Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mtu wa TCRA yeye hawezi kulima huo ufuta? Au mnachukulia kila anaefanya kazi taasisi kubwa ni mlevi anakesha Beach Kidimbwi?
Wewe lima ufuta yeye ana kampuni yake ya software wakati unasubiria msimu yeye hela inaflow mwaka wote.
Madogo ntakuja kuwapa somo hapa kuhusu Halmashauri, taasisi, mishahara na maisha. Ila Leo niko busy nameza nondo za Jumatatu nikapambane na vijana barobaro pale UDOM.
 
Wewe unafanya kazi TCRA? una kampuni ya software? au una ndugu mwenye hizo sifa hapo juu? Narudia tena kama hautakuwa na plan nzuri ya maendeleo hata ukipewa mshahara mkubwa kiasi gani utakuwa bogus tu.

Kuna watu wamefanya kazi mfano TANESCO dar miaka 5 hawajahi kumiliki asset yoyote lakini Mtendaji ka kata Kongwa ana Nyumba 2 na Noah ya biashara.

Msiwadharau watu wa TGS fanyeni utafiti wa kutosha. Hela huwa haitoshi hasa maeneo ya mijini the more you earn the more unaongeza matumizi akili mtu wangu.
 
Unajua watu wanaongeaga tu, siku zote maendeleo ni akili zako mwenyewe na namna unavyojipanga au hujawahi ona mtu mwenye mshahara mkubwa anaenda kumlilia mwenye mshahara mdogo amkopeshe hela, sasa sisi tuliopo huku kwenye field ndiyo tunayashuhudia hayo mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…