Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kuna watu humu walikuwa na Received zaidi ya 3 Ila naamini baada ya PSRS kuita Usaili Heslb na naot, baadhi ya watu washamaliza Received zao zote.
Haya Kila mtu aje hapa atoe ushuhuda wake,,,, Alikuwa na received ngapi, kahudhuria saili ngapi, kafika Oral mara ngapi, Tamu na chungu ipo wapi kwenye hizi saili, Estimation wa kupata kazi kupitia hizi saili iko wapi.????? AU ndo ulikandwa zote [emoji23][emoji23]
Binafsi nibakiza moja nifunge zangu mwaka,MDAs na LGAs.Naongeza Dua mwaka huu, hizi interview ziwe ndo mwisho.Mrija wa Asali nilambe na mimi jamani kaah!
 
Kuna watu humu walikuwa na Received zaidi ya 3 Ila naamini baada ya PSRS kuita Usaili Heslb na naot, baadhi ya watu washamaliza Received zao zote.
Haya Kila mtu aje hapa atoe ushuhuda wake,,,, Alikuwa na received ngapi, kahudhuria saili ngapi, kafika Oral mara ngapi, Tamu na chungu ipo wapi kwenye hizi saili, Estimation wa kupata kazi kupitia hizi saili iko wapi.????? AU ndo ulikandwa zote [emoji23][emoji23]
Nilikuwa na received 5.

1 sikuwa shortlisted kwa sababu isiyo mashiko maana kama hiyo sababu ingetumika, nisingeitwa hata moja.

4 nikawa shortlisted.

3 nimekandwa, sijafika oral

1 ni ya juzi(NAOT), majibu tarehe 2.

Tathmini:
Mrija wa Asali ndio ushapita kushoto hivyo
 
Received 5
2 nimeitwa ila nimechagua moja (zilikuwa muda mmoja) tu na nimefika oral nasubir placement (first time interview ya Pspr)

1 ya NAOT sijaitwa sababu za kijinga kuwa sijafika referee 3 nimewapigia na wamesema hawana cha kunisaidia ( nyoko zao wamefanya figisu nje ya uwanja)

2 bado received nazisubiri wazilete, wasipo nifanyia figisu za nje ya uwanja Naomba Mungu nitoboe niingie kwenye pipa la asali
 
Nilikuwa na received 5.

1 sikuwa shortlisted kwa sababu isiyo mashiko maana kama hiyo sababu ingetumika, nisingeitwa hata moja.

4 nikawa shortlisted.

3 nimekandwa, sijafika oral

1 ni ya juzi(NAOT), majibu tarehe 2.

Tathmini:
Mrija wa Asali ndio ushapita kushoto hivyo
😂😂😂 Usikata tamaa Jobsekeers mwenzetu naamini Mungu atasaidia kwa hizi za karibuni..
Inshallah
 
Back
Top Bottom