Kwanini umuingilie mwenza wako kinyume na maumbile?


Tulia xhida yako wew sio Mchimba Madiniii Huwezii jua Manufaaa yake kwa Mwanamke wako.!
 
uFirauni siku hizi ndio ujanja wenyewe..

Kadi ya wadada 20 basi 3 ndio hawajaliwa tiGo

Hata humu JF ukichukua wadada 5,,, lazima ukute mmoja ndio yuko safe au ukose kabisa..

Ukiona hujamla wew basi wahuni wanakula... Mtihani sana
Mhhh! 🤔
 
Habari wakuu ..Kwanza natumain ni wazima na munaendelea na Kaz za kuliletea taifa maendeleo chanya.

Kwa jinsi navyowajua ,mmekuwa washauli wazuri wa mambo mbali mbali hasa inapotekea Jambo linalomtatiza mtu na kimsingi ktk hili mbalikiwe.

Mimi katika hatua za ujana Niko kat kwa Kati siyo mzee ,mtoto, Wala kijana. Just middle.

Nina kamdada tunafanyaga vya michezo ya kikubwa na tulikutana kwa dhalura na mm nikaamin nidhalura kabisa kabisa ila pole pole nikaanza kumpenda ingawa sikuamin kama tutafika huku tuliko nilijua ni shoo ya siku moja tunaachana.

Katika mazoea haya tumeanza mpaka kulala pamoja siku mbili anaondoka kwao kutokana mie sikai pamoja kutokana na Kaz nayoifanya so inamubidi aondoke kwao pia hatujaongea mambo ya kukaa pamoja.

Jana na juz ucku amenilazimisha nimuwekee vya nyuma yaan kinyume na maumbile Sasa nikagoma coz nahis kinyaa na siyo maadili na yangu kidini pia. Leo ameniandikia sms baada ya kwenda yaan baada kutoka kwangu kuwa Kama siwez hivo bac ananiacha na mm sitaki kumpoteza kutokana na ananifanya nijisikie kuwa Niko Duniani ila hili moja ndio Lina nishinda kwake na siwez ,natumia njia gani ili nibaki kuwanae Bila kushiriki huo ushenzi anaoniambia.


Nitashukuru kwa ushauli.
 
mapenzi kinyume na maumbile ni uchafu mkubwa sana. nikiri tu kwamba kuna siku nilishawahi kutana na mdada mmoja, nikajaribu kuweka huko, sikuona chochote cha ziada kinachofanya watu washabikie na kusifia, kwanza nilihisi kabisa ni eneo lingine kabisa lisilotakiwa kuingiliwa, nilihisi kinyaaa, nilijilaumu wiki nzima nini nimekifanya, na sitamani kabisa hata kupashika. kama mapenzi n dio hayo basi bora nisifanye, sihitaji, na nilijihisi nimemdhalilisha sana yule dada kiasi kwamba hata nikikutana naye huwa najisikia vibaya. hiyo raha ambayo huwa wanaishabikia kuwa ipo huko sikuihisi kabisa kabisa. ni ujinga tu.
 
Duh😥👏
 
Nitumie namba yake.

Nina shahada ya Saikoloji na Sosholoji hawezi kunishinda.
 
Nitumie namba ya huyo dada.

Nina shahada ya Saikoloji na Sosholoji. Hawezi kunishinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…