Kwanini ukiwakosoa vyama vya Upinzani unageuka kuwa adui wao na ukiwasifia unakuwa rafiki yao?

Kwanini ukiwakosoa vyama vya Upinzani unageuka kuwa adui wao na ukiwasifia unakuwa rafiki yao?

1. Sio kweli Kigogo anatafutwa na kama anatafutwa simu yake inaweza kuonesha yuko wapi...

2. Udhaifu wa CCM usifananishwe na kuchanganywa na chadema....

Chadema inatakiwa kubaki nembo ya usafi.
Back to the origin ya hi thread .. wapinzani wakikosolewa wasiwe wakali kama CCM.

Demokrasia tunayoiimba wapinzani isifanishwe na CCM vinginevyo vijana hawatakuwa na sababu ya kutoka CCM waingie upinzani
Hapana, sasa hivi ccm wanajifanya wana practice zaidi demokrasia, hivyo wao hawakupaswa kumsaka hiyo kigogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jinga wewe badala ya kutumia muda na rasilimali kuandika namna yakuondoa umasikini unaandika upuuzi
Ndo maana mnazidi kuwa masikini
UMETHIBITISHA MAWAZO YA MTOA MADA KUWA NI YA KWELI KWA HII COMMENT YAKO
 
1. Sio kweli Kigogo anatafutwa na kama anatafutwa simu yake inaweza kuonesha yuko wapi...

2. Udhaifu wa CCM usifananishwe na kuchanganywa na chadema....

Chadema inatakiwa kubaki nembo ya usafi.
Back to the origin ya hi thread .. wapinzani wakikosolewa wasiwe wakali kama CCM.

Demokrasia tunayoiimba wapinzani isifanishwe na CCM vinginevyo vijana hawatakuwa na sababu ya kutoka CCM waingie upinzani

Sent using Jamii Forums mobile app

  1. Aliyesema anatafutwa ni waziri wa Mambo ya ndani, sasa ww ni nani useme hatafutwi? Kujua location ya mtu anapotumia Mtandao ni mpaka aache On location yake, na kuna mifumo mingi ya kuweza kuficha IP address ya mtumiaji. Hiyo ndio sababu hapatikani.
  2. Hakuna anayesema tunafananisha udhaifu wa cdm na ccm hapa, bali tunasema hakuna taasisi isiyo na mapungufu kwakuwa zote zinaongozwa na binadamu. Kila chama kina madhaifu gani hilo ni jambo jingine.
  3. Kwani hiyo ccm ina vijana sana ambao cdm wanawasubiri? Ccm ni chama cha vijana toka lini? Vijana walioko ccm ni wasaka vyeo ambapo cdm havipo, wengine ni wale wasioweza kufanya siasa za ushawishi bali hutegemea siasa ya mbeleko ya vyombo vya dola. Na wengi waliobakia huko ni wale wasiojitambua na ni bendera fuata upepo. Katika mazingira hayo sioni cdm ikisubiri vijana hao, kwani tayari cdm inapendwa na vijana wanaojitambua tena kwa ridhaa yao.
 
Ukikisoa serikali shujaa ...mzalendo ... ukikosoa upinzani LUMUMBA BUKU SABA ... Tanzania hatufanyi siasa ni ushabiki tu kada wa Ccm au Chadema hawana tofauti na mashabiki wa mpira kabisa... upande wa Ccm kila kitu wanasifia hata vya kipumbavu ... huku Chadema kila kitu wanapinga hata vyenye Maana
 
hiyo illusion ya kuamini kuwa ccm hakuna vijana then upinzani ungekuwa na nguvu sana hata kuzidi nguvu za JPM, ccm, dola na nguvu za polisi etc.

Hakuna kijana mwenye akili timamu anaweza kuingia upinzani huu wa kijanjajanja

Ni ngumu kusaka tonge ccm ila tunaona wasaka tonge wako upinzani. Sumaye kakosa cheo na kasepa.... Mbowe anasema hakuna pesa wakati mgombea mwingine anasema mabilioni ya chadema ruzuku yanatosha kulipa viongozi wa chini na kujenga ofisi..

Tell me tonge liko ccm?

Vijana wenye akili timamu hawahangaiki na upinzani huu. Wengi walikatishwa tamaa na Lowassa kuingia chadema
  1. Aliyesema anatafutwa ni waziri wa Mambo ya ndani, sasa ww ni nani useme hatafutwi? Kujua location ya mtu anapotumia Mtandao ni mpaka aache On location yake, na kuna mifumo mingi ya kuweza kuficha IP address ya mtumiaji. Hiyo ndio sababu hapatikani.
  2. Hakuna anayesema tunafananisha udhaifu wa cdm na ccm hapa, bali tunasema hakuna taasisi isiyo na mapungufu kwakuwa zote zinaongozwa na binadamu. Kila chama kina madhaifu gani hilo ni jambo jingine.
  3. Kwani hiyo ccm ina vijana sana ambao cdm wanawasubiri? Ccm ni chama cha vijana toka lini? Vijana walioko ccm ni wasaka vyeo ambapo cdm havipo, wengine ni wale wasioweza kufanya siasa za ushawishi bali hutegemea siasa ya mbeleko ya vyombo vya dola. Na wengi waliobakia huko ni wale wasiojitambua na ni bendera fuata upepo. Katika mazingira hayo sioni cdm ikisubiri vijana hao, kwani tayari cdm inapendwa na vijana wanaojitambua tena kwa ridhaa yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema wangekua madarakani wangefanya hivohivo au zaidi ... kama mwenyekiti tu wachama hataki kupingwa angekua Rais unadhani ingekuaje
Asante kwa kukazia kwamba ccm ukiikosoa unatekwa na kuuliwa.

Huwezi kusema ingekuwa hivyohivyo wakati hawapo madarakani.

Na ingekuwa chadema ni wauwaji haingii akilini kwamba serikali isichukue hatua juu yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiangalia kinachoendelea huko kwenye mitando ya kijamii ni kutoleana kinachoitwa siri za vijana wa upinzani wenyewe kwa wenyewe na kutana wasaliti mala majasusi uchwara kila aina ya kejeli sababu ni nini?

Wale wote waliokuwa wakiitana makamanda na kusifiana leo hawapo tena pamoja Prof. Safari alipojalibu kutoa maoni yake kuhusu demokrasia ya chama aliitwa msaliti na hajui kitu, yule Kigogo2014 wa kule twitter alijizoelea vijana wote wa CHADEMA na kumuona kama mzalendo na mkombozi wao ila alipoaanza kuwakosoa mwenendo wa chama chao mala gafla amegeuka kuwa adui na kutukanwa na kila mwana chadema anaepata nafasi hadi viongozi wao nao wanamtukana wakati walikuwa wana repost twitter zake ila leo hii mh.

Sasa hivi kuna upinzani kati ya ACT WAZALENDO na CHADEMA kila mmoja anajiona ndio mwenye mamlaka ya kuikosaoa serikali matokeo yake wote wamehama yoka lengo kuu wanapalulana wenyewe kwa wenyewe kila mmoja anataka kumpoteza mwenzake wote hawana ajenda wamekuwa wanadandia dandia tu kila uchwao kile wanachokiona.

Wenzao juzi walikuwa na uchaguzi wa chipukizi wa chama wanaandaa vijana wao kuwa viongozi wa baadae wa chaka lakini wao wamelala usingizi wa pono wakisutana mitaandaoni, upinzani Tanzania bado sana.

Mwisho wa siku vita vya panzi furaha ya kunguru
Nikweli lakini kinyume chake kwa ccm, unaweza kuwasema vibaja ccm wasikuchukie sana kama chadema watakavyo kuchukia na kukutukana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom