billionea alpha
JF-Expert Member
- Apr 10, 2014
- 1,443
- 1,656
PamOja sana.Matokeo ni tarehe 2 kwa NAOT na HELSB n tarehe 3. Invegilator wetu alitutangazia hvyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PamOja sana.Matokeo ni tarehe 2 kwa NAOT na HELSB n tarehe 3. Invegilator wetu alitutangazia hvyo.
Binafsi nibakiza moja nifunge zangu mwaka,MDAs na LGAs.Naongeza Dua mwaka huu, hizi interview ziwe ndo mwisho.Mrija wa Asali nilambe na mimi jamani kaah!Kuna watu humu walikuwa na Received zaidi ya 3 Ila naamini baada ya PSRS kuita Usaili Heslb na naot, baadhi ya watu washamaliza Received zao zote.
Haya Kila mtu aje hapa atoe ushuhuda wake,,,, Alikuwa na received ngapi, kahudhuria saili ngapi, kafika Oral mara ngapi, Tamu na chungu ipo wapi kwenye hizi saili, Estimation wa kupata kazi kupitia hizi saili iko wapi.????? AU ndo ulikandwa zote [emoji23][emoji23]
Nimepata mtu ambae nilimuona kuhusu issue ya kazi so akanishauri nitafute short course atafinance ili angalau niwe na ujuzi fulaniKasome ualimu mzee siuna pass mbili hizo
Sasa hivi wamekaza unless ukubali kuanza na COEnzi zetu ungeenda MD
Unapendelea kufanya kazi gani?Nimepata mtu ambae nilimuona kuhusu issue ya kazi so akanishauri nitafute short course atafinance ili angalau niwe na ujuzi fulani
Yes mambo yamebadilikaSasa hivi wamekaza unless ukubali kuanza na CO
Yoyote ninayoweza kujifunza, sijisifii ila naamini nina uwezo wa kuelewa masomo/mafunzo mbalimbali kuhusu kazi husika!Unapendelea kufanya kazi gani?
Wakati tupo shule nakumbuka washkaji walikuwa wanasema wanatafuta C tatu tu muhas hii hapa, thubutuuuuuYes mambo yamebadilika
Pole sana mkuuMimi sikujua hilo aisee...
Asante mlumbiPole sana mkuu
Em utupie hapa mkuuKuna mkeka mpya wa TAKUKURU umetoka
Nilikuwa na received 5.Kuna watu humu walikuwa na Received zaidi ya 3 Ila naamini baada ya PSRS kuita Usaili Heslb na naot, baadhi ya watu washamaliza Received zao zote.
Haya Kila mtu aje hapa atoe ushuhuda wake,,,, Alikuwa na received ngapi, kahudhuria saili ngapi, kafika Oral mara ngapi, Tamu na chungu ipo wapi kwenye hizi saili, Estimation wa kupata kazi kupitia hizi saili iko wapi.????? AU ndo ulikandwa zote [emoji23][emoji23]
Diploma kozi za Afya anapata, ualimu siku hizi si unaona hali ilivyo!Kasome ualimu mzee siuna pass mbili hizo
Ngoja nichungulieKuna mkeka mpya wa TAKUKURU umetoka
Ulipaswa kumfuata msimamizi na kumuuliza kuhusu ratiba ya matokeo. Pole tena mkuuAsante mlumbi
Umetoka wapi, nimeangalia sijauonaKuna mkeka mpya wa TAKUKURU umetoka
Received 5Nilikuwa na received 5.
1 sikuwa shortlisted kwa sababu isiyo mashiko maana kama hiyo sababu ingetumika, nisingeitwa hata moja.
4 nikawa shortlisted.
3 nimekandwa, sijafika oral
1 ni ya juzi(NAOT), majibu tarehe 2.
Tathmini:
Mrija wa Asali ndio ushapita kushoto hivyo
😂😂😂 Usikata tamaa Jobsekeers mwenzetu naamini Mungu atasaidia kwa hizi za karibuni..Nilikuwa na received 5.