Kwanini ukiwa na tabia ya Kusaidia sana Watoto Kipesa au hata Kuwasaidia chochote cha Umuhimu unafunguliwa na unabarikiwa sana?

Kwanini ukiwa na tabia ya Kusaidia sana Watoto Kipesa au hata Kuwasaidia chochote cha Umuhimu unafunguliwa na unabarikiwa sana?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nina Ushuhuda wa hili kwa 100% hivyo nakuomba nawe ukipata chochote penda kuwapa Watoto utakuja Kunishukuru.

Asante sana Mwenyezi Mungu kwa BARAKA zako na nakumbuka hata katika Maandiko pia umetuasa tupende Watoto.
 
Watoto sio wanafiki. Wakikupenda utajua na Wakikuchukia utajua.
Mimi sijui nina nini kwanini Napendwa sana na Watoto na hata pale nikikutana tu na Watoto ambao huwa wanakataa ama Kubebwa na Watu au kuwa nao Karibu Mimi nikiwabeba hawasumbui kwa Kukataa na ndiyo Kwanza hucheka na hata kama alikuwa Analia akiwa nami hunyamaza.

Na ndiyo kutwa huwa nasema hapa kuna Wengine Kiasili tuna Karama ya Mungu inayofanya Wapumbavu watuchukie.
 
Akili nyingine za ajabu sana. Heading imeuliza swali. Nikategemea mleta mada angeleta majibu au angesubiri jibu, kumbe anatoa ushauri.
Ukiona au Ukijijua humpendi GENTAMYCINE au hupendi Mada zake kutokana tu na ama Upumbavu wako au Ushamba wako au Wivu wako kwa Umaarufu wake au kwa Uswahili Uswahili wako au kwa Stress na Frustrations zako za Maisha magumu uliyonayo na Madeni ya Mikopo yanayokubali ni vyema tu ukaacha nae na uwaache wale Wanaomuelewa na wenye Akili Kubwa waendelee Kumsoma na hata Kuburudika nae pia hapa JamiiForums.

Nina imani message sent and delivered.
 
Ujinga kweli mzigo. Umaarufu JF? Haya tuambie superstar wa jf huo umaarufu wa jf umekupunguzia ugumu upi wa dhiki zako.
 
Mimi sijui nina nini kwanini Napendwa sana na Watoto na hata pale nikikutana tu na Watoto ambao huwa wanakataa ama Kubebwa na Watu au kuwa nao Karibu Mimi nikiwabeba hawasumbui kwa Kukataa na ndiyo Kwanza hucheka na hata kama alikuwa Analia akiwa nami hunyamaza.

Na ndiyo kutwa huwa nasema hapa kuna Wengine Kiasili tuna Karama ya Mungu inayofanya Wapumbavu watuchukie.
Watoto wanauwezo wa kusense mtu msafi au mtu mchafu kiroho.
Kwa sababu roho zinawasiliana
 
Sio watoto tu mkuu,
Hata ukisaidia watu wazima wasiojiweza huwa inaleta amani ya nafsi,
Hata ukimuelekeza mtu njia tu na akaelewa, huwa inaleta amani fulani ndani ya nafsi,
Kusaidia watu ni njia mojawapo ya kuwa na amani ndani ya nafsi yako.
 
Ukitoa sehemu ambayo hauwezi kupokea, unakuwa umeshatengeneza nishati chanya hiyo IPO kiroho zaidi sio tu watoto hata ukioa maisha huwa yanabadilika katika swala la riziki maana.

NB intention matter most ukimpa MTU usiweke matarajio ya kupokea kutoka kwa MTU uliyempa isipokuwa universe itakuletea.
 
Ukimpa mtoto peremende, hakikisha mtoto huyo anamshukuru Mungu- Andrew Nyerere🤔

Mimi Huwa nabeba zawadi Kwa ajili ya watoto, na Huwa inanilipa sana kufungua MILANGO ya baraka.
 
Back
Top Bottom