Karibu Mimi nikiwabeba hawasumbui kwa Kukataa na ndiyo Kwanza hucheka na hata kama alikuwa Analia akiwa nami hunyamaza.Watoto sio wanafiki. Wakikupenda utajua na Wakikuchukia utajua.
Ukiona au Ukijijua humpendi GENTAMYCINE au hupendi Mada zake kutokana tu na ama Upumbavu wako au Ushamba wako au Wivu wako kwa Umaarufu wake au kwa Uswahili Uswahili wako au kwa Stress na Frustrations zako za Maisha magumu uliyonayo na Madeni ya Mikopo yanayokubali ni vyema tu ukaacha nae na uwaache wale Wanaomuelewa na wenye Akili Kubwa waendelee Kumsoma na hata Kuburudika nae pia hapa JamiiForums.Akili nyingine za ajabu sana. Heading imeuliza swali. Nikategemea mleta mada angeleta majibu au angesubiri jibu, kumbe anatoa ushauri.
Ujinga kweli mzigo. Umaarufu JF? Haya tuambie superstar wa jf huo umaarufu wa jf umekupunguzia ugumu upi wa dhiki zako.Ukiona au Ukijijua humpendi GENTAMYCINE au hupendi Mada zake kutokana tu na ama Upumbavu wako au Ushamba wako au Wivu wako kwa Umaarufu wake au kwa Uswahili Uswahili wako au kwa Stress na Frustrations zako za Maisha magumu uliyonayo na Madeni ya Mikopo yanayokubali ni vyema tu ukaacha nae na uwaache wale Wanaomuelewa na wenye Akili Kubwa waendelee Kumsoma na hata Kuburudika nae pia hapa JamiiForums.
Nina imani message sent and delivered.
Watoto wanauwezo wa kusense mtu msafi au mtu mchafu kiroho.Mimi sijui nina nini kwanini Napendwa sana na Watoto na hata pale nikikutana tu na Watoto ambao huwa wanakataa ama Kubebwa na Watu au kuwa nao Karibu Mimi nikiwabeba hawasumbui kwa Kukataa na ndiyo Kwanza hucheka na hata kama alikuwa Analia akiwa nami hunyamaza.
Na ndiyo kutwa huwa nasema hapa kuna Wengine Kiasili tuna Karama ya Mungu inayofanya Wapumbavu watuchukie.
Usinifanyie hivyo basi.Ili ubarikiwe sio😃😃
kuna watu nawajua wanatoa sana na maisha magumu ileile
Ningekuwa na Dhiki ningekuwepo Ikulu ya Uganda huku nikipewa Heshima zote za VIP na Kuiwakilisha vyema Tanzania?Ujinga kweli mzigo. Umaarufu JF? Haya tuambie superstar wa jf huo umaarufu wa jf umekupunguzia ugumu upi wa dhiki zako.
Sasa nimejua kwanini GENTAMYCINE nabarikiwa mno halafu Maajabu mengi ya Kimafanikio yananitokea. Asante Mungu.Ni kweli kabisa ukiwa mtu wa kutoa unabarikiwa sana
Amina sana Mkuu na Ubarikiwe.Sio watoto tu mkuu,
Hata ukisaidia watu wazima wasiojiweza hua inaleta amani ya nafsi,
Hata ukimuelekeza mtu njia tu na akaelewa,hua inaleta amani fulani ndani ya nafsi,
Kusaidia watu ni njia mojawapo ya kua na amani ndani ya nafsi yako.