Kwanini usijengwe ukuta katikati ya barabara za mikoani kupunguza ajali?

So wewe ni mtafasiri wake au wewe ni nani kwake?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Pep
 
Reactions: Pep
Watu wanamdhihaki! bila kutoa altenative ya suluhu ya ajali!

Innovation huanza na mawazo finyu sana, lakini kadri watu wanavyoboresha ndipo mafanikio hupatikana.

Watanzania tubadilike, unamdhihaki mtoa mada, wewe umechangia jambo gani katika taifa lako likawa na tija!?

Mfano, alivyosema ukuta, mwingine akaja na idea ya barabara mbili,
1. Maalumu kwa ajili ya gari za mizigo
2. Maalumu kwa ajili ya gari za abiria.

Lakini mwingine akaja na Idea ya kudhibiti wanedesha magari makubwa na mabasi, kwamba wawe na umri kuanzia miaka 45 na kuendelea!

Au, ni marufuku kufika maeneo ya bar na gari binafsi, gari zote ziendaazo maeneo ya bar ziwe za biashara eg Ubber, or tax.

Hayo yote hapo ni mawazo ambayo mtu anafikiria kutokana na agenda iliyoletwa! maana yake bila agenda hiyo watu wasingewaza hayo.

Hivyo, wazo linanavyozidi kuboreshwa ndivyo mafanikio yake hupatikana na sio kumkashifu mtoa mada
 
Ajali haina kinga, unaeza kujengwa ukuta na ajali nd zikazidi vile vle pia ili kuw na ukuta ama kingo ,njia za kwnda n kurudi lazima ziongzeke upana wake ili incase gari ikiharbika iczuie gari zngne kupita.
Mfano mzuri ni barabara za mabasi yaendayo kasi.
Zile sehemu walizojjenga kingo pembeni,gari ikiharibika basi inaziba njia .yanayofuata nyuma hayawezi kupita pale.
 
Kama ole kona ya mbalizi pale kwenye yale makontena.....unahitajika ukuta
Barabara ilivyolala upande mmoja
Sijui ukuta utakaaje[emoji134]
Magari ya upande mwingine si yatagusa ukuta[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inamaana gari Moja nikiharibika katikati ya barabara,gari nyingine zitasubiri hadi litengenezwe ndo zipite ??
Maana si ukuta umejengwa,na gari haiwezi kuhama upande wake Kwa sababu ya ukuta.
 
waongeze lanes tu kutoka 2 lane waweke 4
 
Kufanyaje
Nawaza tu..
Kwahiyo kama pale kitonga au Nyang'oro,,,Kuta zitakuwa zinabend kama zile Kona??
Maana barabara ilivyo na Kona zilivyo kali U-turn...ni lazima tu gari ihamie upande mwingine wa barabara Kwa nyuma.
 
Reactions: Pep
Nawaza tu..
Kwahiyo kama pale kitonga au Nyang'oro,,,Kuta zitakuwa zinabend kama zile Kona??
Maana barabara ilivyo na Kona zilivyo kali U-turn...ni lazima tu gari ihamie upande mwingine wa barabara Kwa nyuma.
Ndugu yangu ubarinolutu unazungumziaje hii point ya mrembo?
 
Badala ya kujenga ukuta barabara ziongezwe
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…