Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mkuu nikuulize unafanya kazi halmashauri au unapokea Hiyo TGS ? kwa muda gani?

Kuna vijana wa Mataasisi makubwa maisha yao magumu sana wanashinda masaki kula pizza lakini wanapiga mizinga balaa, wanapenda kuonekana Rich muda wote.

Halafu kuna wafanyakazi halmashauri ya masasi wanalima ufuta usipime, msimu wa korosho wanajaa mifuko asikwambie mtu I am talking from experience.

Ndo maana nakwambia patience ni kila kitu.
Mtu wa TCRA yeye hawezi kulima huo ufuta? Au mnachukulia kila anaefanya kazi taasisi kubwa ni mlevi anakesha Beach Kidimbwi?
Wewe lima ufuta yeye ana kampuni yake ya software wakati unasubiria msimu yeye hela inaflow mwaka wote.
Madogo ntakuja kuwapa somo hapa kuhusu Halmashauri, taasisi, mishahara na maisha. Ila Leo niko busy nameza nondo za Jumatatu nikapambane na vijana barobaro pale UDOM.
 
Wewe unafanya kazi TCRA? una kampuni ya software? au una ndugu mwenye hizo sifa hapo juu? Narudia tena kama hautakuwa na plan nzuri ya maendeleo hata ukipewa mshahara mkubwa kiasi gani utakuwa bogus tu.

Kuna watu wamefanya kazi mfano TANESCO dar miaka 5 hawajahi kumiliki asset yoyote lakini Mtendaji ka kata Kongwa ana Nyumba 2 na Noah ya biashara.

Msiwadharau watu wa TGS fanyeni utafiti wa kutosha. Hela huwa haitoshi hasa maeneo ya mijini the more you earn the more unaongeza matumizi akili mtu wangu.
 
Unajua watu wanaongeaga tu, siku zote maendeleo ni akili zako mwenyewe na namna unavyojipanga au hujawahi ona mtu mwenye mshahara mkubwa anaenda kumlilia mwenye mshahara mdogo amkopeshe hela, sasa sisi tuliopo huku kwenye field ndiyo tunayashuhudia hayo mambo.
 
Back
Top Bottom