kevoomarcus
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 495
- 905
Mambo ya kusadikika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀Ujinga kweli mzigo. Umaarufu JF? Haya tuambie superstar wa jf huo umaarufu wa jf umekupunguzia ugumu upi wa dhiki zako.
Siyo watoto tu bali wenye mahitaji yaani wasio na uwezo kabisaaNina Ushuhuda wa hili kwa 100% hivyo nakuomba nawe ukipata chochote penda kuwapa Watoto utakuja Kunishukuru.
Asante sana Mwenyezi Mungu kwa BARAKA zako na nakumbuka hata katika Maandiko pia umetuasa tupende Watoto.
huyu jamaa ana shida sana, nilisemaga kumsaidia huyu mtu ni kumuondolea ile tuzo vichwa kama hivi havipaswi kuongoza hata mtaa! Kama hapa tu anajiona kamaliza je akipewa kazi huko jamii forums? Hili toto halipo sawa kabisa🤣Ujinga kweli mzigo. Umaarufu JF? Haya tuambie superstar wa jf huo umaarufu wa jf umekupunguzia ugumu upi wa dhiki zako.
The hands that collects are the hands that gives.Nina Ushuhuda wa hili kwa 100% hivyo nakuomba nawe ukipata chochote penda kuwapa Watoto utakuja Kunishukuru.
Asante sana Mwenyezi Mungu kwa BARAKA zako na nakumbuka hata katika Maandiko pia umetuasa tupende Watoto.
WATOTO hawana hilaNina Ushuhuda wa hili kwa 100% hivyo nakuomba nawe ukipata chochote penda kuwapa Watoto utakuja Kunishukuru.
Asante sana Mwenyezi Mungu kwa BARAKA zako na nakumbuka hata katika Maandiko pia umetuasa tupende Watoto.
Gen Z shida sana.Ifike mahala JF waweke limit ya kupost..Siyo kila story hata za kupiga na mchepuko Mtu anaweka kwenye maandishi anapost JF..Halafu huyu eti ni graduate...Akili nyingine za ajabu sana. Heading imeuliza swali. Nikategemea mleta mada angeleta majibu au angesubiri jibu, kumbe anatoa ushauri.
Sasa kuna faida gani kuja na ID ya awali ya kunisema kisha ukaona haitoshi umekuja tena na hii ID yako nyingine? Mimi nadhani ifike pahala sasa JF waje na utaratibu wa kutoruhusu Wapumbavu Tukuka kama Wewe na huyo Mwenzako hapo juu kuwepo hapa. Unasema unakerwa na huu Uzi wangu je, kuna mahala popote pale labda umeona nilipouanzisha nimekuita ( mention ) Wewe na huyu Mpumbavu Mwenzako TAI DUME?Gen Z shida sana.Ifike mahala JF waweke limit ya kupost..Siyo kila story hata za kupiga na mchepuko Mtu anaweka kwenye maandishi anapost JF..Halafu huyu eti ni graduate...