Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ukiingia kwenye huu Uzi unakutana na shuhuda

[emoji3][emoji3][emoji3] Ukikumbka ulikandwa moto unakata..

Huna received,huna selected for oral..

Huu Uzi huwez kuusogelea kbsa
[emoji23][emoji23]we Acha tu tulioexperience izi ishu tunaelewa vzur
 
Mkuu usinambie database ya mwaka huu ni lazma iishe this year?
 
Mimi nakwambia Andaa Nauli, na kama unabisha wait IT adondoshe Pdf uone shuhuda... Na halmshauri zimejaa yani ni mwendo wa Mitaasisi mi TBS huko, miofisi mikubwa mikubwa ofisi ya waziri mkuu, ofisi ya makamu wa raisi... Hazina hazina , Tume ya uchaguzi yaniiii Waits for Asali
Mkuu usinambie database ya mwaka huu ni lazma iishe this year?
 
Wanajamvi,

Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
Urasimu,ukiritimba,ubinafsi ,connection oriented mind,wingi wa waombaji wa nafasi husika,vimemo vya kuomba kutoa koneksheni kwa vijana wa wenye kamba ndefu upungufu wa miundo ya mawasiliano na kadhalika kadhalika🫢.Ila ni mawazo tu kwa maana ya kujenga na sii kumkatisha yeyote tamaa,ama vinginevyo.
 
Watu wa Umeme.
Watu wa CDO.
Watu wa makatibu afya.
Yani inshort unajijua ulikuwa database hili Pdf ambalo Analo IT ,linaitwa zoa zoa ..atawafurahisha

.... Make sure una nauli yako before Chrismass unaweza lia ukiwa kwenye Bus kwenda Dodoma....
Nikisoma hizi sms znanipa nguvu ya kuendelea kuamin kuwa ipo siku...nitafungua PDF nikutane na jina langu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…