Kuna points muhimu sana hapo.. yaan Bora wakiwa wanaita Usaili tena mapema Kam una mistake Fulani utaijua maana wataonesha kwenye my application then kwa nafasi zingine rahisi kurekesbisha Ila kwa Hali hii mtu anajikuta anaomba kazi 10 na Kila ombi Lina Kosa fulani tena la kujirudiaNawaza kuna ambao kwa sababu ya kuchelewa kupewa mrejesho, imebidi waendelee kuomba nafasi mpya zinazotoka. Shida ni kumbe kwenye maombi au taarifa walizopandisha kwenye mfumo, kukawa na dosari bila ya wao kujua chochote. Pengine makosa ya uandishi wa barua, vyeti kitopitiwa na wanasheria, au hata kutoonekana vizuri kwenye pdf.
Majibu yanakuja kutoka, wanagundua kinachosababisha wasiitwe ni hayo makosa yaliyopo wakati anafanya maombi yote na kwa hivyo hawana vigezo vya kuitwa kwenye kazi zote walizoomba.
Naona tuwe na uzi wa kuelezea makosa yaliyosababisha rejection za PSRS, wote waliowahi kuwa rejected kwa makosa hayo wafunguke ili tujirekebisheKuna points muhimu sana hapo.. yaan Bora wakiwa wanaita Usaili tena mapema Kam una mistake Fulani utaijua maana wataonesha kwenye my application then kwa nafasi zingine rahisi kurekesbisha Ila kwa Hali hii mtu anajikuta anaomba kazi 10 na Kila ombi Lina Kosa fulani tena la kujirudia
Pamoja sana kaka.Nafasi nyingi sana, ukiitwa hakikisha unapambana hadi utoboe
Pamoja sana kaka.Nafasi nyingi mno pambana sana unatoboa
Nasikia kama ni mara ya kwanza unachukuliwa, ila ya pili na kuendelea, unabidi uwe sawa Kwa vigezo vyao...Naona tuwe na uzi wa kuelezea makosa yaliyosababisha rejection za PSRS, wote waliowahi kuwa rejected kwa makosa hayo wafunguke ili tujirekebishe
Ya kwanza kivipi na ya pili kivp.. hebu fafanua kwa uzoefu wakoNasikia kama ni mara ya kwanza unachukuliwa, ila ya pili na kuendelea, unabidi uwe sawa Kwa vigezo vyao...
Hakuna hicho kitu mkuu kama una makosa wanakuacha hata iwe mara Yako ya kwanza ishanitokea hiyo mkuuNasikia kama ni mara ya kwanza unachukuliwa, ila ya pili na kuendelea, unabidi uwe sawa Kwa vigezo vyao...
Uliachwa kwa issue gani bosi wangu..?Hakuna hicho kitu mkuu kama una makosa wanakuacha hata iwe mara Yako ya kwanza ishanitokea hiyo mkuu
Sikuwa nimepiga mhuriUliachwa kwa issue gani bosi wangu..?
Kwa kuwa CV unaweza kuedit muda wowote kwenye portal, rekebisha hilo kosa kwa manufaa ya shortlisted ambazo hazijatoka. Barua tu deadline ikipita ndio huwezi kueditInakuwaje wakuu ? Naona Leo wamenipa reason ya why sijawa shortlisted kwenye kazi nliyoomba. na hapa nlishaaply sehemu kama tano Hivi huku tayari application zishafungwa now, na zote nimeapply nikiwa nimeweka referees wawili tu (maybe that's a reason why sijawa shortlisted, I was told we gotta have at least three referees). Sasa vipi nikiedit now kwa zile ambazo nshaomba kutakuwa na mabadiliko kweli au ndo ishakula kwangu ? Halafu hao referees Kuna vigezo ambavyo lazima uzingatie ? I mean lazima mmoja awe wa career yako, sijui mwingine awe wa vingine na mwingine vingine pia. Can you guys enlight me please[emoji120]
Nafasi gani hizi?Inakuwaje wakuu ? Naona Leo wamenipa reason ya why sijawa shortlisted kwenye kazi nliyoomba. na hapa nlishaaply sehemu kama tano Hivi huku tayari application zishafungwa now, na zote nimeapply nikiwa nimeweka referees wawili tu (maybe that's a reason why sijawa shortlisted, I was told we gotta have at least three referees). Sasa vipi nikiedit now kwa zile ambazo nshaomba kutakuwa na mabadiliko kweli au ndo ishakula kwangu ? Halafu hao referees Kuna vigezo ambavyo lazima uzingatie ? I mean lazima mmoja awe wa career yako, sijui mwingine awe wa vingine na mwingine vingine pia. Can you guys enlight me please🙏
Asante mkuu🙏Kwa utaratibu ni mwezi mmoja.
Asante mkuu🙏Kwa kuwa CV unaweza kuedit muda wowote kwenye portal, rekebisha hilo kosa kwa manufaa ya shortlisted ambazo hazijatoka. Barua tu deadline ikipita ndio huwezi kuedit
Referee wa career yako ana nguvu sana, anaweza kukuelezea wewe ufanisi wako katika kazi.
Pia msimamizi wako wa kazi(boss), Mwl wako(chuo) anafit kwenye hiyo nafasi ya referee
Kweli mkuu huenda tunalalamika wanachelewesha ila huenda kwa ground mambo ni mzigo kuchambuaDuuuuh hadi hapa nimepata jibu kwanini PSRS wanatumia muda mrefu/mwingi kuita Watu Usaili. Kwa hii Vetting ya kwenye account ya Kila mtu ni hatari..
Wadau mzidi kuweka vitu hapa vinavyosababisha mtu not be shortlisted ili Kila kipengele tuwe makini nacho.
[emoji120][emoji120][emoji120]
Na kwenye upande wa kuita watu kazini.. unahisi nini kinacheleweshaaa.??Duuuuh hadi hapa nimepata jibu kwanini PSRS wanatumia muda mrefu/mwingi kuita Watu Usaili. Kwa hii Vetting ya kwenye account ya Kila mtu ni hatari..
Wadau mzidi kuweka vitu hapa vinavyosababisha mtu not be shortlisted ili Kila kipengele tuwe makini nacho.
[emoji120][emoji120][emoji120]
Mkuu umejinoa noa!? Kila la kheri keshoNa kwenye upande wa kuita watu kazini.. unahisi nini kinacheleweshaaa.??
kesho Kuna Usaili wapi Boss..?Mkuu umejinoa noa!? Kila la kheri kesho