Daaahh, Mungu afanye miujizaPoa tu sema wametukalisha sana, maswali mawili nlikuwa nayajua kabisa, moja nmekumbuka points tatu walikuwa wanataka tano, moja silijui kabisa[emoji23][emoji1787]
Yataje basiPoa tu sema wametukalisha sana, maswali mawili nlikuwa nayajua kabisa, moja nmekumbuka points tatu walikuwa wanataka tano, moja silijui kabisa[emoji23][emoji1787]
Sawa, mimi nitakuwa hapo hapo Lecture Theatre 1Cafe theatre 3, College of business and law
Nishapata huku ninakofikiaga siku zote.Ooh mayigodi, vyumba vimejaa[emoji16]
😂😂😂😂Hayo maswali ya point tano siyapendagi kichizi yani unakuta point unazijua mbili au tatu asa zingine ndo chenga kabisaPoa tu sema wametukalisha sana, maswali mawili nlikuwa nayajua kabisa, moja nmekumbuka points tatu walikuwa wanataka tano, moja silijui kabisa[emoji23][emoji1787]
Hii principle huwa naipenda sana Yani piga maswali maliza hayo mengine unamuachia Mungu afanye uamuzi wakeUshafaulu tayari,hapo imebaki kazi ya Mungu muweza tu we yako umeshamaliza
😂😂😂😂Wewe upo kama mimi naonaga Bora hata niwadanganye tu kuliko niseme sijui au siweziSwali la tano tangu nianze kusoma first year hadi namaliza law school sijawah ata lisikia, cha ajabu nmejibu Mungu wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chief ni chimbo Gani Hilo. Tupeane connection mkuu. Je room zikoje self au kawaida!?Nimepata chimbo langu la bei rahisi huku nzuguni.bei ya room per day ni elfu 8,maji yapo,na chumba ni kizuri tu.mtaani chai kikombe ni 200/=,andazi 200/= chapati ni 300/=.supu inaanzia 1000/=,ugali dagaa ni kuna wa 1000/= na wa 1,500/=.
Naamini nimepunguza cost mno tofauti na ningekaa maeneo ya town huko.
Self..sema limejaa tayariChief ni chimbo Gani Hilo. Tupeane connection mkuu. Je room zikoje self au kawaida!?
Ahsante sana mkuuKila la kheri wote wenye Interview kesho. Mungu awabariki
Swali la kwanza tell us the history of ur education and professional historyYataje basi
Okay.Sawa, mimi nitakuwa hapo hapo Lecture Theatre 1
Hapo unatakiwa upate 50 tu ujngie kwenye mrija wa asaliSwali la kwanza tell us the history of ur education and professional history
2. Three types of tortuous liability
3. Five ways on how a contract can be discharged
4. Five stages when exhibits can be tendered in court
5. Five instruments of statutory legislation
Sisi wa ADEM lini jamani...wanatufanya tukose raha kabisa hawa psrsWadau mliofanya usaili MUHAS placement zimetoka mkaangalie
Yani acha kabisa ndugu yangu,wangejua wenzao tunateseka huku wangeachia tu aiseeSisi wa ADEM lini jamani...wanatufanya tukose raha kabisa hawa psrs
Hivi vyuo ambavyo havipo chini ya TCU ni jipu nduguSisi wa ADEM lini jamani...wanatufanya tukose raha kabisa hawa psrs
Hongera kwao.Wadau mliofanya usaili MUHAS placement zimetoka mkaangalie