Ngoja nikatupe karata yangu ya mwisho kwa mwaka huuKomba na msuli kaka, I wish you all the best.
Mimi ni tarehe 27Kila la heri, hivi ni Oktoba 28 si ndio ?
Nimeamua kwenda kujilipua mkuuHahahahaha!!kwenye NAOT nafasi ni moja Moja mpaka mbili ,then bonge la nyomi .
Kila la kheri mkuu, na mwenzako uliyempa hifadhi ya accomodation naye kaitwa oral?Hao malegal officer ndo sisi, kesho tuna oral aisee, maombi yenu, hizi nafasi mia Mungu anisaidie tu, maana kuna placements nasubiria mpaka Yesu arudi sijui ndo zitatolewa[emoji23][emoji23]
Halafu hii Legal Officer mtihani ulikuwa mgumu ila uzuri kama ni kada yako unakuwa na idea na unapata cha kuandika, ila ata marks nlizopata nlikuwa sitegemei kwa jinsi mtihani ulivyokuwa mgumu vile
Tena anayefukuzia kimasikhara[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]Jina liwe laini kidogo sasa prok sisi tunajua mwamba fulani hivi
😂😂😂😂Hahhhhh Prok jina gumu sana mzee nikajua huyu ni mwamba kumbe mdada tu tena mzuriiiiiiTena anayefukuzia kimasikhara[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio uzuri tu, hadi roho nzuri, kampa mwenzake accomodation ya bure wakati wanaenda kuwakanda PSRS[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhhh Prok jina gumu sana mzee nikajua huyu ni mwamba kumbe mdada tu tena mzuriiiiii
😂😂😂😂hivi alimpa manzi mwenzie au mjuba alienda kula kimasihara?Sio uzuri tu, hadi roho zuri, kampa mwenzake accomodation ya bure wakati wanaenda kuwakanda PSRS
🤣🤣🤣🤣Sio uzuri tu, hadi roho zuri, kampa mwenzake accomodation ya bure wakati wanaenda kuwakanda PSRS
🤣🤣🤣🤣 eti kimasihara😂😂😂😂hivi alimpa manzi mwenzie au mjuba alienda kula kimasihara?
😂😂😂😂Kuna kimasihara zinatokeaga hivi hivi mzee unaikula halafu ukienda pepa mnakandwa wote hahhhh🤣🤣🤣🤣 eti kimasihara
DAH saidia basi ata kwa avater lain maana hilo jina ni mtihani kidogoMimi ni dada jaman [emoji23]
Nadhani tuwe na subira tu haya mambo yanatuvuluga sana akili Yani kila muda akili inawaza utumishi tuHivi MUCE, IAE na MUHAS placement ni lini?
Na naskia baadhi ya taasisi wanaanza kumpigia simu yule aliepata ajira, je kuna mtu aliepigiwa simu katika taasisi hizo?
Naomba miongozo jamani
We acha tu, yaani kila wakati mawazo yapo utumishiNadhani tuwe na subira tu haya mambo yanatuvuluga sana akili Yani kila muda akili inawaza utumishi tu
😂😂😂😂Unawakumbusha vijana wa hovyo wasome au sio?Mikando mikando nawakumbusha kusoma
Nafikiri Hawa utumishi wawe na huruma hizi ishu za placement zinafanya akili inastuckWe acha tu, yaani kila wakati mawazo yapo utumishi
Wasije kwenda bila kusoma nawajua wengine wanasema guest siku moja kabla ya Pepa vijana watu wa hovyo sana😂😂😂😂Unawakumbusha vijana wa hovyo wasome au sio?