billionea alpha
JF-Expert Member
- Apr 10, 2014
- 1,443
- 1,656
Yaan kama ulikuwa ndo first time kuapply Ajira Portal,hasa kama uja thibitisha vyeti Kwa mwanasheria unaitwa kwenye usahili....ila second time na kuendelea sahau...Ya kwanza kivipi na ya pili kivp.. hebu fafanua kwa uzoefu wako
Kuna jamaa yangu, akuthibisha vyeti Kwa mwanasheria,mara ya kwanza aliitwa...Hakuna hicho kitu mkuu kama una makosa wanakuacha hata iwe mara Yako ya kwanza ishanitokea hiyo mkuu
Yaan mara ya kwanza aliitwa licha ya kutocertify vyeti...? Na ilikuwa lini/mwaka gani..?Kuna jamaa yangu, akuthibisha vyeti Kwa mwanasheria,mara ya kwanza aliitwa...
kwenye placements Huwa wanacombine majina ya Taasisi nyingi ili kupunguza jam ya MIKEKA Kila siku.. hvyo wanaweza kumaliza taasisi Fulani Ila wakawa wanazisubiria taasisi zingine.. So ni kawaida kuona we Interview yako umefanya May Ila mkeka umecombine na watu waliofanya Usaili July.Na kwenye upande wa kuita watu kazini.. unahisi nini kinacheleweshaaa.??
Ni muda sana 2018 hukoYaan mara ya kwanza aliitwa licha ya kutocertify vyeti...? Na ilikuwa lini/mwaka gani..?
OUT mkuu za Tutorial Assistantskesho Kuna Usaili wapi Boss..?
Tuweni serious, 2018 na sasa 2022. Kama unaapply kwa mara ya kwanza kwa sasa hakikisha kila kitu kiko sawa. Mfano mimi niliapply ustate attorney na Parliamenrary draftman kwa wakati mmoja, hiyo ni mwaka huu, lakin cha kushangaza nlikuta nmekuwa shortlisted parliamentary draftman lkn state attorney sikuwa shortlisted sababu ikiwa sijaattach birth certificate, na kwel nlikuwa sijaatach, same applies pia BRELA na SELF microfinance, brela nliitwa registration officer, licencing officer nkatemwa kisa ikiwa sijaattach birth certificate, self nkaitwa, ila nlishindwa fanya interview pia kisa siku na birth certificate original na nlikuwa nshaanza kushughulikia ila RITA.Ni muda sana 2018 huko
Sasa Kwa mtu ambaye kosa lake ni kwamba haja thibitisha Kwa mwanasheria, vyeti original si anavyo?Wataona tuu huko huko...Tuweni serious, 2018 na sasa 2022. Kama unaapply kwa mara ya kwanza kwa sasa hakikisha kila kitu kiko sawa. Mfano mimi niliapply ustate attorney na Parliamenrary draftman kwa wakati mmoja, hiyo ni mwaka huu, lakin cha kushangaza nlikuta nmekuwa shortlisted parliamentary draftman lkn state attorney sikuwa shortlisted sababu ikiwa sijaattach birth certificate, na kwel nlikuwa sijaatach, same applies pia BRELA na SELF microfinance, brela nliitwa registration officer, licencing officer nkatemwa kisa ikiwa sijaattach birth certificate, self nkaitwa, ila nlishindwa fanya interview pia kisa siku na birth certificate original na nlikuwa nshaanza kushughulikia ila RITA.
Nmefanya interview yangu ya kwanza ya land officer na ndo nlifika oral ila mpaka sasa placement bado. Ila ni baada ya kuweka kila kitu sawa. Na issue ni kwamba mpaka oral kila kitu kinakaguliwa, kuanzia cheti cha kuzaliwa, kitambulisho na vitu vyote walivyosema tena wanataka original, ukipita written labda huna kimojawapo utakuja kamatwa oral, maana secretary atawacheck na bado kila kitu kitacheckiwa na hao wanaokuinterview.
Kila kitu kinawezekana, rekebisha mapema kabla hujafika huko.
Ntaandika uzi wa kila kitu kinachotakiwa itawasaidia wengine.
Ahsanteni
Ni bora kufanya wanavyotaka kuliko kujiwekea sheria zako.Sasa Kwa mtu ambaye kosa lake ni kwamba haja thibitisha Kwa mwanasheria, vyeti original si anavyo?Wataona tuu huko huko...
Watu wengi hizo sheria awazijui ,ndo mana wanakuwa wanakosea....tunajifubza kutokana na makosa.Ni bora kufanya wanavyotaka kuliko kujiwekea sheria zako.
Yaan it is a simple instruction ila inawacost wengi
Ni lazima ndani ya mwezi mmoja Ofisi ya Government Security Officer (GSO) au kwa kiswahili, Mkuu wa Usalama serikalini, kwa kushirikiana na mwajiri wako ikuchunguze ndipo iseme huyu mtumishi anafaa kuitwa kazini. Endapo kama Ofisi ya GSO itakuwa na mashaka basi itabidi mpaka wajiridhishe ndipo utaitwa kazini. Kwahiyo kupita usaili ni jambo moja na kuitwa kazini ni jambo jingine.Asante mkuu🙏
Kwenye tangazo kila kitu kimeandikwa, matangazo yote ya kazi sema watu uwa hawasomi, mtu anasoma tu page ya kazi inayomhusu anakimbia kuapplyWatu wengi hizo sheria awazijui ,ndo mana wanakuwa wanakosea....tunajifubza kutokana na makosa.
Itasaidia sana wengi, ninausubiri huo uzi mkuuTuweni serious, 2018 na sasa 2022. Kama unaapply kwa mara ya kwanza kwa sasa hakikisha kila kitu kiko sawa. Mfano mimi niliapply ustate attorney na Parliamenrary draftman kwa wakati mmoja, hiyo ni mwaka huu, lakin cha kushangaza nlikuta nmekuwa shortlisted parliamentary draftman lkn state attorney sikuwa shortlisted sababu ikiwa sijaattach birth certificate, na kwel nlikuwa sijaatach, same applies pia BRELA na SELF microfinance, brela nliitwa registration officer, licencing officer nkatemwa kisa ikiwa sijaattach birth certificate, self nkaitwa, ila nlishindwa fanya interview pia kisa siku na birth certificate original na nlikuwa nshaanza kushughulikia ila RITA.
Nmefanya interview yangu ya kwanza ya land officer na ndo nlifika oral ila mpaka sasa placement bado. Ila ni baada ya kuweka kila kitu sawa. Na issue ni kwamba mpaka oral kila kitu kinakaguliwa, kuanzia cheti cha kuzaliwa, kitambulisho na vitu vyote walivyosema tena wanataka original, ukipita written labda huna kimojawapo utakuja kamatwa oral, maana secretary atawacheck na bado kila kitu kitacheckiwa na hao wanaokuinterview.
Kila kitu kinawezekana, rekebisha mapema kabla hujafika huko.
Ntaandika uzi wa kila kitu kinachotakiwa itawasaidia wengine.
Ahsanteni
Kwemye portal huwa wanataka uweke copy vyeti vilivyothibitishwa na Wakili/Hakimu. Utatoboaje hapa kama hujacertify ili ukawaoneshe hivyo original huko mbele?Sasa Kwa mtu ambaye kosa lake ni kwamba haja thibitisha Kwa mwanasheria, vyeti original si anavyo?Wataona tuu huko huko...
NmeshawekaItasaidia sana wengi, ninausubiri huo uzi mkuu
Maana skuiz naona paper zina tungwa kw kukomoanaa [emoji23][emoji23]
Kwahyo unataka upate kotekote.. vingine waachie wenzio. uROHO tu😕😕Wasubiri sensa iishe jamani mi msimamizi siwezi acha hii pesa jamani nina uhitaji nayo
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app