Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Vijana hasa kutoka familia za kimasikini tunalalamika hatuna connection. Hakuna kitu kinaleta amani kama unahitaji ufafanuzi wa inshu fulani, halafu unakumbuka kuna jamaa yako yupo TRA, NAOT, ORCI, IAE, TPDF etc.

Huu uzi ni kama stendi (kituo cha mabasi), watu wako hapa ili kuelekea Ofisi mbali mbali za kila aina.

Kuna watu tunawakubali na kuna watu wanatukubali, kizuri zaidi utu wa mtu au ubaya wake, ukituliza akili unaweza kujidhihirisha hata kwa ID feki.

Sasa swali ni tutafanyaje kutoka kwenye huu uzi, tutengeneze connection za kwenye maisha ya uhalisia?

Tusiishie tu kusaidiana kupata kazi, kuna maisha baada ya wote kuwa kazini.
Madini...
 
Namshukuru Mungu na mimi leo mishale ya sa moja kasoro nimeruka na kitu cha Halmashauri....

Mungu ni mwema... Nazidi kuwaombea wapambanaji Mungu akawafungulie njia....

kama una Selected both oral and App wewe subiri wakati tu...hii dhana ni ya ukweli
Hongera champ muda s mrefu uliomba mchongo huko juu hatimae mungu ametenda
 
Namshukuru Mungu na mimi leo mishale ya sa moja kasoro nimeruka na kitu cha Halmashauri....

Mungu ni mwema... Nazidi kuwaombea wapambanaji Mungu akawafungulie njia....

kama una Selected both oral and App wewe subiri wakati tu...hii dhana ni ya ukweli
Daah aisee kweli Mungu mkubwa jamaa alikuwa anaomba connection ya kazi jioni hii hii na kapata placement
 
Kaka umefikiwa. Mungu wetu ni mwema. Hutupatia kwa wakati sahihi. Ulisema mfwende kakuacha peke yako mkongwe...haya pokeza kijiti kwa mwingine!
 
Daah aisee kweli Mungu mkubwa jamaa alikuwa anaomba connection ya kazi jioni hii hii na kapata placement
Namshukuru Mungu na mimi leo mishale ya sa moja kasoro nimeruka na kitu cha Halmashauri....

Mungu ni mwema... Nazidi kuwaombea wapambanaji Mungu akawafungulie njia....

kama una Selected both oral and App wewe subiri wakati tu...hii dhana ni ya ukweli
Hongera Sana mkuu,Kwan ulifanya oral mwezi gani?
 
Namshukuru Mungu na mimi leo mishale ya sa moja kasoro nimeruka na kitu cha Halmashauri....

Mungu ni mwema... Nazidi kuwaombea wapambanaji Mungu akawafungulie njia....

kama una Selected both oral and App wewe subiri wakati tu...hii dhana ni ya ukweli
Oyooo Hongeraaaaa sana nafurahi sana nikiona shuhuda watu wakilamba asali I wish u all the best
 
Namshukuru Mungu na mimi leo mishale ya sa moja kasoro nimeruka na kitu cha Halmashauri....

Mungu ni mwema... Nazidi kuwaombea wapambanaji Mungu akawafungulie njia....

kama una Selected both oral and App wewe subiri wakati tu...hii dhana ni ya ukweli
Mkuu! Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi Kila la kheri mkuu.
 
Sijakulaani kama kuna mashahidi humu na usivyo na bahati na mimi kila unapocomment huwa nakuwa jukwaani.

Ndugu unajikweza sana na kila ajikwezae hushushwa, Nebuchadnezzar alikuwa mtawala wa Babel alijitukuza mno alijiona ni Mungu, sasa akafanywa hayawani akala nyasi porini kwa miaka 7 kisha alipotoka huko alikuwa humble sana na alimtambua Mungu ni Mungu juu ya miungu.

Unawadhihaki watu wa Halmashauri yaani kifupi YOU ARE THE BEST OF THE BEST CONQUEROR OF EVERYTHING ON LAND,WATER AND SKY.

Hebu jishushe onesha uwezo wako pasipo kutoa negative remarks kwa wengine, hujui hiko unachoona kidogo kina msaada gani kwa wengine? Be humble ama subiri uwe humbled kwa kula nyasi kama Nebuchadnezzar.

Kama nimeumiza EGO yako, niwie radhi.

Nafikiri mkuu jamii inakuwa balanced kwa kuwepo watu wa namna tofauti tofauti na according to my observation, huyu jamaa kinachomtesa sana ni so called “EGO”. Usiwe aggressive sana once unapokutana na negative comments sometimes una ignore na maisha yanasonga vizuri tuishi humo.
 
Wanangu feeling ya kudownload pdf na kukuta jina lako rasmi nmeiexpirience leo..nmeshndwa fanya chochote kwa sekunde kadhaa hakika MUNGU ni mkubwa sana na mimi leo natoa shuhuda..MUNGU awasaidie na nyie ndugu zangu mnaosubiria msikate tamii amini ipo siku atawasikia.

Hongera mwamba imekaa vizuri lets hope huu uzi hakuna ataekosa kulamba asali indeed.
 
Back
Top Bottom