Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

aahh hilo tu? mie hata wakinipangia chini ya ardhi fresh tu cha msingi hewa iwepo..
 
We we unaongea kama nani naomba tukutambue kwanza?

Unipange sehemu mbovu halfu nisihame kwanini serikali Iboreshe mazingira mazuri?
 
Ukijaribu kufuatilia kwa undani, psrs wana kasi kwelikweli ya kutangaza nafasi za kazi na kuita watu kwenye usaili. Baada ya usaili, speed ya kupangia watu kwenye vituo vya kazi (placement) kwa waliofanya hizo saili na kufaulu inashuka au haipo kabisa. Swali kwanini hatua hizo mbili za awali zinafanyika kwa speed kubwa inapofika hatua ya placement speed inapotea?
 
Now, no advertisement no placements!
 
Yes ni Kweli, Si waliofanya MDA's na LGA watapangiwa so nafasi zipo ila wataenda hawa waliomaliza usaili karibuni..so matangazo lazima yakauke for a while hadi january labda .
Mbona hawatoe hizo placements sasa?
 
Wanazingua sana ,limekuwa tatizo la muda mrefu .....
 
Afadhali ukabakia hapo coz salary sio issue ,wengi wetu tunataka hizo posho,safari na extra duty.


we fahamu tu ,huu uzi unafuatiliwa sana na jobless pamoja na watumishi wa Halmashauri tunaotaka tuingie huko wizarani ama mashirika nyeti.

shukuru uko wizarani chief, tamisenga sio mchezo.
 
Kwenu PSRS tunaomba tena mtangaze nafasi za CDO'S au Community Development Officers uhitaji ni mkubwa sana kwenye nchi hii kila sehemu inabidi kuwepo CDO'S au utumike utaratibu kama ule wa Tamisemi kutangaza nafasi kisha mtu anaomba wao ndio wanapanga majina moja kwa moja.

Mtaani kugumu jamani, na muda wa kustafu unasogea kwa kasi mno ikiwa bado hatujalamba asali hata ya nyuki wakubwa.
 
wanatunza nafasi za 2024 kipenga cha uchaguzi kinalia Mwakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…