Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nyie angalau mnaweza kuwa na iman maana waliopata wameandikiwa hvo
Tatizo imeniandikia shortlisted kwenye oral ambayo ilipita na sikupata kazi na hii ya juziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kizungumkuti cha status hahaha....utumishi watatuua jobless 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…