Kwanini usijengwe ukuta katikati ya barabara za mikoani kupunguza ajali?

3. Zorro's daughter βœ”
Zorro Daughter ❌
 
Hizo gharama za huo ukuta ni gharama za kuchimba barabara ingine mbali kabisa
 
Hivi umewahi kusoma hata Page moja ya Road Traffic Act?[Sheria ya usalama Barabarani?

Uko shua sheria imekataa ukishakunywa usiendeshe gari?

Back to the topic.

Wazo la kujenga ukuta katikati ni wazo la hovyo. Hayo ni mawazo ya kijima. Amka upo usingizini. Hii ni 2022.

Wenzetu nchi zinazojielewa wanajenga highway ambazo barabara za kwenda na kurudi zimetengenishwa.

Unakuta mfano Hapa mpaka tunduma Zinaenda njia 3 au 4 na zinarudi njia 3 au 4. Halafu hapo katikati ya njia za kwenda na kurudi unakuta kuna uwazi mkubwa unaachwa.
Wenzetu nchi kama Ujerumani wana barabara za muundo huo zenye jumla ya urefu wa 13,000Km.

Sisi ukichukua barabara ya Dar Tunduma, Dar Arusha na Dar Mwanza haivuki hata 2700Km.


Tumeshindwa hata kutengeneza Highway za kuunganisha hayo maeneo?

The good thing hiyo njia inajipitia maporini. Outlet ndio zinakuja kwenye makazi ya watu.

Hata hili tumeshindwa?
 
Unachekesha sana aise
Jibu ni haiwezekani kujenga ukuta
Inawezekana mkuu sema jamaa ameshindwa kuelezea ni ukuta wa aina gani huo!.

Huyu jamaa alitaka kusema kingo ngumu za zege ambazo kuna nchi kadhaa hata hapo Kenya zimejengwa kwenye ile High Way ya kuelekea kasikazini, hata mtu wa kutembea kwa miguu huwezi kuruka kwa haraka.

Hii kitu ni nzuri sana tatizo ni mfumo na serikali kuamua kuwekeza kwenye eneo hilo.

 
Unachekesha sana aise

Jibu ni haiwezekani kujenga ukuta
Eleza sababu za kutowezekana, jamaa kaandika, sababu za ukuta wa kutenganisha barabara, alau wenye urefu wa mita tatu, kuepusha ajali za magari yanayotoka pande mbili kugongana.

Sasa wewe unaesema haiwezekani andika sababu, mawazo yake jamaa yanaweza kuamsha mawazo ya watemdaji wetu, huenda barabara kubwa zote, zikajengwa kwa kuweka tuta kubwa linalotenganisha barabara, kama ilivyo, Nelson Mandela, kwa wakazi wa Dar, wanaijua.
 
Umeishia darasa la ngapi mkuu
Wewe uliesoma, ulitakiwa sasa kumuelimisha huyu, juu ya anachokiwaza, hakiwezekani ni upuuzi na sababu zake.

Lakini Wasomi wetu mnapo ponda mawazo yetu, bila kuonyesha Ujinga wake uko wapi, basi wewe unakua mjinga zaidi, kuliko unaedhani ni mjinga.
 
Wazo lingekuwa kujenga lanes mbili kila upande uendao na urudio kama Ruby zingethibitiwa vizuri zisitoroshwe
 
Ajali haina kinga, unaeza kujengwa ukuta na ajali nd zikazidi vile vle pia ili kuw na ukuta ama kingo ,njia za kwnda n kurudi lazima ziongzeke upana wake ili incase gari ikiharbika iczuie gari zngne kupita.
Na wewe nawe ni kiazi kingine.
 
Njia sahihi ya kupunga ajali hasa hizi za head on collision ni kupanua barabara ziwe za njia mbili kama nchi zilizoendelea zinavyofanya. Ukuta katikati ka barabara nyembamba kama hizi za kwetu ni kuongeza maafa! Kwa nini mnataka kufanya complication kwenye simple solution?
 
Yes I agree, njia mbili na hata zaidi katikati katika mgawanyo bado ziwekwe Concrete Barriers.
 
Yes I agree, njia mbili na hata zaidi katikati katika mgawanyo bado ziwekwe Concrete Barriers.
Nadhani huna idea hizo njia mbili zinavyojengwa. Kawaida hizi za highway huwa zinaacha nafasi kubwa katikati. Ukishajenga hivyo huhitaji tena kuweka hizo kuta kwani ni upotevu wa fedha. Kuta zinawekwa sehemu zenye ulazima tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…