Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Namshukuru Mungu na mimi leo mishale ya sa moja kasoro nimeruka na kitu cha Halmashauri....

Mungu ni mwema... Nazidi kuwaombea wapambanaji Mungu akawafungulie njia....

kama una Selected both oral and App wewe subiri wakati tu...hii dhana ni ya ukweli

Hongera mwamba ukawe mtu maridadi na mwenye weledi uko halmashauri.
 
DUCE wana shida gani?
Saili za mwezi Julai zinatoka placement ila wao tangia January kimya
Daaaah aysee hawa jamaa since january kimyaaaa . Inasikitisha sana sijui kwa nini wametulia.

Hii nchi ngumu sana kuna muda nakata moto nikija humu nakutana na faraja za wadau + shuhuda kamoyo kanatulia lkn hali ni ngumu sana. mtu unahangaika na web ya ajira portal hadi kizunguzungu. Dah.

IT fanya utoe matokeo ya january wewe ni mtu wetu.

💥💥💥💥💥💥💥. IT rudisha four four two ( 4 4 2) ya agosti. Usikae na mpira hamishaaa.
 
Tulishajua kuwa placement zinachelewa basi haina haja ya kuwaza sana, just project miezi kadhaa mbelw huku ukiendelea na hustle zingine kitaa.

Mimi baada ya kumaliza oral nilijiwekea muda wa miezi 3 mbele ndio nianze kuziwaza ingawa nilikuwa nafuatilia kila siku placement zinazotoka ili niweze kufurahia mafanikio ya wengine kama tunavvyofurahia hapa.

Ila baada ya miezi 2 tu nikapigwa suprise na IT, nikiwa nimejichokea na kutwa nzima kijiweni mida ya saa 4 usiku natumiwa pdf WhatsApp na kupongezwa, hiyo moment sasa utaijua siku ukiona jina kwenye placement.

Kuwa na subira, endelea na ishu zingine kwanza...
Hii moment bado naikumbuka as if ni Jana tu.... February 20,2023. PDF bado nimeitunza mpaka Leo.

Placement zilitoka usiku...nilikuwa nafanya kufungua na kufunga just to check my name. Ni miezi almost nane Sasa, mapambano yanaendelea.

Mungu azidi kuwapa nafasi wale wote mnaozipambania.
 
Namshukuru Mungu na mimi leo mishale ya sa moja kasoro nimeruka na kitu cha Halmashauri....

Mungu ni mwema... Nazidi kuwaombea wapambanaji Mungu akawafungulie njia....

kama una Selected both oral and App wewe subiri wakati tu...hii dhana ni ya ukweli
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
 
Huyu kijana anayejiita Mfwende Sawadogo ni miongoni mwa vijana wa Mfano na wakuigwa. Kijana hajawahi kuwaonea wenzie wivu wala hajawahi kuwawekea wenzake kinyongo juu ya Placement. Yeye kila siku alikuwa anaamini siku yake itafika na hatimae imefika. Nimekuwa nikimfatilia kimya kimya sana hadi leo hii napata Taarifa amepata kazi. HONGERA KWAKE.
Vipi mfwende ni mwalimu
 
Hii moment bado naikumbuka as if ni Jana tu.... February 20,2023. PDF bado nimeitunza mpaka Leo.

Placement zilitoka usiku...nilikuwa nafanya kufungua na kufunga just to check my name. Ni miezi almost nane Sasa, mapambano yanaendelea.

Mungu azidi kuwapa nafasi wale wote mnaozipambania.
Hahahahaaa.

Daahh, kumbe sikuwahi kukupa pongezi aisee kwenye ile moment.

Comment yako hii imenifanya nirudi kufukua nione mrejesho wako, na kweli nimeuona[emoji116]
Aiseh namshukuru Mungu kwa kupata nafasi hapo NPS....placement ya awali iliyotoka January hapo hapo NPS sikuwemo, nikavunjika sana moyo.

Basi nikapiga moyo konde nikijua kuwa haikuwa riziki...Leo naona nimo miongoni mwa waliomo kwenye mkeka. Sina la kusema. Njia za Mwenyezi-Mungu hazichunguziki.
Hongera sana Learned Brother, hii pongezi yangu bado haijachacha ingawa naitoa baada ya miezi takribani nane kupita
 
Nafikiri mkuu jamii inakuwa balanced kwa kuwepo watu wa namna tofauti tofauti na according to my observation, huyu jamaa kinachomtesa sana ni so called “EGO”. Usiwe aggressive sana once unapokutana na negative comments sometimes una ignore na maisha yanasonga vizuri tuishi humo.
Achana na Limbukeni huyo.
 
Hahahahaaa.

Daahh, kumbe sikuwahi kukupa pongezi aisee kwenye ile moment.

Comment yako hii imenifanya nirudi kufukua nione mrejesho wako, na kweli nimeuona[emoji116]

Hongera sana Learned Brother, hii pongezi yangu bado haijachacha ingawa naitoa baada ya miezi takribani nane kupita
Thanks mkuu...bado nguvu ya pongezi Iko pale pale.
 
Namshukuru Mungu na mimi leo mishale ya sa moja kasoro nimeruka na kitu cha Halmashauri....

Mungu ni mwema... Nazidi kuwaombea wapambanaji Mungu akawafungulie njia....

kama una Selected both oral and App wewe subiri wakati tu...hii dhana ni ya ukweli
Hongera sana mkuu CDO Lupelengetya(nimekuzoom [emoji3]), kila la kheri ukawe mtumishi mwema.
 
Nenda tafuta kamusi ya Kiswahili tafuta maana ya Limbukeni kisha rudi tafuta comments zako humu.

Mdau amenishauri nisiwe harsh kwa watu kama wewe ila sasa unanishawishi niongee kama mlokole asivyoweza kuvumilia kutokulikemea pepo.
  • niende nitafute kamusi kwa ajili yako au
  • wewe ni mshamba na Limbukeni,
-hata ukiwa harsh, ukiwa mpole juu yako, vyovyote utakavyokuja mimi nakulipua tu
 
Back
Top Bottom