AmenUsikate tamaa mkuu siku yako Ipo njian, Mungu atatenda mkuu
Hongera sana mwamba!!Mungu ni mwema kwa kila jambo baada ya safari ya interview zaidi ya 8 hatimaye leo nimedondokea kitu cha halmashauri.
Huenda kulikuwa na tatizo la kiu fundi, mimi mwenyewe kuanzia jana jioni hadi leo asubuhi nilikuwa nashindwa kufanya hivyoWakuu huu Uzi unnikataa kiaina sijui shida nn Niki scroll kusoma comment za juu inanigomea shida itakua nn?
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaMungu ni mwema kwa kila jambo baada ya safari ya interview zaidi ya 8 hatimaye leo nimedondokea kitu cha halmashauri.
[emoji122][emoji122][emoji122]Hongera sana kwake
Hongera sana mwamba!!!Habari za muda huu
Na mimi nimelamba asali
Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwema na mwadilifu mkuu ukachape kazi, kila la kheri mkuuHabari za muda huu
Na mimi nimelamba asali
Hongera broo ni Mungu juu ya vyoteHabari za muda huu
Na mimi nimelamba asali
Alhamdulilah
Hongera sana Mkuu ukawakilishe vyemaMungu ni mwema kwa kila jambo baada ya safari ya interview zaidi ya 8 hatimaye leo nimedondokea kitu cha halmashauri.
Hongera sanaaa kakaMungu ni mwema kwa kila jambo baada ya safari ya interview zaidi ya 8 hatimaye leo nimedondokea kitu cha halmashauri.
Hongera sanaaaaa kakaHabari za muda huu
Na mimi nimelamba asali
Alhamdulilah
Hongera kaka,kapambane huko nduguHabari za muda huu
Na mimi nimelamba asali
Alhamdulilah
Mkuu umeotea cha TGS D nn hahha....hongera sana mwambaaaHii safari ni ngumu sana jamani, Kuna kukatishwa tamaa, nk
Hili tatizo naon limejitokez tok jan nami kwang ilikuw inazinguaWakuu huu Uzi unnikataa kiaina sijui shida nn Niki scroll kusoma comment za juu inanigomea shida itakua nn?
Hongera mkuu, kila la kher ktk kutekelez majukum yako[emoji1666]Mungu ni mwema kwa kila jambo baada ya safari ya interview zaidi ya 8 hatimaye leo nimedondokea kitu cha halmashauri.
Usikate tamaa [emoji1666]mapambano yaendeleeeUnaangalia pdf ukiwa na imani kuwa utakuta jina lako af mwisho hulioni,kila pdf unaambulia patupu...jaman hii kitu inauma asikwambie mtu aisee,...
But Mungu ni mwema n wakat sahihi ni wakati wa Mwenyez Mungu..nitatoa ushuhuda wa kulamba asali nami hapa inshalla....
Hongera kwa wote mliolamba asali pdf la leo