Kwanini Urusi, China na India wameamua kuwa watazamaji mgogoro wa mashariki ya kati?

Ilitakiwa Hamas wadai haki yao kwa njia gani?

Israel lugha pekee anayoielewa ni mtutu wa bunduki maana amani hapendi kabisa.
 
Wanashindwa pa kuanzia maana Hamas waliyataka wenyewe..
Mauaji ya kikatili ya watoto zaidi ya 260 kwenye tamasha la mziki siyo jambo dogo!
Mwana kulitafuta mwana kulipata
Pamoja siungi mkono kilichotokea, lakini inabidi kurudi nyuma na kufikiria je hili lilotokea lingetokea kama Israel ingekuwa na ujirani mwema na Palestina? Ni haki kuwalaumu Hamas, lakini pia Israel ina mchango wake kwenye lilotokea. I srael isingekuwa imechukuwa ardhi ya Palestine, kikundi cha Hamas sidhani kingefanya haya yaliyofanyika. Suluhu ya hili tatizo ni Israel kurudisha ardhi ya Waarabu na Waarabu (Palestine) kutambua uwepo wa Israel kama nchi. Bila haya kuangaliwa na kutekelezwa na pande zote hii minyukano itaendelea na wote watalaumiwa kwa vifo vyote.
 
... leo ni Ijumaa; vipi huko duniani waumini wamefurika mabarabarani kama kawaida yao ku-support magaidi? Death to America! Death to Israel! Huku wakichoma mabendera na kujiapiza ovyo?

 

Waislamu wana ujinga mwingi sana
 

Wote wavamizi,soma historia vzr,atakayeshinda achukue hiyo nchi.
 
Ukiona udhalimu na uonevu unatendeka nawe ukakaa kimya au ukawa Neutral maana yake ni kuwa umetia Vema kinachoendelea kiendelee......yaani wewe ni sehemu.ya hup uovu.
Bro Nikuweke sawa.

Ingekuwa anachofanya Israel ameanza yeye na kufanya ghafla. I am sure mataifa haya pia yangekemea na hata kuattempt kuzuia uhalifu dhidi ya binadamu.

Kilichotokea HAMAS wameanzisha mashambulizi na kufanya uhalifu dhidi ya binadamu kwa kias kikubwa sana.

Hivyo inaogofya sana hiyo ishu. Technically Hamas kamchokoza myahjdi kwa kuua raia wake. I repeat ingekuwa Israel imeamka tu na kufanya haya inayofanya huko Gazza, Nchi nyingi zingepinga mzee.

Ukitaka kujua watu hawa wana umakini pia msikilize Putin alichosema: 1. Kwa yaliyotokea Israel ina haki ya kujilinda hasa kwa kilichotokea 2. Israel anakosea kuua Raia wasio hatia na Hamas wanakosea pia kuua Raia 3. Mwisho kaomba pande mbili zikae mezani kutafuta resolution.

Huu ni umakini mkubwa siyo wa kukurupuka na kutaka kuridhisha watu.
 
Mimi namuunga mkono huyo jamaa. Ukiona uhalifu unatokea ukakaa kimya maana yake unaunga mkono.


Mfano, urusi ikiwa na kura ya veto ilikaa kimya kuhusu NATO kupeleka majeshi Libya, maana yake nini???


Je Putin hajui kwa nini hamas wameamua kufanya walichofanya???

Pia urusi Ina mikataba kadhaa na Israel,tafsiri yake inautambua utawala huo ambao ni Haram kwa hamas.
 
Wala sio Netanyahu ni bwana wake Marekani ndiyo anamsaidia kwa kila kitu.
Urusi kawasaidia sana waarabu katika vita vyao na nani Israel lakini walishindwa kuifuta kwenye ramani ya dunia kama ilivyokuwa adhma yao. Kauli yako inaweza maanisha marekani alimshinda urusi hapo Israel au Israel ana kitu Cha ziada Cha kipekee kuwashinda hao waarabu.
 
Israel na Russia wanauhusiano wa karibu sana, pengine kushinda mataifa mengi ya Ulaya,

Sehemu kubwa ya Waisrael wametokea Russia
 
India kaiunga mkono Israel, urusi ana mahusiano mazuri na Israel,china sijajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…