Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,060
- 9,468
Ilitakiwa Hamas wadai haki yao kwa njia gani?kwan ukraine aliwai mshambulia mtu nchini kwake ? je palestina alianza au alianzwa kushambulia ? sasa unamuoneaj huruma mtu aliutaka ugomv yeye mwenyew , hata kama unadai haki zako ila kuua raia sio jambo la kiungwana , watu mnaoshabikia uas wa hamas inabid mpimww akili , ni nchi gan ingekaa kimya pind ikivamiwa na majeshi ya majiran?
Israel lugha pekee anayoielewa ni mtutu wa bunduki maana amani hapendi kabisa.