DAT BOY SU
Member
- Nov 15, 2017
- 29
- 30
Ukiangalia kinachoendelea huko kwenye mitando ya kijamii ni kutoleana kinachoitwa siri za vijana wa upinzani wenyewe kwa wenyewe na kutana wasaliti mala majasusi uchwara kila aina ya kejeli sababu ni nini?
Wale wote waliokuwa wakiitana makamanda na kusifiana leo hawapo tena pamoja Prof. Safari alipojalibu kutoa maoni yake kuhusu demokrasia ya chama aliitwa msaliti na hajui kitu, yule Kigogo2014 wa kule twitter alijizoelea vijana wote wa CHADEMA na kumuona kama mzalendo na mkombozi wao ila alipoaanza kuwakosoa mwenendo wa chama chao mala gafla amegeuka kuwa adui na kutukanwa na kila mwana chadema anaepata nafasi hadi viongozi wao nao wanamtukana wakati walikuwa wana repost twitter zake ila leo hii mh.
Sasa hivi kuna upinzani kati ya ACT WAZALENDO na CHADEMA kila mmoja anajiona ndio mwenye mamlaka ya kuikosaoa serikali matokeo yake wote wamehama yoka lengo kuu wanapalulana wenyewe kwa wenyewe kila mmoja anataka kumpoteza mwenzake wote hawana ajenda wamekuwa wanadandia dandia tu kila uchwao kile wanachokiona.
Wenzao juzi walikuwa na uchaguzi wa chipukizi wa chama wanaandaa vijana wao kuwa viongozi wa baadae wa chaka lakini wao wamelala usingizi wa pono wakisutana mitaandaoni, upinzani Tanzania bado sana.
Mwisho wa siku vita vya panzi furaha ya kunguru