Nafikiri wengi ipo hivyo mzeeKwa kauchunguzi kangu kadogo nimegundua jamaa zangu wengi waliofika oral, status zao zimeandikwa shortlisted.
Nadhani hakuna lolote la maana tunatakiwa kulitegemea kutokea hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafikiri wengi ipo hivyo mzeeKwa kauchunguzi kangu kadogo nimegundua jamaa zangu wengi waliofika oral, status zao zimeandikwa shortlisted.
Nadhani hakuna lolote la maana tunatakiwa kulitegemea kutokea hapo.
Dah kifo cha wengi ni harusiNafikiri wengi ipo hivyo mzee
😂😂😂😂😂Sema nyie wa IT siimeandika selected mzee??Dah kifo cha wengi ni harusi
😂😂😂😂Unataka kusema tumekandwa au sio??Dah kifo cha wengi ni harusi
Inamaanisha tumekandwa 🤣 🤣 🤣 🤣😂😂😂😂😂Sema nyie wa IT siimeandika selected mzee??
Nyie angalau mnaweza kuwa na iman maana waliopata wameandikiwa hvo😂😂😂😂Unataka kusema tumekandwa au sio??
Tatizo imeniandikia shortlisted kwenye oral ambayo ilipita na sikupata kazi na hii ya juzi😂😂😂😂😂Nyie angalau mnaweza kuwa na iman maana waliopata wameandikiwa hvo
Inshallah ikawe hivyo mkuuNyie angalau mnaweza kuwa na iman maana waliopata wameandikiwa hvo
Kuandika na kuongeaMlifanya writen na oral tu au na prac pia?
Status imekuandikiaje??Kuandika na kuongea
Amesema shortlistedStatus imekuandikiaje??
😂😂😂😂basi naona hii status ni kwa wote waliopiga written na oralAmesema shortlisted
Mi nahis pia ukiandikiwa hvo unakua uenda kwenye database kwahyo nafas ikipatikana unaitwa isipopatkana basi unakosahamna meck pro alisema yeye ilibaki selected na ni mtu wa IT
Ahahaah kwahyo uwe umepata au umekosa inaandika hvo😂😂😂😂basi naona hii status ni kwa wote waliopiga written na oral
Labda ni hivyoMi nahis pia ukiandikiwa hvo unakua uenda kwenye database kwahyo nafas ikipatikana unaitwa isipopatkana basi unakosa
😂😂😂😂Itakuwa huwa inaandika hivyo sasa sisi na stress zetu tumechanganyikiwaAhahaah kwahyo uwe umepata au umekosa inaandika hvo
Maana kwa kesi ya wale wa veta kama meck pro utaona nafas ilikua moja ila wakaitwa zaid ya mmoja uenda wengne walikua kweny databaseLabda ni hivyo
ShortlistedStatus imekuandikiaje??