Marcellojr
JF-Expert Member
- Jun 29, 2021
- 298
- 773
Napokea mkuu🙏🙏🙏Ndugu yangu hongera sana. Yani unafika mpaka oral! Wewe siku yako ya kutoka kimasomaso iko karibu kupita maelezo.
Wengine tunaowapambania wachomoke hawajawahi kufika oral na hata matangazo ya nafasi zao za kazi ni adimu kuyaona miaka nenda rudi.
Hongera tena!
Hongera sana nduguDaaah hatimae pdf ya Leo nami nmesomeka, nkawa najisemea km nafasi za cdo zimeisha basi imekula kwangu ila MUNGU ni mwema sana.
Tupe madini mkuu. Kivipi au kuna fursa ganiKiteto kuna hela aisee usipime
Mkuu Bora ata ulipata kazi ili ukawe shuuda Kwa wengine kuwa Utumishi watu wanapata kazi kihalalihizi saili zenye practical kubebana kupo sana. yaani unakuta mtu mmoja ameshapangwa kabisa kupewa kazi wanamscore ata 95 kweny practical ilimradi apate iyo kazi maana wanajua wanamlisha marks za prac + oral interv. saili zenye practical hamna haki mule
Kama fani yako ni moja kati ya hizi basi tulia kwanza halmashauri hutakufa njaa.Leo wamenitambulisha kwa mama wa mihogo na chai ya rangi, supu anayoijua ni supu ya kande nipeni procedure za transfer.
Hongereni sana Mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaDaaah hatimae pdf ya Leo nami nmesomeka, nkawa najisemea km nafasi za cdo zimeisha basi imekula kwangu ila MUNGU ni mwema sana.
Pazuri sana, fursa kibao kwa mtumishi.Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga vipi?
Daaah hatimae pdf ya Leo nami nmesomeka, nkawa najisemea km nafasi za cdo zimeisha basi imekula kwangu ila MUNGU ni mwema sana.
Vipi kuhusu Afisa Biashara??Kama fani yako ni moja kati ya hizi basi tulia kwanza halmashauri hutakufa njaa.
Ununuzi/ugavi
Afisa hesabu/Muhasibu
Afisa ardhi
Mhandisi.
Ila kama CDO na nyinginezo jipange sana
Afya Je??Kama fani yako ni moja kati ya hizi basi tulia kwanza halmashauri hutakufa njaa.
Ununuzi/ugavi
Afisa hesabu/Muhasibu
Afisa ardhi
Mhandisi.
Ila kama CDO na nyinginezo jipange sana
Kama fani yako ni moja kati ya hizi basi tulia kwanza halmashauri hutakufa njaa.
Ununuzi/ugavi
Afisa hesabu/Muhasibu
Afisa ardhi
Mhandisi.
Ila kama CDO na nyinginezo jipange sana
Hongera sana mkuu, kila la kheri mkuu ukawe mtumishi mwema na mwadilifu mkuu ukachape kaziDaaah hatimae pdf ya Leo nami nmesomeka, nkawa najisemea km nafasi za cdo zimeisha basi imekula kwangu ila MUNGU ni mwema sana.
Mkuu vp bado hujalamaba asali?Leteni shuhuda wakuu
Bado mkuuMkuu vp bado hujalamaba asali?
Mwenye ako na namba ya huduma Kwa wateja PSRS Niko namsadia mtu kufungua account ajira portal...inayopatikana na wanapokea chapu naomba
Pole sn mkuu wengine tuna huo uteja mwaka sasa tunajipa matumaini tuPSRS wameshanifanya teja! Kila baada ya muda naingia kucheki PDF. Nikikosa MB naugua kabisa