Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Habari wana jamii,
Naomba mwenye notes zinazohusiana na Loan Officer aweze ku share nami.
Ahsanteni.
 
Bora Mimi huwa tunakandana wakati mwingine kuliko Yanga anakandwa kila siku [emoji23][emoji23][emoji23]
Wadau nipeni ushauri kidogo nimeitwa kwenye mkando tarehe 28 nafasi ya AFISA MIKOPO DARAJA LA PILI taasisi board ya mkopo, lakini tarehe 27, 28 , 29 na 30 kunadili nimepata ya kufanya kazi siku hizo ikiwemo hiyo siku ya mkando tarehe 28. Dili lenyewe kwa siku ni laki mbili hivyo siku 4 naingiza laki 8. Je niende wapi kwenye mkando au kwenye dili la pesa. Kote muhimu ndio maana niponjia panda

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Una received ngapi ukitoa hiyo kwa mfano

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Hapa lazima kichwa kiume mkuuu amua mwenyewe aiseee
 
Hapa lazima kichwa kiume mkuuu amua mwenyewe aiseee
We acha tu mdugu yangu , kichwa kinawaka moto. Maana hela naitaka , lakini pia kazi nataka, na nikifanikiwa kupata kazi hiyo hela nitaipata fasta lakini nikienda Dom nikikandwa nitajutia kwa kupoteza fursa ya hela. Maana nikikandwa + baridi la CIVE-UDOM pale + Nauli na kuacha dili la hela lazima nitaumwa [emoji23][emoji23][emoji23] ila nikiwakanda fresh. Lakin idadi ya watu nayo ndio inaninyongonyesha zaidi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Sina cha kukushauri mkuu nisije toa USHAURI wa mchongo bure
 
Na received mbili 1.OPEN UNIVERSITY nafasi ya ADMISSION OFFICER II na ya pili ni CHUO CHA USHIRIKA MOSHI (MOCU) pale pia ni ADMISSION OFFICER II. Pia nasubiria placements chuo cha ADEM.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Duuuh hapo pamoto maana hizo received zako sio za kutegemea, Kupanga ni kuchagua kk TAKE THE RISK OR LOOSE THE CHANCE. Nadhani utaamua vyema lkn sijajua nikushaurije maana kotekote kunalipa ila ni muda ndio muamuzi [emoji3]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
hongera afsa .dili gani hilo nyeti namna hii??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…