Mkuu Mimi ninaswali nje ya hiki Hivi inapaswa kuweka copy ya vyeti ambavyo ni colored au hii copy black and white ?Nina imani na psrs, haijarishi awahishe placements au acheleweshe, it's not my concern,
jina langu tu kua kwenye makaburasha ya psrs najihisi niko mikono salama na wala sina pressure yoyote as long as stutas ina soma selected both app and web, iyo ina maanisha lolote laweza tokea kupata au kukosa. am ready for that
taasisi kuajiri wenyewe ni upuuzi. Huko ndo tumetoka, changamoto zilikua za kuchota na suruhisho pekee lililokuwepo lilikua ni kuunda chombo huru (psrs), msiturudishe huko Kama umeona kuna changamoto psrs hizo kelele unazopiga za psrs kunyang'anywa mamlaka yake ungezielekeza ktk ku push hizo changamoto zake zitatuliwe si lingekua jambo la maana zaid kama lengo lako n jema kwa masrahi ya wengi?
Ok basi tuseme hii ya kuhamishia mamlaka kweny taasis ndo suruhisho, je nako kwenye taasisi tukikuta kuna changamoto tuhamie wapi? Shake well your head before use
Kuwa na imani sio shida tunahitaji waboreshe mchakato wao wa ajira uende speed from kuomba ,interview hadi kuitwa kazini atleast zisizidi miezi 3 lakini leo mchakato unatumia miezi 6 hadi 8Nina imani na psrs, haijarishi awahishe placements au acheleweshe, it's not my concern,
jina langu tu kua kwenye makaburasha ya psrs najihisi niko mikono salama na wala sina pressure yoyote as long as stutas ina soma selected both app and web, iyo ina maanisha lolote laweza tokea kupata au kukosa. am ready for that
taasisi kuajiri wenyewe ni upuuzi. Huko ndo tumetoka, changamoto zilikua za kuchota na suruhisho pekee lililokuwepo lilikua ni kuunda chombo huru (psrs), msiturudishe huko Kama umeona kuna changamoto psrs hizo kelele unazopiga za psrs kunyang'anywa mamlaka yake ungezielekeza ktk ku push hizo changamoto zake zitatuliwe si lingekua jambo la maana zaid kama lengo lako n jema kwa masrahi ya wengi?
Ok basi tuseme hii ya kuhamishia mamlaka kweny taasis ndo suruhisho, je nako kwenye taasisi tukikuta kuna changamoto tuhamie wapi? Shake well your head before use
Bro acha tu nimekta tamaa na hawa jamaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Gavano upo ? ,Umepotea humu mkuu
Wapunguziwe majukumu taasisi zingine ziajiri zenyewe wanazingua tu hata hao psrs..........Psrs wanajitahidi sana na wako fair sana, Vijana waendelee kuomba Mungu wenye mamlaka wasibadirishe gia angani taasisi ziajiri zenyewe itakuwa msiba.
inaonesha Psrs wanapata upinzani sana kutoka taasisi, endeleni kuwaombea na kuwapa moyo.
Hawa jamaa wakiwezeshwa vizuri mchakato utakuwa mfupi sana.
Dah ! Pole mwamba ,NakuelewaBro acha tu nimekta tamaa na hawa jamaa
Swala la status kwakweli mjadala wake me sikuwahi kuuelewa, maana sidhani kama kuna indication yoyote inayoashiria we umepata au umekosaVipi kuhusu swala la status mkuu
Yan mwez wa nane miezi miwili 2 anasema hataftalia tena hv anajua kuna watu wamefanya interview mwaka jana mwez kumi na moja wamekuja pata ajira mwaka huu mwez wa kumi...utumishi wako fair sana asee nadhan hata lengo lao ni jobless tupate ajira...wanangu nawashauri tuwe wavumilivu kauli ya "wakat wa MUNGU ni wakat sahihi" ukiiskia kwa mtu unaweza kuiona ya ki whacky sana tena uki witness wenzako wanapata na ww upo tu lakn kiuhalisia inafanya kz..tuwe wavumilivu na MUNGU atupe neema ya uvumilivu tutapata tu..tuskate tamaaAcha kukata tamaa, wengine tupo tangu mwezi wa nne na hatukati tamaaa
mikeka yenu inaanza kutoka mwezi huu wa 11Mimi Kwa majina naitwa G.
Nilifanya interview ya utumishi nakuingia oral mwezi wa nane.
niseme neno Moja.
Kuanzia leo tar moja sitajishughulisha tena na masuala ya kutafuta mkeka.
NIMEACHA NIMECHOKA.
AMEN
Muhimu hapo zingatia viwe Certified bila hivyo hutiboi.Mkuu Mimi ninaswali nje ya hiki Hivi inapaswa kuweka copy ya vyeti ambavyo ni colored au hii copy black and white ?
Kingine ni kupigia Kura/Leseni/kitambulisho cha mkazi kwa wazanzibar/cheti cha form four ila nahisi kuanzia mwaka 2015 hivi hadi sasaMliofika masijala ya wazi Dodoma kuchukua barua.... mfano kama huna kitambulisho cha taifa /uraia , ni kitambulisho gani kingine wanaweza kupokea.
Nitangulize shukran kwenu wote wakuu.
Matokeo ya Oral we yatakusaidia nini? Kama sio kuongeza Lawama tu PSRS unafanya Interview unajua kabsa wanahitaji watu 40 mpo 200+ uoni matokeo ya Oral yakiwa wazi na ukakosa utakuwa na mtazamo hasi sanaAsante naona una endana na mimi na.akili zangu.
Mimi sio kwamba sio mvumilivu au nina mhemko sana na hizo ajira wengine wanavyotuona .
Kiukwelj PSRS wabadilike kwenye mambo matatu.
1.TUNAHITAJI MATOKEO YA ORAL .
2.UCHELEWESHAJI WA MATOKEO YA USAILI hii ni tabia sugu haitakiwi ionekane hali ya kawaida haiwezekani mchakato wa ajira hadi kuita watu kazini utumie miezi miwili hadi mitatu pasipo na sababu za msingi.
3.INTERVIEW zifanyike KIKANDA
Mwamba mbona unakata tamaa, mm naamini kazi utapata nahaya maneno ya taasisi ziajiri zenyewe, utayapa nafasi tena kikubwa subira muhimu.Yaan waajiri tu wenyewe potelea pote mbona Zamani watu wamepata kazi nje na UTUMISHI
itakua bando...................Tupo na IT tunatafuta flash toka Jumamosi, Iikipatikana IT atafanya yake tuwe wavumilivu vijana.
Mwambie aichek kwa muhasibu aliazima aingize movie...................Tupo na IT tunatafuta flash toka Jumamosi, Iikipatikana IT atafanya yake tuwe wavumilivu vijana.
Kumbe nadhani wewe ni mgeni wa UTUMISHI hakuna Mtu afanye interview mwaka jana wa kumi aje kuitwa mwaka huu hao Mara nyingi wanakuwa wametoka kwenye database.Yan mwez wa nane miezi miwili 2 anasema hataftalia tena hv anajua kuna watu wamefanya interview mwaka jana mwez kumi na moja wamekuja pata ajira mwaka huu mwez wa kumi...utumishi wako fair sana asee nadhan hata lengo lao ni jobless tupate ajira...wanangu nawashauri tuwe wavumilivu kauli ya "wakat wa MUNGU ni wakat sahihi" ukiiskia kwa mtu unaweza kuiona ya ki whacky sana tena uki witness wenzako wanapata na ww upo tu lakn kiuhalisia inafanya kz..tuwe wavumilivu na MUNGU atupe neema ya uvumilivu tutapata tu..tuskate tamaa
Matokeo ya oral mimi yatanisaidia nijue muafaka wangu wa Lusaka ajira na ni haki yanguMatokeo ya Oral we yatakusaidia nini? Kama sio kuongeza Lawama tu PSRS unafanya Interview unajua kabsa wanahitaji watu 40 mpo 200+ uoni matokeo ya Oral yakiwa wazi na ukakosa utakuwa na mtazamo hasi sana
Najiuliza au labda zile status Selected for oral interview au not selected for oral interview baada ya kufanya oral ndo matokeo yenyewe ya oral ni sis ndo hatujui tu[emoji38]lakini uzuri wakongwe washatupa muongozo miezi mingi iliyopita kuwa status hazina maanaMatokeo ya oral mimi yatanisaidia nijue muafaka wangu wa Lusaka ajira na ni haki yangu