Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaMungu ni mwema, wadau na mm leo nimelamba asali namshukuru sana mungu, nawashukuru wana uzi huu kwa faraja zenu kipindi nasubilia placement wadau msikate tamaa wakati wa mungu ndio wakati sahihi, lakn pia naamini yajayo yanafurahisha kwa upande wenu.
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaHatamaeee nimeingia kwenye asali mbichi ya baharii toka mwaka jana mwezi wa 11 leoo 28.9.2023
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaTuwaamini sana utumishi ,hatimaye nimelamba asali kutoka database
Sasa kuna mmoja hapo anasema anavizia aingie Dodoma usiku ili akalale bar chako tu chako kukwepa gharama ya Guest. Jobless mnapitia hustle sana.Umeona eeh! Mkuu yani ukipiga interview 6 Dom unakuwa ushatumia karibu 1M aise
Na waliokukopesha ukipata kazi inabidi ulipe fadhilaNa kukopo juu
Hii Database yao wanayoita(siri kwao)wangetumia formula ya FIFO(first Inn First Out) ingekuwa inamata zaidi kutokana na utofauti wa paper...Hapo maana yake amefika ile passmark ya 50 na amehifadhiwa database. Sasa kama database kuna foleni na nafasi zikitokea wanaanza kwanza wenye high marks na sio nani katangulia kuingia database
Nakuelewa man ! Doso la kitaa ni nyoko kaka,wengine tumejibanza kwa kibarua cha kanjibai ila cha moto tunakipata , malipo kibaba halmashauri nafuu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1], maslahi sisimizi ,kazi tembo maanina, mwezi unautafuta kwa tochi .daah sio poah wengi wakongwe + wageni wa huu uzi wamepata kazi.
sahili mpya za mchumi ,agro , market angalau niongeze received nazo zimekauka.
kitaa nacho sio mchezo nimwendo wa doso tuu
Kabisa , jamaa wametusahau sana "wazee wa short circuit na screw drivers" na "wazee wa nyundo na spana "IT ulale salama.hakikisha hii weekend unatukumbuka na sisi wazee wa shoti.
Nawaombea sana malegend Akina Mfwende na stelingi nanyi mtoke kitaa aisee ,kitambo sana mmeupambania huu uzi sana.Daaah raha sana ukiona wana wanalamba asali kama utani ivi[emoji2][emoji3][emoji3]mwamba rinyungu honera sana na ukawe mtumishi mwemaa
NOTED CHAMP, JAH BLESS USNawaombea sana malegend Akina Mfwende na stelingi nanyi mtoke kitaa aisee ,kitambo sana mmeupambania huu uzi sana.
Hopefully God atatia mkono wake soon nanyi mlambe asali .
Asante sana mwamba!!Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
Asante mkuuHongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
Nakuelewa man ! Doso la kitaa ni nyoko kaka,wengine tumejibanza kwa kibarua cha kanjibai ila cha moto tunakipata , malipo kibaba halmashauri nafuu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1], maslahi sisimizi ,kazi tembo maanina, mwezi unautafuta kwa tochi .
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Bongo nyoso man
Mungu ni mwema, wadau na mm leo nimelamba asali namshukuru sana mungu, nawashukuru wana uzi huu kwa faraja zenu kipindi nasubilia placement wadau msikate tamaa wakati wa mungu ndio wakati sahihi, lakn pia naamini yajayo yanafurahisha kwa upande wenu.
Hatamaeee nimeingia kwenye asali mbichi ya baharii toka mwaka jana mwezi wa 11 leoo 28.9.2023
Tuwaamini sana utumishi ,hatimaye nimelamba asali kutoka database
Asante sana mwamba!!Hongera sana mwamba,
Nakutakia mafanikio katika kutimiza majukumu uliopangiwa na serikali. Ukawe mtumishi mtiifu mwenye kufata Sheria, Kanuni na Taratibu za Utumishi wa umma.
Pia, tumia muda kufurahia mafanikio hayo ukiwa na ndugu na jamaa zako wa karibu kwani haikuwa rahisi kufika hapo.
Mwisho, kumbuka kutoa shukrani/ msaada kwa jamii yenye mahitaji katika mazingira unayotokea.