Kwanini Urusi, China na India wameamua kuwa watazamaji mgogoro wa mashariki ya kati?

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
7,672
Reaction score
9,039
Japo kinachoendelea kinaweza kuonekana kama tatizo la mashariki ya kati, ni tatizo la dunia. Kwanini Ukraine imegeuzwa na nchi za magharibi tatizo la dunia lakini si mashariki ya kati?

Je, ni kwanini mataifa yanayoonekana kuwa na nguvu yameamua kukaa pembeni? Je yanangoja marekani ishindwe yachukue taji au ni woga kama siyo ushirika na magharibi?

Afrika siiongelei kwa sababu ina matatizo yake ambayo pia dunia imeyasahau tangu itengeneze viichi vyetu vibovu na tegemezi. Hivyo, Afrika haina mchango wowote katika ukatili na ukoloni huu.

Je, wahusika wanaogopa marekani na kikaragosi chake israel?
 
Ni kiongozi mmoja tu hadi sasa iliesema" hakuna kuleta msaada wowote ndani ya Palestina" na Dunia yote imetii.
ila, Putin aliposema "mtu yoyote atake isaidia Ukraine atapata pigo la Karne" lakini, tumeona hadi VI-NCHI vidogo kabisa vinapeleka msaada Ukraine bila hofu yoyote.
Hii inatoa tafsiri gani?.
Kwamba, Putin anapuuzwa kwa maana ni mlopokaji tu ama wanajua ni Simba Kibogoyo?.
Why Benjamin Nyau Dunia imtii ila Putin apuuzwe?.
 
kwan ukraine aliwai mshambulia mtu nchini kwake ? je palestina alianza au alianzwa kushambulia ? sasa unamuoneaj huruma mtu aliutaka ugomv yeye mwenyew , hata kama unadai haki zako ila kuua raia sio jambo la kiungwana , watu mnaoshabikia uas wa hamas inabid mpimww akili , ni nchi gan ingekaa kimya pind ikivamiwa na majeshi ya majiran?
 
Urusi na shogaake china.... Tayari Wana mke wao(Ukraine)wanamkanda! Mdogo mdogo....!...

Hawahitaji ndoa za mitala ama ndoa za kiislamu wake wengi!.... Watashindwa kuwahudumia...

Mke wao mmoja tu Ukraine anawatosha.
 
Ukiona udhalimu na uonevu unatendeka nawe ukakaa kimya au ukawa Neutral maana yake ni kuwa umetia Vema kinachoendelea kiendelee......yaani wewe ni sehemu.ya hup uovu.
 
Hakuna nchi ya aina hiyo itanyamaza. Kilichpo ni unafikia tu wa kidini.
Juzi tu hapo Uturuki,kuna mkurd alijipenyeza ndani ya uturuki akalipua hotel.
Alichokifanya mturuki nadi leo kurdi wanalia.
 
Putin kawaingiza chaka Iran
 
Ni kweli kaka, Israel kaharibu mpaka airports za Syria na watu wameufyata.
 
Ukiona udhalimu na uonevu unatendeka nawe ukakaa kimya au ukawa Neutral maana yake ni kuwa umetia Vema kinachoendelea kiendelee......yaani wewe ni sehemu.ya hup uovu.
Nakazia.
 
Unajua nini......



Nyau nomaa.......Hamas wameyatimbaaa.
 
Kama hawana interest
 
Mara nyingi ni wanafiki wa dunia hao na Kila walipo hao mgongoni mwao wamembeba bwana madevu wa uarabuni. Kama sii NATO amani ya dunia ingetoweka. Kuna majitu kwa kutaka tuu kulazimishwa watu wafuate dini ya mababu zake wa uarabuni yupo radhi kulipa watu au majengo ili kuwaangamiza wsliokataa kufuata Mila na dini hizo
 
Uturuki amepeleka msaada wa chakula na dawa Palestina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…