Kwanini umuingilie mwenza wako kinyume na maumbile?

Eti siyo maadili yangu na kidini pia,kwani hilo unalolifanya ni nani kakwambia kuwa ni maadili ya kidini,au kuna dini inayoruhusu zinaa..?
 
Vip habar za kishirikina anazokuambia mnk naona kbsa kuwa unaelezea tu upande mmoja wa kuf...Rana je mambo gani ya kishirikina anakuuelezzea
 
Mfile tu bro, sianataka
 
Wazanzibar na watu wa pwani wanawafanya sana wake zao...bisha!
 
Wanaume tuna asili ya kupenda kujaribu kila kitu na hasa kwa mada kama hizi sio nzuri kabisa kwa kijana kwani huchochea ubongo wake kutaka kujaribu kunaniiiii mbona watu waongelea sana huko kwa mpalangeee!?na kisha kijana huyo kujisemea em ngoja nijaribu, sasa ipo hivi kuna vitu vingine havijaribiwi ukijaribu unakuwa mraibu. na mjaribuji na mjaribiwaji wote wanakuwa waraibu kama ilivyo kwa madawa ya kulevya tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…