Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mkuuu Utumishi wameanza kusafisha macho kwa wazee wa mahudhurio
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Kweli mkuu, tumechoka kihudhuria hapa watoe ili tusambaratike aisee
 
Kuna PDF ya Bunge imetoka, watu ni wengi balaa hadi nimepigwa na butwaa

Nafasi ya Katibu Msaidizi wa Bunge II inapambaniwa na 2455

Hahaha, hapa mdogo wangu ameitwa. Na ukisoma baadhi ya majina utagundua kuna watoto wa vigogo kibao nao wameomba. Kama nafasi yenye namba 1342 ni wa Palamagamba Kabudi, aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…