Kwanini ukiwakosoa vyama vya Upinzani unageuka kuwa adui wao na ukiwasifia unakuwa rafiki yao?

Ukiangalia kinachoendelea huko kwenye mitando ya kijamii ni kutoleana kinachoitwa siri za vijana wa upinzani wenyewe kwa wenyewe na kutana wasaliti mala majasusi uchwara kila aina ya kejeli sababu ni nini?

Wale wote waliokuwa wakiitana makamanda na kusifiana leo hawapo tena pamoja Prof. Safari alipojalibu kutoa maoni yake kuhusu demokrasia ya chama aliitwa msaliti na hajui kitu, yule Kigogo2014 wa kule twitter alijizoelea vijana wote wa CHADEMA na kumuona kama mzalendo na mkombozi wao ila alipoaanza kuwakosoa mwenendo wa chama chao mala gafla amegeuka kuwa adui na kutukanwa na kila mwana chadema anaepata nafasi hadi viongozi wao nao wanamtukana wakati walikuwa wana repost twitter zake ila leo hii mh.

Sasa hivi kuna upinzani kati ya ACT WAZALENDO na CHADEMA kila mmoja anajiona ndio mwenye mamlaka ya kuikosaoa serikali matokeo yake wote wamehama yoka lengo kuu wanapalulana wenyewe kwa wenyewe kila mmoja anataka kumpoteza mwenzake wote hawana ajenda wamekuwa wanadandia dandia tu kila uchwao kile wanachokiona.

Wenzao juzi walikuwa na uchaguzi wa chipukizi wa chama wanaandaa vijana wao kuwa viongozi wa baadae wa chaka lakini wao wamelala usingizi wa pono wakisutana mitaandaoni, upinzani Tanzania bado sana.

Mwisho wa siku vita vya panzi furaha ya kunguru
Na Kwa nini ukikosoa CCM mpya unapigwa risasi 38?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli! Hakuna watu ni wauwaji kama CCM! Wana visasi hadi kwenye misiba. Uzuri teckonojia haiongopi! Unakumbuka picha za Chadema wamewapakia CCM kwenye gari yao?? Unakumbuka picha CCM wanampiga mawe mwana Chadema?

I think next time kabla ya kuandika upuuzi uwe unafanya research kidogo! Nambie leo hii ni ccm wangapi wameuwawa? Kama sio chadema? Pumzika kwa amani Kamanda Mawazo na wengine.

Ccm mtakuja kulipa tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Unaongelea hersays tu. Na kama huvuti bangi basi Nina uhakika unajua Ukweli. Sina chama lakini lugha za kama nyie CCM ni lugha inayokutambulisha aina ya mtu ulivyo mkatili uliyetayari kupigania sera hata usiyoijua. Mtu wa kufikiriwa na wewe kutenda bila kitafakari.
 
Wewe ndio sample yao maana bila matusi unahisi hueleweki

State agent
Sio kweli! Hakuna watu ni wauwaji kama CCM! Wana visasi hadi kwenye misiba. Uzuri teckonojia haiongopi! Unakumbuka picha za Chadema wamewapakia CCM kwenye gari yao?? Unakumbuka picha CCM wanampiga mawe mwana Chadema?

I think next time kabla ya kuandika upuuzi uwe unafanya research kidogo! Nambie leo hii ni ccm wangapi wameuwawa? Kama sio chadema? Pumzika kwa amani Kamanda Mawazo na wengine.

Ccm mtakuja kulipa tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona hadi shangazi yao Fatuma na yule somebody Sarungi wamekuwa wabaya baada ya kuhoji ushiriki wa chama kule Mwanza in the name of the so called maridhiano.

Ukiwachana wana utetezi wao wa kiboya kabisa kwamba," unajishushia hadhi" au "nilikuwa nakuheshimu kweli"

Hiyo tabia ya kushambulia wakosoaji ndiyo imepelekea hata wenye akili timamu huko kukaa tu kimya kwa kuhofia matusi ya hao lapdogs
 
Unaongelea hersays tu. Na kama huvuti bangi basi Nina uhakika unajua Ukweli. Sina chama lakini lugha za kama nyie CCM ni lugha inayokutambulisha aina ya mtu ulivyo mkatili uliyetayari kupigania sera hata usiyoijua. Mtu wa kufikiriwa na wewe kutenda bila kitafakari.
Sijawahi kubishana! Nimeweka mifano, jibu kwa mifano!
 
Ukiangalia kinachoendelea huko kwenye mitando ya kijamii ni kutoleana kinachoitwa siri za vijana wa upinzani wenyewe kwa wenyewe na kutana wasaliti mala majasusi uchwara kila aina ya kejeli sababu ni nini?

Wale wote waliokuwa wakiitana makamanda na kusifiana leo hawapo tena pamoja Prof. Safari alipojalibu kutoa maoni yake kuhusu demokrasia ya chama aliitwa msaliti na hajui kitu, yule Kigogo2014 wa kule twitter alijizoelea vijana wote wa CHADEMA na kumuona kama mzalendo na mkombozi wao ila alipoaanza kuwakosoa mwenendo wa chama chao mala gafla amegeuka kuwa adui na kutukanwa na kila mwana chadema anaepata nafasi hadi viongozi wao nao wanamtukana wakati walikuwa wana repost twitter zake ila leo hii mh.

Sasa hivi kuna upinzani kati ya ACT WAZALENDO na CHADEMA kila mmoja anajiona ndio mwenye mamlaka ya kuikosaoa serikali matokeo yake wote wamehama yoka lengo kuu wanapalulana wenyewe kwa wenyewe kila mmoja anataka kumpoteza mwenzake wote hawana ajenda wamekuwa wanadandia dandia tu kila uchwao kile wanachokiona.

Wenzao juzi walikuwa na uchaguzi wa chipukizi wa chama wanaandaa vijana wao kuwa viongozi wa baadae wa chaka lakini wao wamelala usingizi wa pono wakisutana mitaandaoni, upinzani Tanzania bado sana.

Mwisho wa siku vita vya panzi furaha ya kunguru

Huenda hujui unaloongea ndio maana unadhani umeleta hoja ya maana. Jambo ambalo unapaswa kulifahamu ni kuwa humu mitandaoni sio ofisi ya chama chochote cha siasa, bali ni sehemu ya mtu yeyote kuwakilisha maoni yake bila kujali itikadi yake.

Huyo kigogo huwa anapewa support na mtu yoyote anayeona anafikia utashi wake, na huwa anachukiwa na mtu yoyote anayeona maoni yake hayaendani na mtizamo wake, baadhi ya maadui wa huyo kigogo ni serikali, ccm, cdm nk na wote kila mmoja ni kwa sababu zake. Hivi tunavyoongea serikali inamsaka na yote hayo ni kuchukia michango yake. Sasa unapotaka kuonyesha kuwa ni wapinzani tu unamaanisha nini? Acha upotoshaji dogo.
 
Anamaanisha kwamba wakati ccm haitaki kukosolewa ingekuwa sawa kama upinzani usichukie kukosolewa.

Ukisema hata ccm na serikali na upinzani wote wanachukia kukosolewa then upinzani hau practice demokrasia ...

Hapana, sasa hivi ccm wanajifanya wana practice zaidi demokrasia, hivyo wao hawakupaswa kumsaka hiyo kigogo.
 
Back
Top Bottom