Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kiongozi unatumia simu gani?
 
Noma sana, mtie moyo tukashirikiane kuwakanda kama si kukandwa[emoji3][emoji3]

Hahaha, kabisa Mkuu. Lolote jema halishindikani kutokea. Hata hivyo sio kwamba wanaofanikiwa kupita huwa ni watu wa ajabu saana. Wengine unakuta mtu unawamudu na hawakuzidi chochote, ila tu ni muda wao unakuwa umefika.
 
Nimeona mkuu,sasa ni namba ipi hapa inanipa direction ya room nitakayoingia pale UDOM?

Mfano namba ni PSRS/29/4496/5384
Hayo maelekezo huwa wanatoa kule kule, huwa mnakusanywa, mnaelekezwa herufi flan mpaka flani mtaenda venue ile, flan na flan venue ingine, mkifika huko mnakutana karatasi zenye majina yenu kusaini na kuendelea na mchakato. Mchawi ni kuwa on time tu.
 
Hayo maelekezo huwa wanatoa kule kule, huwa mnakusanywa, mnaelekezwa herufi flan mpaka flani mtaenda venue ile, flan na flan venue ingine, mkifika huko mnakutana karatasi zenye majina yenu kusaini na kuendelea na mchakato. Mchawi ni kuwa on time tu.
Asante sn mkuu,maana hapa nilikuwa nahaha ni room ipi nitaingia kulingana na herufi yangu
 
Sasa ambao hawapo kwenye Pdf watajuaje kuwa wamepangiwa room gn kwaajili ya interview?

Maana naona zimepangwa kulingana na serial number, na serial number zipo kwenye pdf
Mbona Mimi naona Kuna hall fulani wanasema ndo mnakutania hapo UDOM.
 
Samsung galaxy A21s mkuu,haifunguki sio uwezo wa simu mkuu.

Mpaka mida hii sijaelewa kitu
A series sometime zinazingua japo moto zinakaa sana hebu jaribu kudownload WPS PDF reader
 
Hahahahaa, mwambie aanzie kwa Pastor Mkandamizaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…