Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Madini...
 
Hongera champ muda s mrefu uliomba mchongo huko juu hatimae mungu ametenda
 
Daah aisee kweli Mungu mkubwa jamaa alikuwa anaomba connection ya kazi jioni hii hii na kapata placement
 
Kaka umefikiwa. Mungu wetu ni mwema. Hutupatia kwa wakati sahihi. Ulisema mfwende kakuacha peke yako mkongwe...haya pokeza kijiti kwa mwingine!
 
Daah aisee kweli Mungu mkubwa jamaa alikuwa anaomba connection ya kazi jioni hii hii na kapata placement
Hongera Sana mkuu,Kwan ulifanya oral mwezi gani?
 
Oyooo Hongeraaaaa sana nafurahi sana nikiona shuhuda watu wakilamba asali I wish u all the best
 
Mkuu! Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi Kila la kheri mkuu.
 

Nafikiri mkuu jamii inakuwa balanced kwa kuwepo watu wa namna tofauti tofauti na according to my observation, huyu jamaa kinachomtesa sana ni so called “EGO”. Usiwe aggressive sana once unapokutana na negative comments sometimes una ignore na maisha yanasonga vizuri tuishi humo.
 

Hongera mwamba imekaa vizuri lets hope huu uzi hakuna ataekosa kulamba asali indeed.
 
Hongera sanaaa kaka,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…