Kwanini unapaswa kununua bond au Hati fungani ya NMB?

Kumbuka pia kuna
Risk management
Running costs
Taxes
Profit kwakuwa hii ni biashara
Flactuation of the currency
Low season in business
Mshana nimeweka comment kabla ya kusoma response yako kwenye post no 38&39. It makes sense. Ila najiuliza zaidi, ukiweka kama 10,000,000 you make over 3,000,000+ faida. Ten M Tsh inazaa milioni tatu1 Is that good business?
 
Unajua faida ya hati fungani ili ionekane you have to invest more ili linapokuja suala la profit margin usiangukie kwenye loss I mean negative
Kuna biashara zenye super profit kuliko hata bonds lakini risk zake pia ni kubwa
Lakini kwa mfano una 50 milion badala ya kuziweka bank huku ukijipanga kwanini usinunue bonds ambazo utapata chochote na pesa yako itakuwa salama bila makato ya kibenki?
 
NMB wangefanya 10% kwa miezi 6 it means kwa mwaka inakua 20% hapo ningewaelewa lakini hii ya 6.5% kwa miezi 6 ni unyonyaji uliotukuka.
 
Uko sahihi kabisa!
 
Unyonyaji kwa kigezo kipi? Hizo hela zako wanazifanyia biashara ili waweze kukupa faida. Kuna risks nyingi sana na hivyo lazima waweke tahadhali! moja wapo ni riba kubwa kidogo
 
Uko sahihi kabisa!
Faida ni ndogo lakini ya uhakika na isiyo na pressure ukiwa na pesa zako unaweza kuzifanyia mgawanyo nyingine unaingiza kwenye hati fungani nyingine unafanyia mengine
Wana wasanii wakubwa (the case of Africa point of view) na matajiri wamewekeza sana kwenye bonds za makampuni makubwa na wengine sio Africa tu bali duniani kote
 
Hati fungani za NMB zimekuja kwa ajili ya watu wenye kipato cha chini ile wenye kuweka hela (saving) kiasi na hawaitumii mpaka muda waliojipangia au dharula inapotokea.

Hizi za NMB zimegawanywa katika 500,000/- kwa bond, ni watu wengi sana wenye kipato cha wastani huwa wanakuwa na balance ya namna hii au zaidi kwenye acc tena inakuwepo kwa zaidi ya mwaka inakatwa tu monthly charges nk, badala ya kuongezeka inapungua.

Hii 500,000 haiwezi kununua fixed deposit (FDR) kwa sababu mara nyingi FDR zinakuwa na min limit ya zaidi hata mili 5 na kuendelea, na rate zake ni 12-16. Ili upate rate ya 15 au 16 ni lazima uweke hela nyingi kuanzia hata mil 100. Kwa mil 10 unaishia kupata 12 au 13, so kama unaweza kupata 13% kwa sh 500,000 ni faida sana.

Hati fungani za serikali ni kwa wenye hela nyingi zaidi, maana unakuta moja inauzwa kwa sh mil 500 na kuendelea na ni kwa miaka 5 au zaidi, rate zake mara nyingi ni 14-16.5%. Hizi sisi hatuwezi.

Kuna watu wanasema kuliko kupata hiyo faida ya 130,000 kwa mwaka akiweka mil 1 ni bora akafanyie biashara gani apate faida zaidi, sasa watu hawa hawa unakuta anaongea hivyo ana hela benki ambazo zipo tu na hata hizo biashara hawafanyi na hela inakatwa charges.

Pole pole watu wakielimishwa wataelewa. Uzuri hii ukiwa na dharula inauzika haraka, na kwenye kuuza utapata faida ila siyo kama ambayo ungepata ukisubiri muda uishe, kuna gharama ya kutoa hati mapema itaathiri faida ila hela yako yote utaipata.
 
Waliosoma vitabu vya Kayosaki hawajawahi kuwa mamilionea achilia mbali kufanikiwa.

Utaishia kuwa inspired tu.

Baada ya miaka mitano ujipime kama umetimiza vingapi kupitia stories za Kayosaki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hati fungani za NMB zimekuja kwa ajili ya watu wenye kipato cha chini ile wenye kuweka hela (saving) kiasi na hawaitumii mpaka muda waliojipangia au dharula inapotokea.

Hizi za NMB zimegawanywa katika 500,000/- kwa bond, ni watu wengi sana wenye kipato cha wastani huwa wanakuwa na balance ya namna hii au zaidi kwenye acc tena inakuwepo kwa zaidi ya mwaka inakatwa tu monthly charges nk, badala ya kuongezeka inapungua.

Hii 500,000 haiwezi kununua fixed deposit (FDR) kwa sababu mara nyingi FDR zinakuwa na min limit ya zaidi hata mili 5 na kuendelea, na rate zake ni 12-16. Ili upate rate ya 15 au 16 ni lazima uweke hela nyingi kuanzia hata mil 100. Kwa mil 10 unaishia kupata 12 au 13, so kama unaweza kupata 13% kwa sh 500,000 ni faida sana.

Hati fungani za serikali ni kwa wenye hela nyingi zaidi, maana unakuta moja inauzwa kwa sh mil 500 na kuendelea na ni kwa miaka 5 au zaidi, rate zake mara nyingi ni 14-16.5%. Hizi sisi hatuwezi.

Kuna watu wanasema kuliko kupata hiyo faida ya 130,000 kwa mwaka akiweka mil 1 ni bora akafanyie biashara gani apate faida zaidi, sasa watu hawa hawa unakuta anaongea hivyo ana hela benki ambazo zipo tu na hata hizo biashara hawafanyi na hela inakatwa charges.

Pole pole watu wakielimishwa wataelewa. Uzuri hii ukiwa na dharula inauzika haraka, na kwenye kuuza utapata faida ila siyo kama ambayo ungepata ukisubiri muda uishe, kuna gharama ya kutoa hati mapema itaathiri faida ila hela yako yote utaipata.
Na uzuri ni kwamba NMB iko vizuri kibiashara kwasasa kwahiyo ile hofu ya kufilisika inakuwa haipo
 
Mbona unajichanganya? Hicho kitabu kinahamasisha watu wawe na Financial Intelligence ili waweze kufikiri independently. HAKITOI UTAJIRI. Wewe unaanzisha argument tofauti kabisa.

Haya tuambie watu waliosoma vitabu gani ndiyo waliwahi kuwa matajiri?

Utajiri siyo kusoma vitabu, bali uwezo wa kuapply principles za vitabu in the practical life. Kuna watu hawasomi na ni matajiri wa kutupwa kwasababu walijifunza kanuni za kutengeneza utajiri kupitia njia tofauti na kusoma vitabu.

Hizo hati fungani zenu hata kwa mtu ambaye hajui kusoma ni wizi mtupu. Huwezi ukanishawishi niweke 2 millions halafu nipate laki 2 kama faida. WIZI wa hali ya juu.

Subiri uone hizo hati fungani zinavyochangamkiwa, utasikia zimeisha zote.

Ndo ujiulize kati ya wewe na wanaonunua nani alieona wizi.
 
Na hilo ndilo litadhihirisha point yangu kwamba tunahitaji Financial literacy zaidi ili kujua fursa zipo wapi na tutumie mbinu gani kuziexploit.

Hizo hati fungani zitachangamkiwa siyo kwasababu ya profitability ila kwasababu watu wamekariri kwamba LOW RISK is always good and HIGH RISK is always bad.

Upofu wa ubongo utawafanya wafocuss kwenye hiyo biashara in terms of RISK badala ya in terms of PROFITABILITY. Na hayo mabenki nayo yanatake advantage ya uelewa mdogo wa watu juu ya mambo ya kifedha kuendelea kuwanyonya.

Narudia, mtu na akili zake hawezi kuweka milioni 2 halafu eti arudishiwe laki 2 kama faida. Ukiuliza ooohh hii low risk! WIZI MTUPU. Hata muuza vitumbua ukimpa 2m kwa mwaka atakuwa amefika mbali sana. Anachopaswa kujua ni mahitaji ya soko lake tu na jinsi ya kupunguza expenses katika biashara yake.
 
Wewe umezungusha wapi huko kwenye high risk na ukapata turnover ya zaidi ya 30%?
 
Naona hii uzuri wake ni kama umeamua kuweka akiba bank, sasa kuliko kuweka huku ikiwa inakatwa ni bora uweke ikiwa inaongezeka. Lakini si kusema kwamba uweke ili iwe ni kama sehemu ya biashara yako haitasaidia kitu labda kama utawekeza pesa kubwa sana.
 
daah jamaa kaelezea vizuri sana,.ila mbona faida ndogo hivyo.......yaani miaka3 naingiza2600000,.aahhhh maisha yenyewe hay ya kuishi miaka50s,.
Jane Lowassa
umetoa point sana mdada,.hawa mabank wanabana sana,.yaani ni bora limillioni langu nikanunue kuku nifuge2,hapo ni kufaidisha bank,then wanajifanya eti wananchi tutafaidika......
nilikuwa na hamu ya kujua sana kuhusu hati fungati kumbe ni upuuzi2 na kupotezeana muda..........
 
Naona hii uzuri wake ni kama umeamua kuweka akiba bank, sasa kuliko kuweka huku ikiwa inakatwa ni bora uweke ikiwa inaongezeka. Lakini si kusema kwamba uweke ili iwe ni kama sehemu ya biashara yako haitasaidia kitu labda kama utawekeza pesa kubwa sana.
yap mkuu......pia sio = na kuweka pesa sababu huwez kwenda kutoa kias fulani cha matumizi,.ila ukitaka kutoa ni kuuza hati fungati yako yote
huu ni ulaghai kwa raia
eti nmb wameweka kichwa cha habari kizuriiii,.eti
Watanzania Kuanza Kunufaika na Hati Fungani ya NMB
 
Back
Top Bottom