Kwanini unatakiwa kuzingatia sana body count?

Nakubaliana na hoja Zako zoteeeeeee kwa asilimia 100

Je wanawake na wao hawana umuhimu kuolewa na mwanaume bikra?
Sasa mwanaume anakuwa vipi na bikra? Una akili sawasawa kweli wewe
We jamaa una kaujinga, ninyi ndio ambao mnaweza mkawa mnamwona mwanaume mwenzenu anakufa hivi hivi kisha unatazama. Sasa jamaa alipokuuliza ulishindwa nini kufunguka ili myajenge ninyi kama wanaume? Mbona mwenzako anaonekana yupo fresh tu, badilika mzee.
 
Hivi hizi body count walizi kauntisha na kina Nani?
 
Mna kazi kweli kweli! Kwa kizazi hiki utampata wapi Bikra?
Sisi wa Enzi za Mwalimu tunashukuru tulikata utepe wenyewe!
Hakuna namna ni kukubali kuyaoga tu.
 
😅 yani mawazo yenu 😅, acheni uoga.
Siyo uoga, hebu tujiulize kwanza hizo bikira zimetolewa na jinsia gani?. Mimi ni mwanaume. Ukiangalia vizuri jamii yetu utaona jinsi ilivyo ufahari kwa mwanaume kutembea na wanawake wengiii, ambapo in process anabikiri na kusababisha mimba pia. Akaitaka kuoa sasa anataka bikraaaa! na pia wasio bikra si anadais kuwa si sahihi kuolewa!. Binafsi nahitimisha kuwa ni roho mbaya, vinginevyo unatakiwa uwajibikaji wa pamoja.
 
Mna kazi kweli kweli! Kwa kizazi hiki utampata wapi Bikra?
Sisi wa Enzi za Mwalimu tunashukuru tulikata utepe wenyewe!
Hakuna namna ni kukubali kuyaoga tu.
Nitasikitika sana kama nikijua wewe ni baba. Mwanaume unatakiwa kutumia nafasi yako kama kiongozi kusisitiza mabinti wajitunze lakini badala yake unawashushua wanaume ambae wanataka mabinti waliojitunza. Mindset za watu kama wewe ndizo zimefanya mabinti na wanawake wasione umuhimu wa kujitunza na wajione wana uhuru wa kutombwa kiholela holela
 
Wanaume wanachelewa kujihusisha na sex na hii ni kutokana na vigezo ambavyo kila jinsia inatakiwa kuwa navyo ili kuingia kwenye mahusiano. Kwa upande wa mwanamke uke wake tu unamtosha kuingia kwenye mahusiano lakini mwanaume anahitajika kuwa na sifa nyingi mfano nyumba/uwezo wa kupanga, kazi/ajira n.k

Sio kila mwanaume ana sifa za kuanzisha mahusiano lakini kila mwanamke ana sifa iyo, kwaiyo lile kundi dogo la wanaume wanabahatika kuwa na vigezo vya kuingia kwenye mahusiano ndio huwa wanawatoa bikira hao wanawake wote. Ni kawaida sana kukuta mwanaume anaingia mpaka 30's hawajawahi kukutana na mwanamke bikira
 
Upo sahihi sana mkuuu
 
We jamaa nakuja unifundishe kingereza Chako kimenyoka kama cha Kabendera
 
Demu wako bado anamlinda Mshikaji wake kwa wivu mkubwa sana hata kama ameshaoa.

Imagine.
 
Bara kipi zaidi? ukioa bikra naye kuna siku anatamani kuonja mpini mpya.
Je kipi bora;
A. Umkute bikra uje kuchapiwa afu anogewe au
B. Uoe aliyefunguliwa seal aje kutulizana
Swali halina mtililiko wa kimantiki, sio lazima mwanamke wa A akose B vilevile sio lazima mwanamke wa B akose A.

Tukirudi kwenye msingi wa unachotaka kukisema, ni sawa mustakabali wa mahusiano/ndoa ni fumbo lakini fumbo ilo lisiwe sababu ya wewe kufanya gamble kwa mwanamke mwenye red flag.
 
hitimisho ni wanaume tulaumiane kwa ukosefu wa bikra na uwwepo wa singo mazaz kwasababu uwepo wa kundi hilo ni matokeo ya tabia za wanaume pia. hebu fikiria unabikiri mabinti kumi kwa mfano, inafika kipindi unataka kuoa unaoa mmoja au 2, 3, ,4,5, wanabaki wanawake kadhaa uliowabikiri/zalisha. Kisha unasimama pale tena kwa kujiamini kbsaa ukisema wasobikra/walozalishwa hawastahili kuolewa! jamani hii kama si roho mbaya ni nini?. Ukimbikiri binti muoe tofauti na hapo usidai bikira period
 
Kweli lakini
 
Kwenye suala la kuamisisha ngono mwenye nguvu zaidi ni mwanamke. Tukisema tulaumu wanaume wakati huo wanawake wanafanya yao uko tiktok na telegram tutakua tunatwanga maji kwenye kinu.

Advantage ya mwanaume ipo kwenye physique na hapo zimetungwa sheria nyingi sana za kumdhibiti mwanaume. Advantage ya mwanamke ipo kwenye ngono bahati mbaya sana hatuna sheria ya kumdhibiti mwanamke kama ipo basi sio kali kama ilivyo kwa mwanaume.

Wa kulaumiwa ni mwanamke kwa sababu mwanaume tayari ameshadhibitiwa kwenye advantage yake lakini mwanamke anaitumia advantage yake vibaya
 
Writing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…