cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Unapoandika kuwa na staha bas, kwani shida nini? Kuna mtu kakulazimisha au kukushikia [emoji379] ufanye anal sex na me?natamani nikuambie ujue tu sexy ni kati ya me na ke na siyo me na me hii ni kwa sababu tu mtaenjoy wawili as me na ke. hivyo vingine ni laaana mkosi shubamiti nikakae na limwanaume eti daaaah ushenzi na utaira wa kiwango cha sgr. usitete ushoga wanaume tupo wachache.
Kila mtu na maisha yake binafsi aliyochagua. Wala hakuna wa kuwazuia as if ni mtakwa ya hitaji lao.
Mie niulete ushoga kwani ndo unaanza leo? Hebu relaaaaaaaax