Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Binafsi nibakiza moja nifunge zangu mwaka,MDAs na LGAs.Naongeza Dua mwaka huu, hizi interview ziwe ndo mwisho.Mrija wa Asali nilambe na mimi jamani kaah!
 
Nilikuwa na received 5.

1 sikuwa shortlisted kwa sababu isiyo mashiko maana kama hiyo sababu ingetumika, nisingeitwa hata moja.

4 nikawa shortlisted.

3 nimekandwa, sijafika oral

1 ni ya juzi(NAOT), majibu tarehe 2.

Tathmini:
Mrija wa Asali ndio ushapita kushoto hivyo
 
Received 5
2 nimeitwa ila nimechagua moja (zilikuwa muda mmoja) tu na nimefika oral nasubir placement (first time interview ya Pspr)

1 ya NAOT sijaitwa sababu za kijinga kuwa sijafika referee 3 nimewapigia na wamesema hawana cha kunisaidia ( nyoko zao wamefanya figisu nje ya uwanja)

2 bado received nazisubiri wazilete, wasipo nifanyia figisu za nje ya uwanja Naomba Mungu nitoboe niingie kwenye pipa la asali
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Usikata tamaa Jobsekeers mwenzetu naamini Mungu atasaidia kwa hizi za karibuni..
Inshallah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…