Kwanini ukiwa na tabia ya Kusaidia sana Watoto Kipesa au hata Kuwasaidia chochote cha Umuhimu unafunguliwa na unabarikiwa sana?

Nina Ushuhuda wa hili kwa 100% hivyo nakuomba nawe ukipata chochote penda kuwapa Watoto utakuja Kunishukuru.

Asante sana Mwenyezi Mungu kwa BARAKA zako na nakumbuka hata katika Maandiko pia umetuasa tupende Watoto.
Siyo watoto tu bali wenye mahitaji yaani wasio na uwezo kabisaa
 
Ujinga kweli mzigo. Umaarufu JF? Haya tuambie superstar wa jf huo umaarufu wa jf umekupunguzia ugumu upi wa dhiki zako.
huyu jamaa ana shida sana, nilisemaga kumsaidia huyu mtu ni kumuondolea ile tuzo vichwa kama hivi havipaswi kuongoza hata mtaa! Kama hapa tu anajiona kamaliza je akipewa kazi huko jamii forums? Hili toto halipo sawa kabisa🤣
 
Nina Ushuhuda wa hili kwa 100% hivyo nakuomba nawe ukipata chochote penda kuwapa Watoto utakuja Kunishukuru.

Asante sana Mwenyezi Mungu kwa BARAKA zako na nakumbuka hata katika Maandiko pia umetuasa tupende Watoto.
The hands that collects are the hands that gives.

Don't take before you give.

Money is a currency that must flow.
 
Hivi huwa mnasaidia ili mbarikiwe?
Naona comments za watoa misaada wengi wanasaidia kwa kuhitajai baraka afu at the same time wanasema wanasaidia bila kuhitaji malipo aloo.
 
Lethergo naomba unisaidie pesa ubarikiwe, mimi ni mtoto niko na 5yrs 😹
 
Swali lako ni jibu la hoja yangu ya siku zote, Sadaka hali Mungu wala Mchungaji ni kupoteza pesa bure, sadaka yenye baraka inapaswa kua msaada kwa jamii yako hasa jirani asiejimudu kiuchumi.
 
Nina Ushuhuda wa hili kwa 100% hivyo nakuomba nawe ukipata chochote penda kuwapa Watoto utakuja Kunishukuru.

Asante sana Mwenyezi Mungu kwa BARAKA zako na nakumbuka hata katika Maandiko pia umetuasa tupende Watoto.
WATOTO hawana hila
 
Akili nyingine za ajabu sana. Heading imeuliza swali. Nikategemea mleta mada angeleta majibu au angesubiri jibu, kumbe anatoa ushauri.
Gen Z shida sana.Ifike mahala JF waweke limit ya kupost..Siyo kila story hata za kupiga na mchepuko Mtu anaweka kwenye maandishi anapost JF..Halafu huyu eti ni graduate...
 
Gen Z shida sana.Ifike mahala JF waweke limit ya kupost..Siyo kila story hata za kupiga na mchepuko Mtu anaweka kwenye maandishi anapost JF..Halafu huyu eti ni graduate...
Sasa kuna faida gani kuja na ID ya awali ya kunisema kisha ukaona haitoshi umekuja tena na hii ID yako nyingine? Mimi nadhani ifike pahala sasa JF waje na utaratibu wa kutoruhusu Wapumbavu Tukuka kama Wewe na huyo Mwenzako hapo juu kuwepo hapa. Unasema unakerwa na huu Uzi wangu je, kuna mahala popote pale labda umeona nilipouanzisha nimekuita ( mention ) Wewe na huyu Mpumbavu Mwenzako TAI DUME?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…