Mgogo Vitani
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 492
- 867
Namshukuru Mungu na mimi leo mishale ya sa moja kasoro nimeruka na kitu cha Halmashauri....
Mungu ni mwema... Nazidi kuwaombea wapambanaji Mungu akawafungulie njia....
kama una Selected both oral and App wewe subiri wakati tu...hii dhana ni ya ukweli
Muda sio mrefu mwamba, utaleta hapa ushuhuda.Shuhuda zinatupa nguvu sana, foleni inasogea taratibu, naona tumekaribia kufikiwa dah asee, raha sana sana sana sanaaa, PSRS ni jibu halisi Kwa jobless.
Daaaah aysee hawa jamaa since january kimyaaaa . Inasikitisha sana sijui kwa nini wametulia.DUCE wana shida gani?
Saili za mwezi Julai zinatoka placement ila wao tangia January kimya
🙏 Amina mkuu.Muda sio mrefu mwamba, utaleta hapa ushuhuda.
Hongera sana mkuu.Wanangu feeling ya kudownload pdf na kukuta jina lako rasmi nmeiexpirience leo..nmeshndwa fanya chochote kwa sekunde kadhaa hakika MUNGU ni mkubwa sana na mimi leo natoa shuhuda..MUNGU awasaidie na nyie ndugu zangu mnaosubiria msikate tamii amini ipo siku atawasikia.
Hii moment bado naikumbuka as if ni Jana tu.... February 20,2023. PDF bado nimeitunza mpaka Leo.Tulishajua kuwa placement zinachelewa basi haina haja ya kuwaza sana, just project miezi kadhaa mbelw huku ukiendelea na hustle zingine kitaa.
Mimi baada ya kumaliza oral nilijiwekea muda wa miezi 3 mbele ndio nianze kuziwaza ingawa nilikuwa nafuatilia kila siku placement zinazotoka ili niweze kufurahia mafanikio ya wengine kama tunavvyofurahia hapa.
Ila baada ya miezi 2 tu nikapigwa suprise na IT, nikiwa nimejichokea na kutwa nzima kijiweni mida ya saa 4 usiku natumiwa pdf WhatsApp na kupongezwa, hiyo moment sasa utaijua siku ukiona jina kwenye placement.
Kuwa na subira, endelea na ishu zingine kwanza...
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaNamshukuru Mungu na mimi leo mishale ya sa moja kasoro nimeruka na kitu cha Halmashauri....
Mungu ni mwema... Nazidi kuwaombea wapambanaji Mungu akawafungulie njia....
kama una Selected both oral and App wewe subiri wakati tu...hii dhana ni ya ukweli
Vipi mfwende ni mwalimuHuyu kijana anayejiita Mfwende Sawadogo ni miongoni mwa vijana wa Mfano na wakuigwa. Kijana hajawahi kuwaonea wenzie wivu wala hajawahi kuwawekea wenzake kinyongo juu ya Placement. Yeye kila siku alikuwa anaamini siku yake itafika na hatimae imefika. Nimekuwa nikimfatilia kimya kimya sana hadi leo hii napata Taarifa amepata kazi. HONGERA KWAKE.
Hahahahaaa.Hii moment bado naikumbuka as if ni Jana tu.... February 20,2023. PDF bado nimeitunza mpaka Leo.
Placement zilitoka usiku...nilikuwa nafanya kufungua na kufunga just to check my name. Ni miezi almost nane Sasa, mapambano yanaendelea.
Mungu azidi kuwapa nafasi wale wote mnaozipambania.
Hongera sana Learned Brother, hii pongezi yangu bado haijachacha ingawa naitoa baada ya miezi takribani nane kupitaAiseh namshukuru Mungu kwa kupata nafasi hapo NPS....placement ya awali iliyotoka January hapo hapo NPS sikuwemo, nikavunjika sana moyo.
Basi nikapiga moyo konde nikijua kuwa haikuwa riziki...Leo naona nimo miongoni mwa waliomo kwenye mkeka. Sina la kusema. Njia za Mwenyezi-Mungu hazichunguziki.
Hongera sana kkNamshukuru Mungu na mimi leo mishale ya sa moja kasoro nimeruka na kitu cha Halmashauri....
Mungu ni mwema... Nazidi kuwaombea wapambanaji Mungu akawafungulie njia....
kama una Selected both oral and App wewe subiri wakati tu...hii dhana ni ya ukweli
Hakika kaka Mungu ni wetu sote atajibu na kwa wengineHongera champ muda s mrefu uliomba mchongo huko juu hatimae mungu ametenda
Kamanda wangu Jina lako lipo ni wakati tu naamini katika hilo... Mungu ni mwema siku zotehongera sana kwako jamaa yetu
Achana na Limbukeni huyo.Nafikiri mkuu jamii inakuwa balanced kwa kuwepo watu wa namna tofauti tofauti na according to my observation, huyu jamaa kinachomtesa sana ni so called “EGO”. Usiwe aggressive sana once unapokutana na negative comments sometimes una ignore na maisha yanasonga vizuri tuishi humo.
Thanks mkuu...bado nguvu ya pongezi Iko pale pale.Hahahahaaa.
Daahh, kumbe sikuwahi kukupa pongezi aisee kwenye ile moment.
Comment yako hii imenifanya nirudi kufukua nione mrejesho wako, na kweli nimeuona[emoji116]
Hongera sana Learned Brother, hii pongezi yangu bado haijachacha ingawa naitoa baada ya miezi takribani nane kupita
hongera sana mzeeNamshukuru Mungu na mimi leo mishale ya sa moja kasoro nimeruka na kitu cha Halmashauri....
Mungu ni mwema... Nazidi kuwaombea wapambanaji Mungu akawafungulie njia....
kama una Selected both oral and App wewe subiri wakati tu...hii dhana ni ya ukweli
Achana na Limbukeni huyo.
Hongera sana mkuu CDO Lupelengetya(nimekuzoom [emoji3]), kila la kheri ukawe mtumishi mwema.Namshukuru Mungu na mimi leo mishale ya sa moja kasoro nimeruka na kitu cha Halmashauri....
Mungu ni mwema... Nazidi kuwaombea wapambanaji Mungu akawafungulie njia....
kama una Selected both oral and App wewe subiri wakati tu...hii dhana ni ya ukweli
Nenda tafuta kamusi ya Kiswahili tafuta maana ya Limbukeni kisha rudi tafuta comments zako humu.
Mdau amenishauri nisiwe harsh kwa watu kama wewe ila sasa unanishawishi niongee kama mlokole asivyoweza kuvumilia kutokulikemea pepo.