AccomplishedEntrepreneur
JF-Expert Member
- Feb 25, 2020
- 507
- 878
Hivi udsm wana posho/allowances au ni shahara plain tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Umesahau na kumiliki Title, me nipo TCRA
Shahara plain tu😅Hivi udsm wana posho/allowances au ni shahara plain tu?
Wanalamba asaliCommunity Development Officers naona mmefikiwa kwenye megawati za asali[emoji28].
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hii course mtu anaweza akafanya kazi taasisi zip mkuuCommunity Development Officers naona mmefikiwa kwenye megawati za asali[emoji28].
Sent using Jamii Forums mobile app
Tembelea www.ajira.go.tz pitia placement kuanzia Jana kurudi chini utaona.Hivi hii course mtu anaweza akafanya kazi taasisi zip mkuu
Kua mpole mtaaalam matokeo yatatoka tuu
Mtu wa TCRA yeye hawezi kulima huo ufuta? Au mnachukulia kila anaefanya kazi taasisi kubwa ni mlevi anakesha Beach Kidimbwi?Mkuu nikuulize unafanya kazi halmashauri au unapokea Hiyo TGS ? kwa muda gani?
Kuna vijana wa Mataasisi makubwa maisha yao magumu sana wanashinda masaki kula pizza lakini wanapiga mizinga balaa, wanapenda kuonekana Rich muda wote.
Halafu kuna wafanyakazi halmashauri ya masasi wanalima ufuta usipime, msimu wa korosho wanajaa mifuko asikwambie mtu I am talking from experience.
Ndo maana nakwambia patience ni kila kitu.
kufa na kuzikwa aaah, aah ngoma za 2000s hizo dahtunataabikaah tunalubikaaaah majobless tunapigikaah aaah aaaah aaahh.... 🤣 🤣 🤣
Mkuu kuwa mpole haijulikan ni lini sikilizia mwisho jumatatu baada ya hapo nenda tu kafanye issue nyingne
Wewe unafanya kazi TCRA? una kampuni ya software? au una ndugu mwenye hizo sifa hapo juu? Narudia tena kama hautakuwa na plan nzuri ya maendeleo hata ukipewa mshahara mkubwa kiasi gani utakuwa bogus tu.Mtu wa TCRA yeye hawezi kulima huo ufuta? Au mnachukulia kila anaefanya kazi taasisi kubwa ni mlevi anakesha Beach Kidimbwi?
Wewe lima ufuta yeye ana kampuni yake ya software wakati unasubiria msimu yeye hela inaflow mwaka wote.
Madogo ntakuja kuwapa somo hapa kuhusu Halmashauri, taasisi, mishahara na maisha. Ila Leo niko busy nameza nondo za Jumatatu nikapambane na vijana barobaro pale UDOM.
Unajua watu wanaongeaga tu, siku zote maendeleo ni akili zako mwenyewe na namna unavyojipanga au hujawahi ona mtu mwenye mshahara mkubwa anaenda kumlilia mwenye mshahara mdogo amkopeshe hela, sasa sisi tuliopo huku kwenye field ndiyo tunayashuhudia hayo mambo.Wewe unafanya kazi TCRA? una kampuni ya software? au una ndugu mwenye hizo sifa hapo juu? Narudia tena kama hautakuwa na plan nzuri ya maendeleo hata ukipewa mshahara mkubwa kiasi gani utakuwa bogus tu.
Kuna watu wamefanya kazi mfano TANESCO dar miaka 5 hawajahi kumiliki asset yoyote lakini Mtendaji ka kata Kongwa ana Nyumba 2 na Noah ya biashara.
Msiwadharau watu wa TGS fanyeni utafiti wa kutosha. Hela huwa haitoshi hasa maeneo ya mijini the more you earn the more unaongeza matumizi akili mtu wangu.
Hahahaha Mabagaaa freshkufa na kuzikwa aaah, aah ngoma za 2000s hizo dah
Hawajui hilo mkuu mambo yako tofauti sana kwa groundUnajua watu wanaongeaga tu, siku zote maendeleo ni akili zako mwenyewe na namna unavyojipanga au hujawahi ona mtu mwenye mshahara mkubwa anaenda kumlilia mwenye mshahara mdogo amkopeshe hela, sasa sisi tuliopo huku kwenye field ndiyo tunayashuhudia hayo mambo.
Hongera sana mwambaMungu ni mwema, wadau na mm leo nimelamba asali namshukuru sana mungu, nawashukuru wana uzi huu kwa faraja zenu kipindi nasubilia placement wadau msikate tamaa wakati wa mungu ndio wakati sahihi, lakn pia naamini yajayo yanafurahisha kwa upande wenu.
Hongera mnoHatamaeee nimeingia kwenye asali mbichi ya baharii toka mwaka jana mwezi wa 11 leoo 28.9.2023
Hongera kakaTuwaamini sana utumishi ,hatimaye nimelamba asali kutoka database