Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hao malegal officer ndo sisi, kesho tuna oral aisee, maombi yenu, hizi nafasi mia Mungu anisaidie tu, maana kuna placements nasubiria mpaka Yesu arudi sijui ndo zitatolewa[emoji23][emoji23]
Halafu hii Legal Officer mtihani ulikuwa mgumu ila uzuri kama ni kada yako unakuwa na idea na unapata cha kuandika, ila ata marks nlizopata nlikuwa sitegemei kwa jinsi mtihani ulivyokuwa mgumu vile
Kila la kheri mkuu, na mwenzako uliyempa hifadhi ya accomodation naye kaitwa oral?
 
Back
Top Bottom