DAT BOY SU
Member
- Nov 15, 2017
- 29
- 30
Jinga wewe badala ya kutumia muda na rasilimali kuandika namna yakuondoa umasikini unaandika upuuziUkiangalia kinachoendelea huko kwenye mitando ya kijamii ni kutoleana kinachoitwa siri za vijana wa upinzani wenyewe kwa wenyew na kutana wasaliti mala majasusi uchwala kila aina ya kejeli sababu ni nini?
Wale wote waliokuwa wakiitana makamanda na kusifiana leo hawapo tena pamoja Prof. Safari alipojalibu kutoa maoni yake kuhusu demokrasia ya chama aliitwa msaliti na ajui kitu, yule kigogo 14 wa kule twitter alijizoelea vijana wote wa CHADEMA na kumuona kama mzalendo na mkombozi wao ila alipoaanza kuwakosoa mwenendo wa chama chao mala gafla amegeuka kuwa adui na kutukanwa na kila mwana chadema anaepata nafasi hadi viongozi wao nao wanamtukana wakati walikuwa wana repost twitter zake ila leo hii mh.
Sasa hivi kuna upinzani kati ya ACT WAZALENDO na CHADEMA kila mmoja anajiona ndio mwenye mamlaka ya kuikosaoa serikali matokeoa yake wote wamehama yoka lengo kuu wanapalulana wenyewe kwa wenyewe kila mmoja anataka kumpoteza mwenzake wote hawana ajenda wamekuwa wanadandia dandia tu kila uchwao kile wanachokiona.
Wenzao juzi walikuwa na uchaguzi wa chipukizi wa chama wanaandaa vijana wao kuwa viongoz wa badae wa chaka lakin wao wamelalal usingzi wa pono wakisutana mitaandaoni, upinzani Tanzania bado sana.
Mwisho wa siku vita vya panzi fulaha ya kunguru
Ukiangalia kinachoendelea huko kwenye mitando ya kijamii ni kutoleana kinachoitwa siri za vijana wa upinzani wenyewe kwa wenyewe na kutana wasaliti mala majasusi uchwara kila aina ya kejeli sababu ni nini?
Wale wote waliokuwa wakiitana makamanda na kusifiana leo hawapo tena pamoja Prof. Safari alipojalibu kutoa maoni yake kuhusu demokrasia ya chama aliitwa msaliti na hajui kitu, yule Kigogo2014 wa kule twitter alijizoelea vijana wote wa CHADEMA na kumuona kama mzalendo na mkombozi wao ila alipoaanza kuwakosoa mwenendo wa chama chao mala gafla amegeuka kuwa adui na kutukanwa na kila mwana chadema anaepata nafasi hadi viongozi wao nao wanamtukana wakati walikuwa wana repost twitter zake ila leo hii mh.
Sasa hivi kuna upinzani kati ya ACT WAZALENDO na CHADEMA kila mmoja anajiona ndio mwenye mamlaka ya kuikosaoa serikali matokeo yake wote wamehama yoka lengo kuu wanapalulana wenyewe kwa wenyewe kila mmoja anataka kumpoteza mwenzake wote hawana ajenda wamekuwa wanadandia dandia tu kila uchwao kile wanachokiona.
Wenzao juzi walikuwa na uchaguzi wa chipukizi wa chama wanaandaa vijana wao kuwa viongozi wa baadae wa chaka lakini wao wamelala usingizi wa pono wakisutana mitaandaoni, upinzani Tanzania bado sana.
Mwisho wa siku vita vya panzi furaha ya kunguru
Ikosoe CCM na serikali yake weka na anuani yako ya makazi ili waje kukupongeza.Ukiangalia kinachoendelea huko kwenye mitando ya kijamii ni kutoleana kinachoitwa siri za vijana wa upinzani wenyewe kwa wenyewe na kutana wasaliti mala majasusi uchwara kila aina ya kejeli sababu ni nini?
Wale wote waliokuwa wakiitana makamanda na kusifiana leo hawapo tena pamoja Prof. Safari alipojalibu kutoa maoni yake kuhusu demokrasia ya chama aliitwa msaliti na hajui kitu, yule Kigogo2014 wa kule twitter alijizoelea vijana wote wa CHADEMA na kumuona kama mzalendo na mkombozi wao ila alipoaanza kuwakosoa mwenendo wa chama chao mala gafla amegeuka kuwa adui na kutukanwa na kila mwana chadema anaepata nafasi hadi viongozi wao nao wanamtukana wakati walikuwa wana repost twitter zake ila leo hii mh.
Sasa hivi kuna upinzani kati ya ACT WAZALENDO na CHADEMA kila mmoja anajiona ndio mwenye mamlaka ya kuikosaoa serikali matokeo yake wote wamehama yoka lengo kuu wanapalulana wenyewe kwa wenyewe kila mmoja anataka kumpoteza mwenzake wote hawana ajenda wamekuwa wanadandia dandia tu kila uchwao kile wanachokiona.
Wenzao juzi walikuwa na uchaguzi wa chipukizi wa chama wanaandaa vijana wao kuwa viongozi wa baadae wa chaka lakini wao wamelala usingizi wa pono wakisutana mitaandaoni, upinzani Tanzania bado sana.
Mwisho wa siku vita vya panzi furaha ya kunguru
Dude, you have too much in your hands. Kama vipi chukua kitabu usome upanue uwezo wa kufikiri na kuchanganua mambo.Ukiangalia kinachoendelea huko kwenye mitando ya kijamii ni kutoleana kinachoitwa siri za vijana wa upinzani wenyewe kwa wenyewe na kutana wasaliti mala majasusi uchwara kila aina ya kejeli sababu ni nini?
Wale wote waliokuwa wakiitana makamanda na kusifiana leo hawapo tena pamoja Prof. Safari alipojalibu kutoa maoni yake kuhusu demokrasia ya chama aliitwa msaliti na hajui kitu, yule Kigogo2014 wa kule twitter alijizoelea vijana wote wa CHADEMA na kumuona kama mzalendo na mkombozi wao ila alipoaanza kuwakosoa mwenendo wa chama chao mala gafla amegeuka kuwa adui na kutukanwa na kila mwana chadema anaepata nafasi hadi viongozi wao nao wanamtukana wakati walikuwa wana repost twitter zake ila leo hii mh.
Sasa hivi kuna upinzani kati ya ACT WAZALENDO na CHADEMA kila mmoja anajiona ndio mwenye mamlaka ya kuikosaoa serikali matokeo yake wote wamehama yoka lengo kuu wanapalulana wenyewe kwa wenyewe kila mmoja anataka kumpoteza mwenzake wote hawana ajenda wamekuwa wanadandia dandia tu kila uchwao kile wanachokiona.
Wenzao juzi walikuwa na uchaguzi wa chipukizi wa chama wanaandaa vijana wao kuwa viongozi wa baadae wa chaka lakini wao wamelala usingizi wa pono wakisutana mitaandaoni, upinzani Tanzania bado sana.
Mwisho wa siku vita vya panzi furaha ya kunguru
Usitoke nje ya mada mkuuSio kweli! Hakuna watu ni wauwaji kama CCM! Wana visasi hadi kwenye misiba. Uzuri teckonojia haiongopi! Unakumbuka picha za Chadema wamewapakia CCM kwenye gari yao?? Unakumbuka picha CCM wanampiga mawe mwana Chadema?
I think next time kabla ya kuandika upuuzi uwe unafanya research kidogo! Nambie leo hii ni ccm wangapi wameuwawa? Kama sio chadema? Pumzika kwa amani Kamanda Mawazo na wengine.
Ccm mtakuja kulipa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Aagh natakiwa nijibuje? Kumbe sikujuaUsitoke nje ya mada mkuu
Ikosoe ccm uone kama utakuwa rafiki wao!!!....kama hawajakukuta unaelea coco beachUkiangalia kinachoendelea huko kwenye mitando ya kijamii ni kutoleana kinachoitwa siri za vijana wa upinzani wenyewe kwa wenyewe na kutana wasaliti mala majasusi uchwara kila aina ya kejeli sababu ni nini?
Wale wote waliokuwa wakiitana makamanda na kusifiana leo hawapo tena pamoja Prof. Safari alipojalibu kutoa maoni yake kuhusu demokrasia ya chama aliitwa msaliti na hajui kitu, yule Kigogo2014 wa kule twitter alijizoelea vijana wote wa CHADEMA na kumuona kama mzalendo na mkombozi wao ila alipoaanza kuwakosoa mwenendo wa chama chao mala gafla amegeuka kuwa adui na kutukanwa na kila mwana chadema anaepata nafasi hadi viongozi wao nao wanamtukana wakati walikuwa wana repost twitter zake ila leo hii mh.
Sasa hivi kuna upinzani kati ya ACT WAZALENDO na CHADEMA kila mmoja anajiona ndio mwenye mamlaka ya kuikosaoa serikali matokeo yake wote wamehama yoka lengo kuu wanapalulana wenyewe kwa wenyewe kila mmoja anataka kumpoteza mwenzake wote hawana ajenda wamekuwa wanadandia dandia tu kila uchwao kile wanachokiona.
Wenzao juzi walikuwa na uchaguzi wa chipukizi wa chama wanaandaa vijana wao kuwa viongozi wa baadae wa chaka lakini wao wamelala usingizi wa pono wakisutana mitaandaoni, upinzani Tanzania bado sana.
Mwisho wa siku vita vya panzi furaha ya kunguru
Tunaongelea upinzani sasa... Hivyo jikite kwenye mada ujibu kuhusu tuhuma zenu....Aagh natakiwa nijibuje? Kumbe sikujua
Ukiangalia kinachoendelea huko kwenye mitando ya kijamii ni kutoleana kinachoitwa siri za vijana wa upinzani wenyewe kwa wenyewe na kutana wasaliti mala majasusi uchwara kila aina ya kejeli sababu ni nini?
Wale wote waliokuwa wakiitana makamanda na kusifiana leo hawapo tena pamoja Prof. Safari alipojalibu kutoa maoni yake kuhusu demokrasia ya chama aliitwa msaliti na hajui kitu, yule Kigogo2014 wa kule twitter alijizoelea vijana wote wa CHADEMA na kumuona kama mzalendo na mkombozi wao ila alipoaanza kuwakosoa mwenendo wa chama chao mala gafla amegeuka kuwa adui na kutukanwa na kila mwana chadema anaepata nafasi hadi viongozi wao nao wanamtukana wakati walikuwa wana repost twitter zake ila leo hii mh.
Sasa hivi kuna upinzani kati ya ACT WAZALENDO na CHADEMA kila mmoja anajiona ndio mwenye mamlaka ya kuikosaoa serikali matokeo yake wote wamehama yoka lengo kuu wanapalulana wenyewe kwa wenyewe kila mmoja anataka kumpoteza mwenzake wote hawana ajenda wamekuwa wanadandia dandia tu kila uchwao kile wanachokiona.
Wenzao juzi walikuwa na uchaguzi wa chipukizi wa chama wanaandaa vijana wao kuwa viongozi wa baadae wa chaka lakini wao wamelala usingizi wa pono wakisutana mitaandaoni, upinzani Tanzania bado sana.
Mwisho wa siku vita vya panzi furaha ya kunguru
Inawezekana chanzo ni tabia ya Magufuli. anapenda mapambio tu. jaribu kumkosoa kidogo uone cha mtema kuni.Ukiangalia kinachoendelea huko kwenye mitando ya kijamii ni kutoleana kinachoitwa siri za vijana wa upinzani wenyewe kwa wenyewe na kutana wasaliti mala majasusi uchwara kila aina ya kejeli sababu ni nini?
Wale wote waliokuwa wakiitana makamanda na kusifiana leo hawapo tena pamoja Prof. Safari alipojalibu kutoa maoni yake kuhusu demokrasia ya chama aliitwa msaliti na hajui kitu, yule Kigogo2014 wa kule twitter alijizoelea vijana wote wa CHADEMA na kumuona kama mzalendo na mkombozi wao ila alipoaanza kuwakosoa mwenendo wa chama chao mala gafla amegeuka kuwa adui na kutukanwa na kila mwana chadema anaepata nafasi hadi viongozi wao nao wanamtukana wakati walikuwa wana repost twitter zake ila leo hii mh.
Sasa hivi kuna upinzani kati ya ACT WAZALENDO na CHADEMA kila mmoja anajiona ndio mwenye mamlaka ya kuikosaoa serikali matokeo yake wote wamehama yoka lengo kuu wanapalulana wenyewe kwa wenyewe kila mmoja anataka kumpoteza mwenzake wote hawana ajenda wamekuwa wanadandia dandia tu kila uchwao kile wanachokiona.
Wenzao juzi walikuwa na uchaguzi wa chipukizi wa chama wanaandaa vijana wao kuwa viongozi wa baadae wa chaka lakini wao wamelala usingizi wa pono wakisutana mitaandaoni, upinzani Tanzania bado sana.
Mwisho wa siku vita vya panzi furaha ya kunguru
Ahaahaa kwahio natakiwa niisifie CCM! Oigh hakuna chama kizuri kama ccm, chama dola, chama LA wana, chama LA madhulumati, Tanzania one chama kilicholeta Uhuru na umaskini! Chama c a Wanyonge, wanyonge waanyongeni! Chma LA waporaji wazee wa EPA, escrow, iptl, na sasa ...... Chama LA wa ndugu! Dadeeeki kaskazini watasubiri sanaTunaongelea upinzani sasa... Hivyo jikite kwenye mada ujibu kuhusu tuhuma zenu....
Umeelewa ama umekurupuka?Ahaahaa kwahio natakiwa niisifie CCM! Oigh hakuna chama kizuri kama ccm, chama dola, chama LA wana, chama LA madhulumati, Tanzania one chama kilicholeta Uhuru na umaskini! Chama c a Wanyonge, wanyonge waanyongeni! Chma LA waporaji wazee wa EPA, escrow, iptl, na sasa ...... Chama LA wa ndugu! Dadeeeki kaskazini watasubiri sana
Duh nadhani sijaelewa, samahaniUmeelewa ama umekurupuka?
PoaDuh nadhani sijaelewa, samahani
Hapo roho yako imefurahi
Inaonekana ww ni mtu wa kujishtukia sana...Hapo roho yako imefurahi