Kwanza ilitakiwa wote warudi PSRS hata hao TRA warudishe usaili PSRS hakuna chochote cha maana kama ni spidi mbona nao bado, mpaka sasa ni miezi 3 toka tangazo la ajira hapo mpaka nao kwenda kuita watu kazini inaweza tena ikachukua miezi 3 , warudishwe tu PSRS wasitafute chaka la kupitisha ndugu na watoto wao na wa wakubwa wao.Chawene ashikilie hapo aweke pin kabisa pakilegea tu watoto wa mkulima tumeisha haiwezekani upate g.p.a ya kuhonga na kazi nayo ya kuhonga wapite PSRS wakapate fair competition.
Dah asee Mwenyezi Mungu azidi kulipigania ili.Kumbe Mashirika ya Umma yalikuwa na mpango wa kujiondoa PSRSView attachment 2759419
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Hawa ndo viongozi tunaowataka Sasa.Kumbe Mashirika ya Umma yalikuwa na mpango wa kujiondoa PSRSView attachment 2759419
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Hawa ndo viongozi tunaowataka Sasa.
Hawa ndo viongozi tunaowataka Sasa.
mambo yakianza kunoga wanaleta ushoga..Chawene awakazie hawa wapuuzi , wameanza kuota mapembe , ayakate
Kabisamambo yakianza kunoga wanaleta ushoga..
Hivi replacement ndo nini??Utumishi haiwezi kupokonywa kufanya mchakato wa ajira kwa taasisi za umma ila taasisi za umma ndo zinazoongoza kumkwamisha psrs.
Ila rungu alishapewa kwa mujibu wa sheria na ukapitishwa na bunge so sheria inabidi iondolewe na bunge.
Suala lingine
Utumishi niseme nao hawataki kuendana na speed za taasisi.
Ilitakiwa kuanzia kutangaza ajira ,interview na replacement zingechukua mwezi mmoja au miwili.
Kuliko miezi miwili hadi sita kama ilivyosasa.
anayetua watu hao ni prezda.....Kumbe Mashirika ya Umma yalikuwa na mpango wa kujiondoa PSRSView attachment 2759419
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Wabongo ndo mnachokijua kukosoaHivi replacement ndo nini??
Ni kweli kabisa, sijaona mabadiliko yoyote zaidi ya kuweka njia ya watu wao.Kwanza ilitakiwa wote warudi PSRS hata hao TRA warudishe usaili PSRS hakuna chochote cha maana kama ni spidi mbona nao bado, mpaka sasa ni miezi 3 toka tangazo la ajira hapo mpaka nao kwenda kuita watu kazini inaweza tena ikachukua miezi 3 , warudishwe tu PSRS wasitafute chaka la kupitisha ndugu na watoto wao na wa wakubwa wao.
waambie ao..Wabongo ndo mnachokijua kukosoa
Hii ipo mzee, kuna taasisi tumelamba asali lakini unaona wazi kabisa hawakufurahishwa sio tuliokuwa nje ya mfumo wao kutoboa ilhali kuna raia wamejitolea kwa muda mrefu wamedunda, lakini ndio hivyo tena Mungu ni mwema alitupigania na tukapenyaDah hatari sana jamaa inaonekana wanawanyooshea sana hakuna ch3nga chenga alf taasisi zinapelekewa watumishi wasio wataka hii nchi ngumu snaa kuna watu wanaona kama yao vile
Vip wale wanaoenda fanya interview Kisha hajapangiwa alipoomba wakapata placement na wanapangiwa kutoka data base unataka sema kuna wawakilishi wa taasisi kwenye jopo la oral piaKwenye Jopo la Oral interview psrs, anakuwepo member mmoja kutoka taasisi husika. Kwahiyo madai yao kuwa wanapelekewa watumishi wasio na vigezo ni uongo. Figisu tu
Database inaonesha alama zako zote ulizopata kuanzia oral mpaka written, pia kumbuka CV yako ipo pale na yale maswali uliyokuwa unajibu yalielezea vitu kuhusu wewe na ndio maana hata kwenye kupangiwa sio wote ambao wanatoboa kwenye database, ikiwa perfomance yako ilikuwa chini sana kwenye oral + written unaweza usitoboe kwenye mkeka wowote, na akapangiwa mwengine ambae alikuwa na ufaulu wa juu kuliko wewe katika nafasi kama yako hata kama alifanya kwenye usaili mwingineVip wale wanaoenda fanya interview Kisha hajapangiwa alipoomba wakapata placement na wanapangiwa kutoka data base unataka sema kuna wawakilishi wa taasisi kwenye jopo la oral pia
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
📌 sometimes unakuta wamepata placement tokea database mahali pazuuuuri kuliko walipoomba na kufanyia interview wakaachwaVip wale wanaoenda fanya interview Kisha hajapangiwa alipoomba wakapata placement na wanapangiwa kutoka data base unataka sema kuna wawakilishi wa taasisi kwenye jopo la oral pia
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Vip wale wanaoenda fanya interview Kisha hajapangiwa alipoomba wakapata placement na wanapangiwa kutoka data base unataka sema kuna wawakilishi wa taasisi kwenye jopo la oral pia
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app